Vera-Sidika

Shika mbele ya Umma: Vera Sidika amwambia mpenziwe

Kabla hata mawingu ya Siku ya kusherehekea Valentino hayajafunguka,mwanabloku na ‘mfanyabiashara’Vera Sidika aliandikia mpenziwe ujumbe akimwambia anaweza mpusu ,kumshika mahali anaitaji mbele ya watu ikiwa...
zari

Zari awaomba mashabiki kupunguza kufuatilia mwanamme wake

Zari Hassan alionekana kwenye picha akiwa na mwanamme ambaye amekisiwa kuwa ndiye mpenzi wake mpya anayemuita King Bae. Mwanamme huyo kwa jina Cedric Anthony Fouries...
tanasha

‘Diamond anahofia ndoa,’ Asema dadake, Esma

Esma Khan, dadake Diamond Platnumz amesema kwamba mwanamziki huyo anahofia sana kufunga ndoa kabla ya kujiandaa. “Sisi hujadiliana sana kuhusu masuala ya ndoa, [Diamond] ni...
NKURUNZIZA

Mkewe rais wa Burundi, Denise Nkurunziza atoa wimbo kuhusu uzazi

Je wajua kwamba mke Pierre Nkurunziza rais wa Burundi ni mwanamziki hodari ya nyimbo za injili?   Denise Nkurunziza amekuwa akiimba nyimbo za kumtukuza Mungu...
KITANY

Kitany amvua nguo seneta Linturi, hakamani

Mwanzoni yalikuwa mapenzi ya juu juu. Lakini muda ulivyosonga likachipuka penzi nzito likanoga na kuyeyusha damu na kujikita nyoyoni. Mwanamke, wanasema hupenda na moyo wake...
bahati-and-diana-marua-e1508571300568-696x411

Iwapo unataka raha katika ndoa, fuata ushauri wa mke wako – Bahati

Mwimbaji wa nyimbo za injili Kevin Bahati ametoa ushauri kwa wanaume wenzake kuhusu ndoa. Amewaambia wanaume kuwa wanafaa kuwaruhusu wake zao kuwashauri na watilie maanani...
makena 3 (1)

‘Makena Cheater’:  Gari La Makena lachafuliwa kwa maandishi kwa  madai ya penzi la pembeni .

Muigizaji na mwanahabari Makena Njeri  amejipata  akiteka nyara mitandao ya kijamii baada ya gari lake zito aina ya Mercedes Benz  kupigwa picha zenye maandishi ya ...
Wandia Kamau

Must Read: Still Single?Sababu 8 zinazokufanya usiwe na Mpenzi

Mara sio moja umesikia  msemo huu ‘ maisha ni mafupi’.Je ushawaji kujiuliza mbona binadamu hutaka maisha yawe marefemu ?  Wengi wanajishughulisha na vingi ili kujiridhisha...
TANASHA7__1___1561360136_69462

Diamond Platinumz ataoa marsharti ya sherehe ya 707

Diamond Platinumz ametoa masharti yatakayo fuatwa ili kuingia kwenye sherehe ya siku ya kuzaliwa ya mamayake pamoja na mpenziwe. Kwenye mtandao wake wa instagramu, platinumz...
monicah-kimani1

Maisha ya raha mstarehe aliyoishi Monica Kimani

Wakenya wamepata jipya la kuangazia kutoka kwenye kesi ya mauaji yake Monica Kimani. Monica alikuwa mfanyi biashara maarufu hapa nchini. Alipatana na mauti yake nyumbani...
TANASHA7__1___1561360136_69462

Diamond Platinumz ataja siku ya harusi

Diamond platinumz amefichua siku anayo pania kumuoa mpenziiwe Tanasha. Akizungumza na waandishi wa habari wa lebo yake ya Wasafi, katika wasafi festivals kule mjini Dar...
patanisho.fresh

PATANISHO: Alinichapa na kuniumiza mbavu na kichwa

Paul mwenye miaka 32 aliomba kupatanishwa na Martha mwenye miaka 28. Wawili hawa wamekua kwenye ndoa kwa miaka tisa lakini Paul akamchapa na kumuumiza Martha,...
TANASHA7__1___1561360136_69462

‘Vijana chipukizi wanaopendana,’ Mama Diamond asifia Tanasha

Mama ya Mwanamziki Diamond Platnumz amemsifia Tanasha Donna ambaye ni mpenzi wa mtoto wake. Mama Diamond ambaye anajulikana kwenye mitandao ya kijamii kama Mama Dangote...
Hamisa Mobetto

