Robert Mugabe, Al Bashir. Orodha ya marais dikteta waliotimuliwa mamlakani

Robert Mugabe ni kati ya viongozi barani Afrika ambao walipendwa na kuchukiwa na raia. Ustadi wa Mugabe katika majadiliano ulimpa heshima sana huku wanahabari wakimbandika jina “The thinking man’s guerilla”. Mwaka wa 1979, nyumba ya Lancasta ilitengeza katiba ya nchi ya Zimbabwe huku mwaka wa 1980 Februari Zimbabwe ilishuhudia uchaguzi wake wa kwanza.

Soma hadithi hii;

Huyu sio rais wa kwanza kutimuliwa ofisini ila wapo marais wengine katika orodha hii;

Robert Mugabe aliitawala nchi ya Zimbabwe kutoka 1987- 2017

Omar Bashir alichukua uongozi 1989 kupitia mageuzi ya serikali. Aliitawala Sudan kwa miongo 3

Blaise Compaore’s  Aliitawala nchi ya BurkinaFaso kwa miaka 27 na kutimuliwa baada ya maandamano dhidi yake na mageuzi ya jeshi 1987.

Soma hii hapa:

Abdoulaye Wade alitimuliwa na raia wa Senegal baada ya maandamano kufanyika mwaka wa 2012.