Ruto na Raila waipa kongole Harambee stars

Kufuatia ushindi wa Harambee stars dhidi ya Taifa stars ya Tanzania, viongozi wengi humu nchini wakiongozwa na naibu wa rais William Ruto na  Raila Odinga, wamewapa kongole vijana wa Harambee stars.

Kenya ilitoka nyuma mara mbili na kupata ushindi wa 3-2 kwenye mechi ya pili ya kundi C dhidi ya Tanzania.

Raila Odinga, baada ya kuwatia Moyo Harambee stars walipocharazwa  na senegal alisema;

— William Samoei Ruto, PhD (@WilliamsRuto)

Sonko:

Gavana wa Nairobi Mike Mbuvi Sonko aliongioza kundi la wakenya kwenda kuishabikia harambee stars kule Misri katika mechi yao dhidi ya Tanzania. Kwenye mtandao wake wa twitter sonko alisema,

"Congratulations for the hard-fought victory against our good neighbours Tanzania and well done Michael Olunga for winning man of the match in this encounter. Let's now focus on our next match against Senegal. "

— Mike Sonko (@MikeSonko)

Kalonzo: "Congratulations to Harambee Stars win againist Tanzania in the .Well done.We are all proud of you."

— Kalonzo Musyoka (@skmusyoka)

Willis Raburu,"OLUNGA My goodness!!! Danced your way to our hearts tonight! 👏👏👏👏🇰🇪🇰🇪🇰🇪 c

— Willis Raburu (@WillisRaburu)

 Harambee stars sasa itachuana na Senegal kwenye mechi yao ya mwisho ya makundi. Sare au ushindi kwenye mechi hio utahakikishia wakenya nafasi katika nafasi ya 16 bora.
Nahodha wa Harambee stars akizungumza baada ya mechi pia aliwashukuru Wakenya kwa kuwapa ushabiki wa hali ya juu huku akiwahimiza Wakenya wazidi kuunga Harambee stars mkono kwenye mechi zoa zijazo.