Sarah ana mimba ! Harmonize atangaza kwamba mkewe anatarajia kupata mtoto

Staa wa Bongo  Harmonize amefurahi sana baada ya kuthibitisha kwamba mkewe muitaliano Sarah Michelotti anataraji kupata mtoto

Wawili  hao wamekuwa katika uhusiano  kwa muda mrefu  na hatimaye matunda ya uhusiano huo yameanza kuonekana . msanii huyo alizitoa habari hizo siku ya jumamosi wakati alipokuwa akipisha show ya muziki .

“  Tunataraji kupata mtoto hivi karibuni kwa sababu Sarah anatarajia tunavyozungumza sasa’ alisema msanii huyo

Tangazo hilo la Harmonize kuhusu habari hizo nzuri  linajiri baada ya  wawili hao kupata msukosuko katika  uhusiano wao  miezi michache iliyopita na hataSarha akaonekana kum unfollow mume wake katika mitandao ya kijamii .

Mwanamke anayedaiwa kuwa mpango wa kando wa  msanii huyo  Nicole Joy Berry  na Sarah  walijihusisha na katika bifu ya mtandao  hatua iliyomfanya msanii huyo  kwenbda instagram live na  Nocole  akiwaburudisha mashabiki wake wakati wa lockdown .

Sarah alighadhabika na kwenda kwenye section ya kutoa maoni na kumuita Nicole kahaba . .w

Yaonekana  Harmonize na mke wake wamesuluhisha tofauti kati yao na sasa hivi karibuni watakuwa wazazi .