'Sina mtu na niko tayari kupata watoto wengine,'Pasta Kanyari asema

Mika imepita baada ya pasta Victor Kanyari kutengana na mke wake msanii wa nyimbo za injili Betty Bayo, Kanyari bado hajapata mchumba wa kuwa naye maishani mwake.

Akiwa kwenye mahojiano mwanzilishi wa kanisa la Salvation healing Ministry alikuwa nahaya ya kuusema,

"Nimewaona wanawake wengi lakini sijaamua kuoa bado, am single and ready to mingle." 

Alipoulizwa kama yuko tayari kupata watoto alisema kuwa yuko tayari kupata watoto sita.

"Ndio nataka wengine, sita nitazaa hadi pale Mung ataniambia niwache." Alizungumza Kanyari.

Nabii huyo wamebarikiwa na wana wawili wakiwa na aliyekuwa mkewe Betty Kyallo.