Sababu ya Vera kuibadilisha rangi yake

Vera Sidika amekuwa majadiliano ya mji sasa kwa wiki nzima baada ya kuibadilisha ngozi yake na kuwa nyeusi.

Vera alisema, "Kamwe usikubali kufafanuliwa na maisha yako ya hapo awali, kwani ilikuwa tu ni funzo si hukumu ya maisha."

Alipata maoni mengi mazuri na, bila shaka ya, upinzani.

Mmoja alisema, "Mabadiliko ya Vera ni makubwa kuliko unavyoyafikiria! Unawahimiza wanawake wadogo kujipenda vile walivyo. Pongezi Vee."

Hata hivyo, hivi ndivyo Vera alivyoibadilisha rangi ya ngozi yake. Alinunua bidhaa itwayo tan ambayo huenda kwa Sh4,000 hadi Sh13,200, moja ikiwemo Bondi.

Sands Self Tanning Mist, ambayo inapatikana kwa Sh 13,200.

Kulingana na wataalam, unapojipaka 'tan', indumu siku nne au tano na unapopokea matibabu ya ziada, inadumu siku saba au nane kabla ya kufifia.

Vera alikuwa akiukuza wimbo wake mpya unaojulikana kama Mimi, ambao unasema dhidi ya ubaguzi kulingana na rangi ya ngozi.

Soma mengi hapa -->