nderitu gachagua

Rigathi Gachagua ajiondoa kutoka kinyang’anyiro cha ugavana Nyeri

Rigathi Gachagua,  kakake marehemu gavana wa nyeri Nderitu Gachagua  amejiondoa kutoka kinyng’anyiro cha kiti cha ugavana mwezi agosti.

Rigathi hata hivyo amesema  atautumia mtandao wake wa kisiasa kumsaka na kumwunga mkono mgombeaji bora wa kiti hicho.

Photo Credits: file

Read More:

Comments

comments