‘Sidaiwi kodi,’ Hamisa Mobetto akanusha fununu

Hamisa Mobetto ambaye ni mwanamitindo kutoka Tanzania amekanusha madai kwamba anadaiwa kodi. Akiongea na SnS, Mobetto, ambaye pia ni mwanamziki amesema kwamba hajawahifeli kulipa kodi...
Willy-paul-696x522

Willy Paul anataka mwanamke, sio mke

Willy Paul ameweka wazi kwamba anataka mwanamke ambaye atakuwa mwandani wake ila hatamuoa. Amesema anawezakuwa katika mahusiano zaidi ya miaka thelathini bila kuoa. “Kwanini nioe?...
Vanessa Mdee na JUma Jux

Vanessa Mdee aachana na mpenzi wake Juma Jux

Mwanamziki Vanessa Mdee ametangaza rasmi kwamba ameachana na aliyekua mpenzi wake Juma Jux. Wawili hao kutokea nchi jirani ya Tanzania wamekua kwenye mahusiano kwa mda...
DK Kwenye Beat and Shanice Wangeci

Mpenzi Wa DK Kwenye Beat amuenzi siku yake ya kuzaliwa

Mwanamziki wa nyimbo za injili DK Kwenye beat anasherehekea siku yake ya kuzaliwa. Mchumba wake Shanice Wangeci amemuenzi kwenye mtandao wa Instagram akimshukuru kwa kuwa...
OLD BOXER

Wanaume msilale na chupi! Pia badilisheni na sio kuvalia moja kila siku

Wanaume wameshauriwa kulala bila chupi au kuvalia zinazolegea. Mwanajinakolojia Allan Ikol anasema kuvalia chupi za kubana ni jambo linaloathiri kiwango cha mbegu zako za kiume...
janetandhubbyeddie

Mume wa Janet Mbugua aziweka wazi picha za mtoto wao wa pili

Mtangazaji maarufu Janet Mbugua alijifungua mtoto wa kiume, Mali, mwezi wa September na hatujapata fursa ya kuona uso wake tangu kuzaliwa. Eddie Ndichu mumewe Janet,...
wyre

‘Kifo cha babangu kiliniuma sana’ Msanii Wyre afunguka

Msanii mashuhuri Wyre amesema kwamba kifo cha babake mzazi ndicho kitu kilicho muuma sana maishani kwani alikua mwandani wake. Akiongea kwenye mahojiano na radio jambo...
Mbusii Deh

“Nikiingia Mombasani nione Fatuma sitambania” – Mbusii

Katika kikao cha Papa Na Mastaa wiki hii ilikuwa zamu ya mtangazaji Mbusii kufika na kujumuika katika shoo yake Rais Papa inayoruka kupitia mtandao wa Youtube...
Mercy Masika

Mercy Masika speaks about how song, ‘Mwema’ changed her life

Mercy Masika was recently interviewed by playhouse and revealed some anecdotes about her life and how she had struggled with her music career, almost giving...
aaaaaaaaaa

Patanisho: Abdul-Nakuhakikishia kwamba hakuna siku nitakuplay

Abdul alituma ujumbe  katika kituo cha utangazaji cha  Redio Jambo katika kipindi cha Patanisho ili asaidiwe kupatana na mkewe Maureen. Ndoa yao ya mwaka mmoja...
download (1)

Jombi ahofia usalama wake baada ya kuchepuka na bibi ya ndugu mdogo

Jacob alipiga simu katika kipindi cha Patanisho ili asaidiwe na watangazaji wa kipindi hicho Gidi na Ghost ili aweze kupatana na ndugu yake mdogo. W...
aaaaaaaaaa

Patanisho: Bibi amtoroka bwanake baada ya kuuza shamba

Katika Patanisho leo Peter, 41, alipiga simu katika kipindi kinachopendwa sana na kinachoruka katika kituo cha utangazaji cha Redio jambo kila siku. Kwa njia ya...
sup

Jombi atumia gundi kumfunga mkewe sehemu za siri

Kisa cha kushangaza kimefanyika nchini Qatar katika familia moja ya jombi na ambaye kwa muda mrefu amekuwa akimshuku na kuwa na wivu wa kimapenzi uliopita...