‘Rip to me,’ Mwanaume ajiua baada ya kuandika ujumbe wa kujiua

Wananchi katika mtandao wa kijamii wamebaki mdomo wazi, baada ya mwanaume aliyefahamika kama Yego Dennis katika mtandao wa kijamii kuandika ujumbe wa kujiua na baada ya siku mbili akajiua.
" Rest In Peace to me." Aliandika tarehe 17/02/2020 mwendo wa saa mbili na dakika tano usiku.

Ni ujumbe ambao wengi waliuchukulia kama mzaha lakini alidhibitisha ujumbe wake kwa kujiua, ujumbe huo wa Yego ulikuwa na picha zake.

Katika ujumbe mwingine aliouweka katika mtandao huo siku hiyo mwendo wa saa mbili na dakika ishirini na moja ulisema hivi;

"Kama kuna mtu ananitai then kam before midday tomorrow morning(kama kuna mtu ananihitaji kuja kabla ya kesho adhuhuri)." Aliandika Yego.

Denni Yego,24, alikuwa  na mawazo huku akipatikana akiwa amejinyonga juu ya mti, sababu ya Yego ya kujiua bado haijajulikana.

Baadhi ya jumbe za wananchi kuhusiana na kitendo hicho ni kama;

Mourine Irene Kenya is really turning into something else…. depression must be announced a national disaster

Don Juma I think mental health it’s becoming serious

Sheldon M Shichere So sad that the guy is gone at early age. Let’s not blame one another mbona hatukumsaidia,no one would have thought of this. We would have all gone to save him. May God give the family strength during this mourning time

Muthiukuri Thiike Wishing I had seen this post before Yego took his life maybe he could be still alive yet I’m wondering if you all read it and took it as a joke as most claim they are on Facebook for fun I pity the so we call online friends yet they are here judging condemning