Serikali Imewahakikishia Walimu Kwamba Makubaliano Ya Nyongeza Ya Mshahara Utatekelezwa

walimu
walimu
Serikali imewahakikishia walimu kwamba makubaliano ya nyongeza ya mshahara yalioafikiwa mwaka jana yatatekelezwa kuanzia julai mwaka huu.

Waziri wa elimu Fred Matiangi amesema tume ya kuwajiri walimu TSC na miungano ya walimu zimekuwa zikijadiliana kuhusu ratba ya kutekeleza makubaliano ya CBA, yanayofaa kufanywa kati ya Julai hadi juni mwaka wa 2021.