Diamond na Rayvanny waalikwa kufanya shoo nchini Canada

Wakali wasafi records, Diamond Platinumz pamoja na Rayvanny watakuwa wasanii waalikwa kwenye sherehe ya East meets west nchini Canada tarehe 14 mwezi Oktoba mjini Toronto nchini Canada. sherehe hio itahudhuriwa pia na Mr Flavour kutoka nchini Nigeria.

View this post on Instagram

A post shared by (@princegeorgeentertainment) on Aug 3, 2019 at 8:15am PDT

Shoo hio inapaniwa kuwaunganisha wasanii wa Afrika mashariki na wanamarekani kwa ujumla. Shoo hio imeandaliwa na the Prince George entertainment. Watakao nunua tiketi mapema watauziwa dollar Hamsini huku wale watakao nunua mlangoni wakiuziwa dollar sabini(regular) huku za eneo la kifahari zitauzwa dollar 100.