Ruth Odinga aagizwa kumfidia mfanyibiashara kwa kuharibu gari lake

Naibu gavana wa Kisumu Ruth Odinga ameagizwa na mahakama kumlipa mfanyibiashara mmoja shilingi  495,820 kwa kuharibu gari lake.

Bwana Rickham Muga alimshtaki Bi Odinga  kwa kuharibu gari lake  wakati magari yao yalipogongana  juni tarehe moja mwaka wa 2013.