Safari ya muziki haijakuwa rahisi, Nadia asimulia Massawe

IMG_9987__1570802561_80815
IMG_9987__1570802561_80815
Staa wa kike Nadia Mukami amesema kwamba  safari yake ya usanii ilianza na changamoto tele kwa kuwa jamii yake haikupokea wito huo kwa furaha.

Jamii na ndugu zake walimtaka afanye kazi afisini.

Msanii huyu mwenye mtindo wa kibongo ana ngoma saba sasa zinazovuma na ameeleza  changamoto kibao pamoja na matamanio  katika taaluma yake.

Katika kipindi cha Bustani la Massawe na Massawe  Japanni ,

Nadia amekiri kuwa safari yake haijakuwa jinsi alivyodhani mwanzo.

Soma mengine;

Kuanzia taswira yake ya kupokelewa katika famili na hata kwa famili.

Pamoja na mtazamo wa mashabiki wake .

Massawe alimwuliza kuwa " Unatengeneza pesa watu ama unajibizana na watu".

Hii ni baada ya Nadia kumjibu shabiki wake visivyo  katika mtandao wa kijamii .

"Nimekuwa nikitrend kwa memes kutoka baadhi ya mashabiki. People forget pia sisi ni binadamu."

Nadia  amesema hivyo baada ya kujibizana na baadhi ya wasanii mtandaoni.

Soma mengine;

 Shabiki huyo alikuwa amefuata sana na cheche za maneno mtandaoni

Maoni ya mashabiki wake na hata maneno kutoka mahasidi wake.

Kando na usanii Nadia ni mfanyabiashara mkubwa sana wa kuuza soksi.

Nikiwa mdogo nilikuwa napenda sana kuimba,

Nadia anajivunia sana kwamba yeye amekulia maeneo mengi sana ya mtaani ikiwemo Mombasa na hivi sasa anakaa Mwihoko.

Soma mengine;

" Babangu ni mhandisi na mama akiwa mwanajeshi walinipa malezi mazuri na walitaka sana nisome kwa bidii."

"Nikianza usanii nilikuwa sina hela za kutosha, pia nilikuwa na hofu kuhusu mwili wangu kwa kuwa nilikuwa na mwili mdogo.'

"Mimi ni mdogo kimwili na wakati mwingine nikawa najiambia kwamba lazima ni na mwili kiasi ili nianze kuimba."

Nadia anakiri kumweka Mungu mbele katika shughuli zake. Anasema kwamba kila mara anapopatana na changamoto yeye kupiga dua.

"Kakangu alikuwa na...wakati nilianza mziki... "

Nadia alianza

" Anafurahia sana kuwakushiriki katika mashinadno ya coke studio."

Anapendezwa sana na Sauti Sol na anatazamia kujiunga nao ila nita.'

"Napenda professionalism ya sauti kwa vile wamejiweka"