Size 8 asherehekea miaka,7, tangu apokee wokovu

Msanii wa nyimbo za injili na mama wa watoto wawili na mke wa DJ Mo, kwa sasa anasherehekea miaka saba ya wokovu. Hii ni baada ya kuacha kuimba nyimbo za bongo na kumpokea yeu.

Kupitia mtandao wake wa kijamii, Size 8 aliposti video na kuandika maelezo mafupi ya kuhusu jinsi aliokoka.

Akiwa katika mahojiano na redio moja nchini Size 8 alisema kuwa alipookoka halikuwa jambo rahisi na alijifungia ndani ya nyumba kwa muda akiogopa vile watu watasema.

Baada ya wokovu, wake Size 8 aliwahimiza na anaendelea kuwahimiza wengi huku akitoa vibao tele vya kumsifu Mungu kwa uzuri wake.

Hiyo miaka saba kwa msanii huyo imekuwa tofauti baada ya kumpokea yesu huku akiongea ukuu wake.

Kupitia mtandao wa kijamii alifichua sasa imekuwa miaka saba huku akisema wokovu umemsaidia sana katika maisha yake na ya jamii yake.

Huu hapa ujumbe alioandika,

https://www.instagram.com/p/B-jSzv1lEAe/

"This day is full of Gods goodness and by faith I've already received.......... my heart at peace just as is sleeping in peace." Aliandika Size 8.

Wengi walisema kuwa msanii huyo hataweza maisha ya wokovu ila alihakikisha maneno hayo hayajamuathiri na alizidi kumtumkia Mungu zaidi na zaidi.