Rais Kenyatta atuma risala za rambi rambi kwa Uingereza

Terror1
Terror1
 

Rais Uhuru Kenyatta ametoa risala za rambi rambi kwa Uingereza baada ya kutokea shambulizi la kigaidi ambalo limesababisha vifo vya watu 19.

Rais Kenyatta amesema Kenya inafahamu uchungu wa kuwapoteza raia wake kupitia ugaidi na iko tayari kuipa uingereza msaada wowote inayoweza. Shambulizi hilo lilitokea baada ya hafla ya muziki ya mwimbaji wa amarekani Ariana Grande.

Picha DailymailUK