Siwezi safiri kwenda Kajiado kufanya pekejeng kwa ajili ya lockdown-Mwanamke wa kisumu asimulia

Wiki mbili sasa zimepita baada ya rais kutoa amri ya 'lockdown' kwa kaunti ya Nairobi, Kwale, Kilifi na Mombasa na kusema watu wasalie waliko jambo ambalo limefanya biashara nyingi kuenda chini

Lakini kwa mwanamke huyu amegadhabika na kusema kuwa hawezi kusafiri kutoka Kisumu kwenda katika kaunti ya Kajiado ili kufanya pekejeng na mpenziwe.

Kupitia mtandao wa kijamii, swali liliibuka lililoulizwa jinsi lockdown imewaathiri na wengi walikuwa na haya ya kusema.

Janet Atieno I used to travel from Kisumu to Kajiado County for pekejeng now I cannot. Dry spell itanimaliza

Hanan Mohammed Hmm missed my bae seriously

Magniville Madelleh Dry spell

Kenneth Chevuche Have been with my wife for long until now am seeing her like my sister.

Je lockdown imekuathiri vipi?