Sema Na Raey: Nililala na mother-in-law nilipize kisasi (Audio)

Jamaa mmoja kwa jina Michael, alitoboa siri yake kali katika kipindi cha ‘Sema Na Annitah Raey’ huku akieleza jinsi mkewe alimkosea. Jambo ambalo lilimfanya yeye kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mamake mkwe.

Aliweza kutenda tendo hilo kama jinsi ya kulipiza kisasi kwa bibi yake ambaye alichukuliwa na rafikiye Michael.

"Nilikua nimeoa Bibi yangu kwa miaka nane lakini akaanza kuwa na uhusiano na rafiki yangu wa dhati ambaye nilikua nimemwamini sana.

Wakati mwingine hata nikisafiri nilikua namwaminia familia yangu yeye aichunge ila sikujua rafiki yangu alikua anamchimba.

Mimi niliamua kumwendea mama yake ambaye tulikua tumezoeana vizuri na pia ana mali kwelikweli na alikua ameonyesha mapenzi kwangu.

Nilishiriki tendo la ngono naye kisha baadaye nikamtumia bibi yangu hizo picha za mama yake.

Bado tunaongea na mama yake ambaye pia ana pesa na amekua akinisaidia kuinua biashara yangu."

Pata uhondo kamili.

&feature=youtu.be