Shirika la msalaba mwekundu kusema bado watu 19 kuhesabiwa

Baada ya shambulizi la kigaigi DusitD2, watu kumi na tisa bado kuhesabiwa baada ya masaa ishirini na nne.

Hii ni baada ya polisi kukamilisha uchunguzi wao katika eneo hilo.

Katika taarifa ya msalaba mwekundu wasema walipokea kesi 94 ya walio potea ilhali walisuluhisha kesi 75 jumatano saa 8;30 asubuhi,

Relief Agency wasema watu 341 wamo katika ushauri kwa sababu ya ushambulizi huo uliofanyika.

"Watu wengi waendelea kupokea ushauri  katika vituo,vituo zitaendelea kupatikana katika chumba cha kuifadhi maiti cha chiromo,"

Timu ya mawasiliano ya msalaba mwekundu walisema.