Sababu zatolewa mbona ndoa za siku hizi zinafeli

Nikiwa mchanga nilikuwa na ndoto ya kusoma, kuhitimu, nipate kazi kubwa niwe mdosi wangu mwenyewe, nijenge nyumba kubwa na ninunue gari la kifajari.

Na kwa sababu singetaka kuishi mpweke nilitamani nipate binti mzuri mrembo, shepu ya malaika tufunge ndoa katika harusi kuu na baadaye tuzae watoto watatu.

Hata hivyo ndoto yangu ilizidi kung'aa lakini kama kuna jambo lililobadilika ndani mwangu ni hamu ya kutafuta kidosho ambaye tutapendana kisha tufunge ndoa kisha tujaliwe wana.

Pindi miaka inavyosonga ndivyo nia yangu na ari ya kufunga ndoa inadidimia kwani nafikiri kuwa sihitaji mke ili nipate watoto.

Naweza pendana na mtu na tuelewane kuwa twaweza pata mtoto bila hata kuoana na pia tukubaliane jinsi ya kutunza wana wetu.

Wengi waweza sema kuwa hizo ni fikra za mtoto wa kidigitali au pia mtu ambaye hakuwa na maadili mema kutoka kwa wazazi au wazee. Chenye najua na naamini ni kuwa kuna vijana wengi ambao hawaamini na ndoa.

Hata hivyo, Radio Jambo tuliamua kuwauliza wakenya mbona ndoa za siku hizi huwa hazidumu.

Haya ni baadhi ya maoni yenyu.

Luchombo Eunice:  Many promises for nothing, lack of trusting, more Childishly especially in men 👬 👈, they want to be treated like small babies

Stephen King: Ndoa nyingi zinakosa commitment mara utapata wanapochumbiana wote wako na matarajio mengi na hapo tu matarajio yale yanapokosa kuzaa matunda kunaingia ulegevu wa haina yake. Tukiwa committed kwa mema au mabaya katika ndoa zetu sioni vile zitakavyo feli. Commitment is the word.

Samson Mwendwa: This is because of humility which comes from premature conclusion ie, when everyone thinks they know what the other was to say, who will listen?!. Fussing and fighting, breaking to make up, once friends they repeat the same. And so chances are you will always be sad. What about stress,rage,.............

Frank Mackmende: Most people tend to be busy making a life, while they know that they have deepened unsolved problems with their spouses back at home. Others are possesed with lustrous mentality. It is like they rashed to marriage withought finishing "soil sampling". And All in All , people have become so soft, so lazy to work for their relationship. SIMPLY PUT!! THIS IS A LAZY GENERATION.

Jack Mwanzia:  high expectations n' poor understanding of marriage..... there is a lot to be considered beyond bed matters... vitu kwa ground ni different,,,

Machukii Isaac: Too much power given to ladies, gone are the days when a man was respect like demigod

Kijana Mtall Mpenda Amani Aziezi sababu kuvumiliana imekua ngumu ikilinganishua na zana zile, hawana uaminifu WALIMU WA ndoa ni wengi Mara anakaa hvi Mara boma hilo no Mara ungeuliza mapema na wao wana lrana maskio na pia wazazi wetu wanataka Mali kwa haraka msichana akirudi kahapa mwanangu uko n bure bt kitambo ilikua ruditu kule kule uli mchagua mwenyewe ukirudi inakua unavumilia From butere lower market