Sio Citizen TV tena, Liondeh sasa anaotea nafasi ya katibu mkuu serikalini

1
1
Mtangazaji Liondeh ametangaza ndoto yake ya kutaka kuwa katibu wa wizara hapa nchini.

Aidha, mtangazaji huyu hakuweka wazi angetaka kuwa katibu mkuu wa wizara gani.

Katika kipindi na Mbusii hapo jana, Liondeh aliweka wazi nia ya kutaka kuwa katibu mkuu serikalini.

"Nataka hiyo kiti ya principal secretary..."Alitania Liondeh.

Ndoto yake ya sasa inakinzana na matamanio ya awali ya kutaka kazi ya runinga.

Hapo awali mtangazaji huyu alitania kujaza pengo la Hussein Mohamed Citizen TV.

Mtangazaji wa kituo hiki Liondeh alifunguka kuhusu nia yake ya kuwa msomaji habari.

https://www.instagram.com/p/B1Go-VGJm-z/

Liondeh aliitaka kazi hii baada ya Hussein Mohamed kutangaza kuiacha.

Hussein alikuwa anasoma habari katika kituo hicho pamoja na kufanya mijadala na mahojiano.

“Nataka kuwa-breakia news ya TV siuliona Hussein Mohamed aliacha…” alianza Liondeh.

Nimeambiwa naweza pata hiyo kazi nikiuliza maswali mzuri” Alisema Liondeh.

Mbusii alimuuliza iwapo ataweza,

“Kama jana nilitoboa siri kama DCI…Mimi nitakuwa kama Hussein Mohamed pale hivo na-meditate.” alijitetea

“Mimi kitu naweza kuambia all the best kwa new appointment on your new job…” Alimwambia Mbusii

Katika mazungumzo baina yao, Liondeh alisema kuwa hajaidhinishwa bado na angali anasubiri