Maina-Kageni-Ingwe

(+PICHA) Ametoka Manchester United? Mtangazaji Maina Kageni ajiunga na AFC Leopards

Mtangazaji Maina Kageni amejiunga na kuwa shabiki sugu wa klabu ya AFC Leopards, alikaribishwa kwenye klabu hiyo na mwenyekiti Dan Shikanda, kocha Anthony Kimani na...
tom alila

Nataka kukuza soka kutoka mashinani na kutoa mafunzo zaidi kwa refarii- Tom Alila Azungumza

Tom Alila ambaye anafahamika sana kwa sasa anataka kuwania kiti cha urais katika sekta ya soka, huku akizungumza na radiojambo Alila alisema kuwa anataka kukuza...
Frank Lampard

Lampard ashutumu uongozi wa Premier league kwa kuanzisha msimu ujao mapema

Mkufunzi wa Chelsea ameshutumu vikali hatua ya usimamizi wa ligi kuu ya Uingereza wa kuanzisha msimu mpya wa mwaka 2020/2021 septemba 12 akisema asilimia kubwa...
didier drogba

Drogba awasilisha nyaraka zake za kuwania urais wa shirikisho la soka Ivory Coast

Maelfu ya watu wajikusanya nje ya afisi za Soka katika taifa Ivory Coast pale mchezaji wa zamani wa timu ya taifa Didier Drogba alipokuwa anawasilisha...
LONDON, ENGLAND - AUGUST 01: Pierre-Emerick Aubameyang of Arsenal is fouled by Cesar Azpilicueta of Chelsea leading to Arsenal being awarded a penalty during the FA Cup Final match between Arsenal and Chelsea at Wembley Stadium on August 01, 2020 in London, England. Football Stadiums around Europe remain empty due to the Coronavirus Pandemic as Government social distancing laws prohibit fans inside venues resulting in all fixtures being played behind closed doors. (Photo by Marc Atkins/Getty Images)

Mshambulizi wa Arsenal Aubameyang alikuwa tayari kuhamia Chelsea Januari

Mshambuliaji wa Arsenal Pierre-Emerick Aubameyang alikuwa tayari kuhamia Chelsea Januari lakini Blues ikashindwa kutimiza matakwa ya mchezaji huyo, 31. (Mailonline) Chelsea inakaribia kukukubali maafikiano ya...
aubameyangl

Arsenal yainyuka Chelsea na kuweka rekodi ya mataji 14 ya kombe la FA

Arsenali ilitoka nyuma na kuilaza Chelsea mabao mawili 2-1 katika fainali ya kombe la FA, na kuweka rekodi mpya ya kunyakua taji la 14. Nahodha...
nick mwendwa

Pigo kwa FKF baada ya akaunti zake kufungwa na mahakama

  Shughuli za shirikisho la soka nchini (FKF) huenda zikalemazwa zaidi baada ya mahakama ya kutatua mizozo  ya leba kuzidisha muda wa kufungwa kwa akaunti...
Ed3gkWkWAAQN6Vh

Man United yaicharaza Leicester City na kufaulu miongoni wa timu 4 bora

Mechi kati ya Leicester City na Man United  iliochezwa mnamo tarehe 26 Julai iliwashuhudia Mashetani Wekundu kuingia kwenye ligi ya mabingwa barani Ulaya. Mabao mawili katika...
epl

Leo ni siku ya kiama katika ligi kuu ya Uingireza

Mbivu la mbichi itajulikana leo wakati ligi kuu ya primia nchini Uingereza inapofika tamati. Baada ya kila timu kucheza jumla ya mechi 37 kila timu...
Arsenal

FA Cup: Wanabunduki walipua Manchester City na kujikatia tikiti ya fainali

Ndoto ya Manchester City ya kuteteta kombe la FA ilizimwa waliponyukwa mabao 2-0 na Arsenal katika mechi ya nusu fainali ugani Wembley. Mabao ya Pierre-Emerick Aubameyang...
107830505_277812573449049_6961929134419197781_n

Manchester United kushikilia nafasi ya tano baada ya mchuano wao na Southampton

Mechi kati ya Manchester United na Southampton ilivunja matumaini ya mashetani wekendu kuwa katika nafasi ya tatu katika jedwali huku wakitoka droo ya 2 kwa...
iMsRltum

Manchester City kushiriki kombe la Ulaya baada ya marufuku ya miaka 2 kufutwa

Manchester City itashiriki katika kipute cha Klabu Bingwa Ulaya (UEFA) msimu ujao baada ya marufuku yao ya miaka miwili kufutiliwa mbali na mahakama ya rufaa....
nxPhd5G-

Tottenham yawalaza Arsenal mabao 2 kwa 1 huku Gunners ikichukua nafasi ya tisa katika jedwali ya ligi kuu

Ni mchuano ambao wengi walitabiri na kusema Gunners wataibuka washindi. Tottenham waliwapa Arsenal kichapo cha mabao mawili kwa moja. Tottenham Hotspur wameongeza nafasi yao ya...
EcWFYmsX0AAt4H_

