‘Sina shaka nawe najua utakuwa sawa,’ Otile afichuwa maneno ya mwisho ya mama yake kabla ya kifo chake

Msanii wa nyimbo za bongo Otile Brown anajulikana sana kwa ajili ya usanii wake na hata kazi ambayo anaifanya katika sanaa hiyo.

Kupitia mtandao wa kijamii aliandika namna mamake mzazi alivyomuacha akiwa na umri mdogo na kumpatia wosia wa mwisho kabla ya kukutana na mauti.

“WHEN I WAS 14, A DAY BEFORE MY MAMA PASSED ON, SHE LOOKED INTO MY EYES AND SAID, ‘I AM NOT WORRIED ABOUT YOU, YOU WILL BE OKAY." Otile Aliandika.

Hakukimya mbali alizidi kunakili na kueleza zaidi

"SHE HAD SO MUCH CONFIDENCE IN ME THAT I JUST HAD TO BELIEVE IN MYSELF EVEN MORE. WE WILL ALWAYS CELEBRATE YOU MOMMY. R.I.P TOTOO.”

Ni ujumbe ambao uliibua hisa nyingi na tofauti kwa mashabiki wake, hizi hapa hisia zao

Grace Tierling R.I.P she had a reason and you will still shine all is written on your face

Zeddy Jepchumba Koech you will still shine and all it is written on your face…R.I.P Mum

Violetiee Msanie Don’t worry, it’s part of life, Otile we love u big bro may soul rest in peace

Alicios Babu Yeah, she was right… May her soul rest in eternal peace

Anita Msafi it is painful losing a mother its unforgettable but we can’t bring em back. RIP Ma Otile.

Rowzie Wambui Rowzie She is in a better place sweeety. Take heart and continue making her proud dear. She is watching over you. Continue resting with the angels Maa????????????

Precious Pearl Wa Otile Shujaa wangu you are the dopest….love you to the moon and back…..

Hamyc Fredour RIP DEAR mummy.. mob love see you at the gate of eternity… #OneLove #Team_Otile

Faith Wins Let her soul rest in peace…no one wishes to luck mom… Always take heart Otile Brown we do sail in da same boat

Morenda Tshai Nancy You will still shine… let God guard you.. your mama will always be proud of u