Sijawahi kuwa na uhusiano wowote na William Ruto-Asema Miguna

Miguna Miguna
Miguna Miguna
Wakili miguna miguna ameweka wazi na tena kusema kinagaubaga kuwa hajawahi uwa na uhusiano wwote na naibu rais William Ruto,Kupitia mitandao ya kijamii ya twitter miguna alisema kuwa DP Ruto alimpa block kwenye mitandao hiyo mnamo mwaka wa 2017.

Hii ni baada ya kudai kuwa watu ambao wanafanya kazi na Rais Uhuru Kenyatta na Raila Odinga wanajaribu wawezavyo kumuunganishha na DP ruto.

“For hypnotic zombies, my message is this: There has never been any link, connection or relationship between me and . Despot Uhuru Kenyatta and Conman Raila Odinga must stop their desperation. . The new punching bag has BLOCKED me on since 2017 during my BLISTERING CAMPAIGN against all the Kenyan despots and conmen. But Despot Uhuru Kenyatta and The People's Welding Conman are desperate to link me to him. LOSERS! ,” Alizungumza Miguna Miguna.

Miguna alizidi na kunakili kisha kusema kuwa Rais Kenyatta na Raila Odinga pia wali,pa block mnamo 2017 na mwaka wa 2018 mtawalia.

Alisema kuwa wawili hao wanamuogopa ndio maana walimfurusha na kumpeleka Canada, Mguna alisema kuwa hajali kupewa block na viongozi hao watatu kwa maana hawaongezi jambo la maana katika maisha yake.

"To be clear, I don't care about being blocked on by Despot Uhuru Kenyatta, Conman or . I don't miss their empty Tweets. Their messages add no value to the lives of Kenyans. In fact, they are EMBODIMENTS of the culture of impunity. ."Miguna Aliongeza.