Chelsea yawalaza Crystal Palace mabao 3 kwa 2 na kuchukua nafasi ya tatu kwenye jedwali

Ni mechi ambayo ilikuwa imesubiriwa sana na mashabiki wa Chelsea. Chelsea iliilaza timu ya Crystal Palace mabao 3 kwa 2. Chelsea wanapigania kuhifadhi nafasi yao katika timu nne...
images (4)

Mwenyekiti wa Gor Mahia Ambrose Rachier kutetea kiti chake mwezi Agosti

  Mwenyekiti wa klabu ha Gor Mahia Ambrose Rachier atatetea kiti chake katika kura klabu zijazo tarehe nane Agosti. Rachier ambaye ameongoza mabingwa hao wa...
Arsenal

Arsenal, mashetani wekundu wawika ligi ya EPL

  Mason Greenwood alifunga mara mbili katika ligi ya premia kwa mara ya kwanza huku Man United ikitoka nyuma na kuilaza Bournemouth 5-2 na kuongeza...
CAF

Mashindano ya CAF kufanyika mwaka wa 2022

Kinyang’anyiro cha Kombe la mataifa bingwa Afrika kilichotarajiwa kufanyika mwaka ujao 2021 kimeahirishwa hadi Januari 2022 na shirikisho la kandanda barani Afrika (Caf) kutokana na...
Ebvc3V-XkAAl_NS.jfif

Mchezaji wa zamani wa Harambee Stars Musa Otieno apatikana na Corona

Nahodha wa zamani wa timu ya taifa Harambee Stars Musa Otieno amepatikana na virusi hatari vya corona. Taarifa hizi zimedhibitishwa na rais wa shirikisho la...
Kariobangi Sharks FC players celebrate after beating Bandari FC 1-0 to be crowned 2019 SportPesa Cup champions. PHOTO/SPN

Ibrahim Shikanda atimuliwa na Bandari fc

Klabu ya Bandari nchini imemfuta naibu mkufunzi wa timu hiyo Ibrahim Shikanda kama njia ya kupunguza gharama ya malipo kutokana na madhara yaliyosababishwa na virusi...
mourinho

Jose Mourinho asajili ushindi baada ya mechi 8

Tottenham Hotspur walisajili ushindi wao wa kwanza baada ya michezo minane kupitia kwa magoli yaliyofungwa na Harry Kane na la kujifunga kupitia mchezaji Tomas Soucek....
Ea639w1XgAILg_E

Mshambuliaji mweledi wa timu ya taifa ya Togo, Kossi Kuodagba aaga dunia

Mshambuliaji wa Togo, Kossi Kuodagba ambaye alirejea nyumbani kwa mintarafu ya marufuku ya kutoka nje anaripotiwa kuaga dunia nyumbani kwake baada ya kuugua malaria. Mchezaji...
LONDON, ENGLAND - APRIL 08: Chelsea's Ngolo Kante and West Ham United's Angelo Ogbonna during the Premier League match between Chelsea FC and West Ham United at Stamford Bridge on April 8, 2019 in London, United Kingdom. (Photo by Rob Newell - CameraSport via Getty Images)

Lampard akana kuwa na mipango ya kumuuza Kante

  Mkufunzi wa Chelsea Frank Lampard amekana kwamba klabu ya Chelsea itafadhili uhamisho wa mshambuliaji wa Bayer Leverkusen Kai Havertz, 21, na beki wa kushoto...
Italy_Soccer_Serie_A_73357

Picha ya ‘Black Lives matter’ iliyokasorisha ulimwengu mzima

Klabu ya Torino kwa sasa imejipata taabani baada ya kuchapisha picha ya kuhamasisha watu kuhusu mpango wa ‘Black Lives matter’ Timu hiyo ya Italia, iliyo...
_113003348_gettyimages-1221138955

Nne Bora : Juhudi za Arsenal zapata pigo kubwa baada ya kunyukwa 2-1 na Brighton

Juhudi za Arsenal za kumaliza katika nafasi ya nne bora kwenye ligi ya primia zilipata pigo kubwa baada ya kunyukwa mabao  2-1 na Brighton. Neil Moupey...
arteta

Huenda luiz alicheza mechi yake ya mwisho- Arteta

Mkufunzi wa klabu ya Arsenal Mikel Arteta amefichua kuwa huenda mlinzi David Luiz alikuwa anaichezea klabu hiyo mechi ya mwisho. Luizi aliingia dakika ya 20...
SONKO 2

Ukarimu wa Sonko! Ajitokeza na kumsaidia kocha wa zamani wa Harambee Stars

Gavana wa Nairobi Mike Sonko amejitokeza kumsaidia aliyekuwa kocha wa zamani wa Harambee Stars Marshall Mulwa. Licha ya kuiletea Kenya sifa sufufu katika rubaa za...