whatsaap

Salaale! Mbunge wa Magharibi achanganywa akili na picha za binti

Ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni. Mbunge wa mtaa wa magharibi ya kenya alimtumia binti ujumbe mfupi kupitia mtandao wa kijamii wa WhatApp jumatatu na kumwomba picha zake.

Binti huyu alipokuwa akizungumza na mbunge huyu na kuumuliza mbunge kuhusu maoni yake ya matokeo ya uchaguzi wa kibra,mheshimiwa  huyu alimjibu na kumwambia,

“Keep that for another day, tuma picha.”

Mariga akubali kubwagwa, amualika Imran chakula cha mchana – Video

Kabla ya mate kukauka,binti huyu alituma picha na mbunge huyu akabaki amezubaa kama mja aliyeyaona mabaki ya adamu na hawa kwani urembo wa binti huyu ulikuwa umekolea si kidogo.

Hivyo basi,mbunge huyu aliamua kumualika binti huyu kwa mkahawa ili wazumgumze na bila kusita binti akakubali.

Baada ya habari hizi kuenea,vurugu ilizuka na wengi kushangaa ni vipi vile mbunge huyu alipata cheo cha ubunge kwani mheshimiwiwa huyu hana uadilifu.

Gavana wa Mombasa, Hassan Joho alazwa hospitalini

 Licha ya hayo,wanawake wengi walisema kuwa wakati mwingine wabunge hawa hutumia mamlaka   yao vibaya kwani wao hudhulumu haki za binadamu.

Je mambo yanageuka na kuwa vipi?

 

 

 

Photo Credits: courtesy

Read More:

Comments

comments