Shiti my sweery! Si tuanze kuchumbiana unichape lungula ya kutosha? Vera Sidika ammezea mate DJ Shiti

NA NICKSON TOSI

Vera Sidika, mfanyabiashra na mwanasosholaiti kutokea Kenya amewashtua wengi baada ya kumrai mcheshi DJ Shiti kuanza rasmi kuchumbiana. Hii ni baada ya DJ Shiti kubadili mwonekano wake na hata kuvalia nguo zilizomfanya kuwa nadhifu ,jambo lililofanya baadhi ya watu kumfananisha na gavana wa Mombasa Ali Hassana Joho.

Baada ya kupiga picha hicho na kuziweka kwenye mtandao wake wa youtube, Shiti aliandika hivi Sinema Za DJ Shiti.

Baada ya kuona picha hiyo, Vera aliandika hivi.

Hii ni ukweli ama ni photoshop, Kam tudate shiti my sweety.

Wengine waliochangia baada ya kuona picha hiyo ya DJ Shiti ni wasanii wa kikundi cha Sauti Sol ambao waliandika ifuatavyo.

Unakaa bouncer wa Sabina Joy.

King Kaka hakusalia nyuma kwa kuchangia maoni yake kutokana na picha za Shiti.

Si hizi picha za suti utatusumbua nazo