Picha ya Ahmad

 Rais wa CAF aachiliwa huru Ufaransa

Rais wa shirikisho la soka barani afrika  Ahmad Ahmad, ameachiliwa huru nchini  Ufaransa bila kufunguliwa mashtaka yoyote  baada ya kuhojiwa huko Marseille ,mwendesha mashtaka mjini humo amesema .

Rais Caf Ahmad akamatwa nchini Ufaransa

Xavier Tarabeux  amesema Ahmad,  aliyekuwa nchini Ufaransa kwa mkutano wa  Fifa  uliofanyika siku ya jumatano  alihojiwa katika sehemu ya uchunguzi  kuhusu ufisadi  na ulagjai  wa kughushi stakabadhi .

Photo Credits: internet

Read More:

Comments

comments