Mwanamke mwenye umri wa miaka 68 huko Nigeria amejifungua mapacha katika Hospitali ya mafunzo ya chuo kikuu cha Lagos(LUTH)
Aliekewa mimba kutumia njia ya kisayansi IVF.
Wasiu Adeyemo, kutoka hospitali hiyo amesema mwanamke huyo alikuwa akipata mimba kwa mara ya kwanza
Bwana Adeyemo amesema mwanamke huyo alijifungua kupitia njia ya upasuaji tarehe 14 Aprili baada ya kuibeba mimba yake kwa wiki 37 .
Ameongeza kwamba, yai la uzazi la mwanamke huyo lilitundikwa katika eneo tofauti na alikojifungulia mwanamke huyo