kXwk9kpTURBXy9kMjNlMmJkYzFjOGQ1MjFkMDg5ZWJmODM1MDY5ZGQ1MC5qcGeRkwXNAxTNAbyBoTAB

‘You are a special gift to me’ Ujumbe wa DP Ruto kwa mamake

Leo ni siku ya  akina mama duniani almaarufu Mother’s Day. Hivyo basi tunachukua fursa hii kuwashukuru akina mama  kwa upendo  na mchango wao katika jamii  na maisha yetu .Siku hii aghalabu huadhimishwa Jumapili ya pili ya Mwezi Mei kila mwaka.

Viongozi, wananchi, waume  na hata watoto huchukua fursa na wakati huu kuwatambua mama zao  kwa mambo mengi ambayo wamepitia ili wawe na mafanikio walio nayo .

william-ruto_nairobinews_3

Hii leo naibu wa rais William Ruto aliandika ujumbe wa kufana na hata kumtambua  mama yake Sarah Cheruyoit kwa yote ambayo amemtendea kwa miaka mingi sasa.

Serikali imehimizwa  kuzingatia afya  ya kijinsia na uzazi hata inapoendelea kukabiliana na Covid 19.

Huu hapa ujumbe wake;

“Dear Mom, You are a special gift to me. You will always have a special place in my heart. Through you, allow me to pay special tribute to our mothers on this special Mother’s Day.”

We are incredibly blessed to have women who have raised us, loved us and empowered us; we are immensely indebted to our mothers for shepherding us throughout our life and for their big hearts that continue to sustain us.

Thank you for nurturing me. Thank you for praying for me. You are my strength. Happy Mother’s Day to you and all our mothers around the world.” DP Ruto Aliandika.

Imehaririwa na Yusuf Juma

 

Photo Credits: radiojambo

Read More:

Comments

comments