Sitakutag juu ya mafisi wambea! Karis aficha utambulisho wa mama mtoto

karis na mtoto wake
karis na mtoto wake
Mwigizaji wa Churchill, Karis, amekuwa akimwonyesha mtoto wake kwenye mitandao ya kijamii na hatungejizuia kumtamani jinsi anavyo pendeza.

Karis na mpenzi wake walimualika mtoto wao mvulana ulimwenguni Disemba mwaka wa elfu mbili kumi na nane.

Licha ya kuwa kwenye upeo wa mwamgaza, Karis ameamua kuweka sura ya mama ya mtoto wake fiche.

Kwenye chapisho moja ya awali, Karis aligusia kuwa aliepuka kutaja jina lake ili kuzuia 'ushindani'.

''Siku ya furaha ya kina mama mpenzi, ulinipa zawadi nzuri ya mtoto wa kiume.....Sitakutag juu ya mafisi wambea 😀😀😀😀😀😆😆😀😆😀😉''

Baadhi ya picha zilizotuwacha tukishangaa Karis amekuwa akificha ujuzi wake wa kulea mtoto zi hapa chini.

Tazama maono ambayo mashabiki walitoa, yatakayo kuvunja mbavu kwa kicheko.

iam_tonny_: Eeeh kwanza midomo siulizi ni ya nani… Kameachilia ile design ya Wambilianga 😂😂😂😂

afri_queen3: You have the cutest baby ever, Mashallah 🙏🏼 & his always happy💯💯

energy_254: anapiga smiro identical dna confirmed mzito🙌

je.nn428:😘abujubuju

loadappp: Hizo ni short fired while tipsy 😂😂😂😂

sandra_kates_lopez: Akikohoa uitike uache kukua allogant

_scoffie: @kariscomedian na usiweke mtoto matuta,ntafunga yo kiosk na ni fungue ingine next..Nky..😁😁😂😅 big up boy..nic