Msanii Size 8 na mumewe DJ Mo wamekuwa katika ndoa miaka kadha sasa , na kubarikiwa na watoto wawili Ladasha na Samuel.Awali wakiwa karantini mumewe Size 8 alimuonya na kumwambia kwamba hakutaka watoto wengine kwa sababu wawili hao walimtosha .
Size 8 alikuwa ametatizika akiwa na uja uzito wake wa mwisho na kulazimika kulazwa hospitalini kwa muda
Size 8 alimuleza dadake Mary Munyali kwamba msimu wa baridi watu wengi hujipata na uja uzito kwa sababu ya kujipata wakiwa wawili wawili ili kupiga vita baridi . Mary alikuwa amesema ;
"TUNATAKA BABY NUMBER TWO AMA NI BABY NUMBER THREE?. RIGHT NOW IS WHEN PEOPLE ARE GETTING BABIES."Mary Aliandika.
Size 8 akamjibu hivi
"NAEZA TAKA MTOTO MWINGINE BUT SI SAHI.UNAKUMBUKA ILE DRAMA NILIPITIA?"
Alipoulizw aiwapo anapanga uzazi ,alisema ;
"YES I AM, YOU REMEMBER AFTER I LEFT HOSPITAL I WAS TOLD TO GO BACK AND SEE THE DOCTOR DUE TO MY BLOOD PRESSURE.
SO I SORTED THAT STORY." Alijibu.
Wiki kadhaa zilizopita DJ Mo alimuonya Size 8 dhidi yya kupata mtoto mwingine katika video aliyoposti mitandaoni na kuandika ;
"MAISHA NI KUJIPANGA 😂😂😂😂 WEH …ANYWAY PLEASE @SIZE8REBORN DON’T TELL ME TO ADD ANOTHER ONE HAWA WAMETOSHA 😂 … NAJUA MTOTO ANAKUJA NA SAHANI ULE BUT FAMILY PLANNING IS VERY IMPORTANT …
WANAUME WANAELEWA HAPA 👍 #TUJULISHANE."
Imeharirirwa na Yusuf Juma