Cheater?Diamond Platnumz atoa sababu ya kilichofanyika kati yake na Zari na Hamisa .

  Staa wa Bongo Diamond  amejitokeza kutoa sababu ya  kilichotokea kati yake na wapenzi wake wa zamani Zari na uhusiani wake na Hamisa Mobetto .

Diamond amefichua kwamba hatua yake ya kuruka hapa na pale na wanawake ilikuwa binu ya kumfurusha Zari  .Aliongeza kwamba hajawahi kuachwa na mwanamke .Zari   naye alimjibu kwa kusema;

‘ Sielewi unapata vipi ujasiri wa kwenda katika redio ya kitaifa nchini mwako  na kunishtumu kwa kuwa na msururu wa mahusiano na watu wengine ilhali ni wewe uliyoyafanya yote hayo katika kitanda chetu  ndani ya nyumba ambayo niliipamba mimi’