Soma alichosema babake Diamond kuhusu uhusiano wa mwanawe na Tanasha

abdul (1)
abdul (1)
Babake Diamond Platnumz amefunguka A-Z kuhusu uhusiano wa mwanawe Diamond Platnumz na mpenziwe Tanasha Donna.

Kwa mazungumzo yake na mwanahabari Carry Mastory, alifichua mbona anahisi kuwa Diamond hayuko tayari kutulia na kufunga ndoa.

Alipoulizwa kama Diamond alimuonya kutozungumza na vyombo vya habari kuhusu familia yake, Mzee Abdul alisema,

“IT COULD BE TRUE OR NOT BUT TANZANIANS LOVE GOSSIPING. WHAT IT IS, IS, WHEN I HAVE AN INTERVIEW I SHOULD TALK ABOUT ME AND NOTHING ELSE NOT ABOUT NASEEB ALL THE TIME. THE ISSUE CAME IN WHEN PEOPLE WANTED TO FIND OUT IF ME AND NASEEB ARE AT LOGGERHEADS. YET, AT THE TIME WE WERE RECONCILED AND IN A GOOD PLACE WITH EACH OTHER.”

Baba Diamond alisisitiza kuwa ndoa ni jambo kitu kitamu sana na cha kupendeza huku akisema kuwa ni bora hivo Queen Darleen aliolewa kama mke wa pili - jambo linalokubaliwa katika dini ya kiislamu.

Aliongeza kuwa ni heri yeye ameolewa kuliko wengine ambao wanachezewa huko nje na hawataolewa.

Alipoulizwa mbona mwanawe bado hajafunga ndoa, Abdul alisema,

 “IT IS IN THE WORKS. HE IS LOOKING FOR A GOOD WIFE. HE CAN MARRY, EVEN NOW BUT END UP SEPARATED. AND THEN PEOPLE WILL TALK AND SAY, ‘SEE HE CANNOT EVEN SUSTAIN A MARRIAGE!'”

JIbu lake lilikuwa la kufungua macho haswa ikijulikana kuwa sasa hivi Diamond anachumbiana na Tanash Donna.

Abdul aliendelea,

“BUT I PRAY AND BELIEVE HE WILL GET THE RIGHT PERSON TO SETTLE DOWN WITH SO THAT ONCE HE GETS MARRIED, THAT IS IT.”

Aliendelea, ” Unless he wants to add wife number two and three since it is allowed in Islam. I think he hasn’t found a woman that he is satisfied with or one that needs him enough. I believe God will bless him with the perfect wife.”

Na je Tanasha?

“OHHHH, WELL ALL THE WOMEN HE HAS HAD IN HIS LIFE ARE GOOD WOMEN. I DON’T UNDERSTAND WHY HE IS STILL UNMARRIED. YOU MIGHT SEE THAT THAT PERSON IS GOOD BUT THE ONE LIVING WITH THEM KNOW THEIR SECRET FLAWS THAT I MAY NOT KNOW.”

aliongeza,

 “WITH TIME GOD WILL BLESS HIM WITH A GOOD WOMAN THAT HE NEEDS. WHEN WE HAD HEART TO HEART TALKS, HE SAID HE IS READY BUT I GOT THE SENSE THAT HE IS NOT YET THERE YET.”

“In the days of our babus the men would advise you on where to marry from. But nowadays the youth just rush into relationships not knowing what kind of family they have married from what kind of problems they have,” Mzee Abdul alimalizia.