'Sikuwa na fikra zozote kuhusu twa twa nilikuwa najionyesha kitandani'-Akothee kuzungumzia ndoa yake ya kwanza

Msanii Esther Akoth almaarufu Akothee amefichua na kusema kuwa alipoolewa kwa mara ya kwwanza na aliyekuwa mumewe na baba wa wasichana wake watatu hakuwa anafahamu jambo lolote kuhusu ngono wala haki za kitandani.

Huku akiposti picha ya zamani na kuonyesha vile walikuwa kwenye mahabara ya mapenzi alisema kuwa jambo ambalo alikuwa anafahamu kuhusu twa twa ni kujionyesha tu kitandani.

Akothee alisema kuwa alifahamu mambo na ngono mwaka wa 2010,

“I just don't know why this love ended 😂😂 see romance shaa , just imagine I dint even have any idea of Sex ,I was just showing up in bed 😂😂😂, I discovered Sex in 2010😂😂😂, Jared should try me now haki 😂😂, The ambulance should be packing downstairs , a patient will be visiting the doctors and that patient is not me 😂😂😂. I really feel like I should show him my new styles and the things I learnt on earth after I left 😂😂I have advanced 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🏃🏃🏃🏃 God bless you and your family Jakamagambo Sani Atwera proper, jogi kiaya 😂😂😂”

Awali msanii huyo aliwaambia mashabiki wake kuwa alipokuwa anafunga pingu za maisha alikuwa kijana wa miaka,14.

Wakati huo baba wa wasichana wake alikuwa mwanafunzi wa chuo kikuu baada y miaka michache waliachana na kilaa mmoja kuendelea na maisha yake.