goldigger (1)

Siku za mwisho ama?Wanawake wajivunia kushiriki ngono na waume wasio wao

Visa vya wanawake kujivunia kuwa na ushirikiano wa kimapenzi na waume wa wenzao umezidi kukithiri miongoni mwa wakenya wengi nchini.

Wanawaake walijitokeza wazi na kusema kuwa wao huishi maisha ya hali ya juu kwa sababu ya kuwa na uhusiano wa kimapenzi  na waume wazee zaidi kuwaliko.

Mara kwa mara,waume hawa huwa wameoa na wana watoto wakubwa lakini bado tu watakwenda kutafuta wasichana wadogo na kuwafanya vyombo vya ngono huku wasichana wakifurahia kuwa na pesa nyingi kutoka kwa wazee hawa.

Binti mmoja,jina lake Jane alifunguka wazi na kusema kuwa amekuwa na ‘sponsors wanne na anachoiendea uhusiano wao ni kuwa,huwa halali nao lakini bado wanampa pesa.

Patanisho: Bwana akosana na baba mkwe! Je sababu ni ipi?

Vilevile,alifunguka zaidi na kusema kuwa,waume hawa kumpa shilingi elfu 25,000 kila mwezi na hesabu ya pesa zile kutoka kwa wazee hawa huwa ni shilingi elfu 100,000.

”I have had 4 sponsors and the beauty about it is that I do not sleep with them,I get money, goodies but I do not go to bed with them.

All they want is to speak about things they cannot speak with their wife, monthly I receive roughly 25,000 from each, that’s 100k.

The oldest of them I have been with him for the last 5 years and I am 29 years old, the current one I met him this year the others I have dated them in between.

I am an administrator.”  Jane alisema.

Licha ya hayo,jamaa mmoja pia alifunguka na kusema kuwa ana rafiki yake mmoja ambaye alikuwa na uhusiano na  hawa wanaume mabwanyenye  na kwa sasa ako gerezaani Lang’ata.

Kenya yazindua chanjo dhidi ya saratani ya shingo ya kizazi, ina umuhimu gani?

Vilevile,alizidi kusema kuwa, wakati mwingine watu huona kuwa wamepata bahati lakini hajui pesa ile anayopewa  imetoka wapi.

metimes people get lucky but does she know the source of the money?

I have a friend who is rotting in Langata women’s prison for the same mistake of receiving money she has no clue where it from.

She was sentenced for aiding and abetting because the guy used her account to clean his money.

He would send 5000$ (Ksh 500,000) every month and then suggest that she goes buy land, a car and all that stuff.

When it went down she was the one who was arrested because all the money passed through her account.

It’s good to use the little you have atleast you know where it is coming from.” Alisema.

Vilevile,binti mwingine jina lake Nelly alifunguka mwanzo mwisho na kusema kuwa alikutana na mwanamume mmoja miaka nane iliyopita na mambo  yako shwari pamoja na mzee huyu.

I met this man 8 years ago. He is married and the wife lives in a different country.

We met in a different country (not where he is living with the wife) and things are super.

My child is going to a good school. I am living in my own house men help build our empires so lets not lie about it.

He is not a sponsor since we have been together for 8 years, we are not gonna get married and we are not planning to have kids but yes he is providing.”

Aidha,Nelly alisema kuwa mzee huyu alimwambia si lazima afanye kazi kwani yeye mwenyewe atagharamia maisha yake na mtoto wake.

He sends me 300$ (Ksh 30,000) every month and he even told me I don’t have to work.

Initially I used to work in a very reputable organization but since the man had money I just became comfortable and he told me that I don’t have to work.

Its been four years without me working and I am comfortable.” Nelly alisema.

Je mambo haya yataweza kukoma lini?
Usisite kuorodhesha maoni yako baada ya kusoma hadithi hii.

 

Photo Credits: courtesy

Read More:

Comments

comments