Soma ujumbe wa mwisho wa Bob Collymore. Risala za viongozi na mastaa

Kifo cha ghafla cha Bob Collymore kimewashagaza wengi nchini. Bosi wa kampuni ya mawasiliano ya Safaricom Bob Collymore ameiaga dunia leo asubuhi. Kulingana na taarifa rasmi kutoka kwa mwenyekiti wa  Safaricom Nicholas Nganaga, Collymore alifariki mapema siku ya Jumatatu akiwa nyumbani kwake baada ya kuugua ugonjwa wa kansa kwa muda mrefu.

Soma hapa:

Ujumbe wa mwisho wa mkurugenzi huyu alikuwa anakashifu vitendo vya ubakaji katika nchi ya Senegal. Kupitia mtandao wake wa twitter, Bob aliandika ujumbe wa kusitisha ubakaji nchini humo.

"I’VE SIGNED @BLACKQUEENSN AND @ONECAMPAIGN’S PETITION TO DEMAND THE TOGETHER, WE CAN PUT AN END TO GENDER-BASED VIOLENCE. #STOPSEXUALVIOLENCE."

Soma hapa:

Viongozi nchini wametoa risala zao kwa kiongozi huyu:

Raila Odinga "My condolences go out to the friends and family of Mr Bob Collymore as well as the entire Safaricom fraternity. Bob served our country with dedication and sustained us as a communication hub in Africa. May his soul rest in eternal peace."

Uhuru Kenyatta "It is with deep sadness that I have this morning received news of the death of Safaricom CEO Bob Collymore after years of battling cancer. As a country, we’ve lost a distinguished corporate leader whose contribution to our national wellbeing will be missed”

Bitange Ndemo " Go well my friend, Bob Collymore. History will remember you as a great, selfless and devoted leader and friend to this country. #RIPBobCollymore"

Sakaja Johnson "Go well @bobcollymore 🙏"

Senator Gideon "Moi I am deeply saddened by the death of Safaricom CEO Robert Collymore this morning. Collymore, a corporate leader par excellence had profound impact on the lives of Kenyans by the revolutionary and innovations in the telecommunications sector as he steered Safaricom."

Bob Collymore amekua akiugua saratani na amekua akipokea matibabu tangu Oktoba mwaka uliopita. Amemwacha mke na watoto wanne.

Kwa mujibu wa habari kutoka Safaricom, Collymore amekuwa akipokea matibabu kwa hospitali kadhaa na hivi majuzi amekuwa akitibiwa katika hospitali ya Aga Khan, Nairobi.

“Wiki kadhaa zilizopita hali yake ilidorora na akafariki nyumbani kwake mapema Jumatatu.” Habari hiyo ilisema.

Pata uhondo hapa: