jowie.000

Siku ya Siku!:Penzi la Itumbi laning’inia ,’ KOT watoa hisia kuhusiana na Jowie kuwachiliwa na mahakama.

Baada ya habari kuchipuka kuwa Joseph Irungu almaarufu Jowie amechiliwa kwa dhamana ya millioni mbili, wananchi wengi wametoa hisia tofauti kuhusiana na jambo hilo.

Kupitia mtandao wa kijamii wa twitter Dennis Itumbi alimkaribisha Jowie huku wengi wakimkejeli  na kumwambia kuwa mpenzi wake Jacque Maribe hatokuwa na yeye kwa sababu kipenzi cha zamani kimewasili.

‘Spoil your man this Valentine’s Day’ Julie Gichuru awashauri wanawake

EQo-1koXkAAmOxC

 

KOT wanaamini Dennis alikuja katikati ya penzi la wapenzi hao wawili.

Jowie amefungwa zaidi ya mwaka mmoja huku waliyeshtakiwa na yeye Jacque Maribe akiachiliwa kwa dhamana mwaka 2018.

Rafikiye Jowie,  Joe Muchiri ameendika ujumbe wa kuwarai wakenya na marafiki  kujitokeza na kuchanga pesa ambazo mshukiwa huyo atalipa kama dhamana .

Baadhi ya hisia zilizotolewa na KOT ni kama vile zifuatavyo;

‘Shida ni kupata pesa!’ Joe Muchiri aomba msaada kumlipia Jowie dhamana ya millioni 2

@hmjumba: #RAO mentions Jowie 3 times at Kabarak yesterday and today Jowie is released…wacheni Baba aitwe Baba!
@jimmymricheni: Jowie is finally out. Men’s Conference main speaker tomorrow will be Jowie.
@CisNyakundi: The Judiciary was finally ashamed and has granted Jowie bail but why Ksh 3 Million even after he suffered for more than a year? It seems someone was really determined to jail Jowie.
@AS_Wanyama: Jowie released… Itumbi be like ‘Why Me?’. Itumbi’s Valentine’s Day under siege.
@ItsKiprotich1: This case of Jowie is a perfect description of the power of Money. You got money, you gonna be free. Without the money, you will rot in jail even if you haven’t been proven guilty.
@kajonee: Just in time for valentine or probably men’s conference.
@ombasabenah: Baba shouted yesterday, “jowi, jowi,jowi” the judge got confused and now Jowi is out.
 

Photo Credits: facebook

Read More:

Comments

comments