Sasa unataka tuje tukutoe Dry spell?, Wakenya wajibu madai ya Size 8

101568437_894275454385230_571786764716995605_n
101568437_894275454385230_571786764716995605_n
Saa chache tu baada ya msanii wa nyimbo za Injili Size 8 kudai kuwa ni siku nyingi tangu bwanake DJ Mo kushughulikia matakwa yake ya kindoa, sasa wakenya wameamua kutoa usemi wao kuhusiana na matamshi hayo.

"If he worked on me as hard as he does while hustling, we would not have issues in this marriage," alilalamika Size 8 kutokana na hatua ya Mo kukosa kulipua lungula.

Aidha mumewe Mo alijitetea akisema baadhi ya mavazi ambayo mkewe huwa anavalia humkosesha ladha ya kushiriki tendo hilo.

Baada ya kuona semi hizo za wanandoa hao maarufu nchini, wakenya wengi waliotoa maoni yao kama ifuatavyo;

Hannah ;Size 8 : buys ps 5,Size 8: I'll give dj mo this ps 5 if he lasts 2 minutes

 
IG: wizkalibo; 
Ben Mwangi; Tell him akuwe akinyonga akienda apo inakuwa ni round two hehe ata last for a while advise for weak men...but dont bruise your mans ego like this in public Wtf #size8 #whyididntreport

Hannah; Size 8 alisema DJ Mo is poor in Bed Kwa Camera...that will never change Read more

Wakenya hao sasa wanasema ni vyema wanandoa hao kuweka maswala yao kibinafsi kando na umma.