images (4)

Mwenyekiti wa Gor Mahia Ambrose Rachier kutetea kiti chake mwezi Agosti

  Mwenyekiti wa klabu ha Gor Mahia Ambrose Rachier atatetea kiti chake katika kura klabu zijazo tarehe nane Agosti. Rachier ambaye ameongoza mabingwa hao wa...
Arsenal

Arsenal, mashetani wekundu wawika ligi ya EPL

  Mason Greenwood alifunga mara mbili katika ligi ya premia kwa mara ya kwanza huku Man United ikitoka nyuma na kuilaza Bournemouth 5-2 na kuongeza...
CAF

Mashindano ya CAF kufanyika mwaka wa 2022

Kinyang’anyiro cha Kombe la mataifa bingwa Afrika kilichotarajiwa kufanyika mwaka ujao 2021 kimeahirishwa hadi Januari 2022 na shirikisho la kandanda barani Afrika (Caf) kutokana na...
Ebvc3V-XkAAl_NS.jfif

Mchezaji wa zamani wa Harambee Stars Musa Otieno apatikana na Corona

Nahodha wa zamani wa timu ya taifa Harambee Stars Musa Otieno amepatikana na virusi hatari vya corona. Taarifa hizi zimedhibitishwa na rais wa shirikisho la...
Kariobangi Sharks FC players celebrate after beating Bandari FC 1-0 to be crowned 2019 SportPesa Cup champions. PHOTO/SPN

Ibrahim Shikanda atimuliwa na Bandari fc

Klabu ya Bandari nchini imemfuta naibu mkufunzi wa timu hiyo Ibrahim Shikanda kama njia ya kupunguza gharama ya malipo kutokana na madhara yaliyosababishwa na virusi...
mourinho

Jose Mourinho asajili ushindi baada ya mechi 8

Tottenham Hotspur walisajili ushindi wao wa kwanza baada ya michezo minane kupitia kwa magoli yaliyofungwa na Harry Kane na la kujifunga kupitia mchezaji Tomas Soucek....
Ea639w1XgAILg_E

Mshambuliaji mweledi wa timu ya taifa ya Togo, Kossi Kuodagba aaga dunia

Mshambuliaji wa Togo, Kossi Kuodagba ambaye alirejea nyumbani kwa mintarafu ya marufuku ya kutoka nje anaripotiwa kuaga dunia nyumbani kwake baada ya kuugua malaria. Mchezaji...
LONDON, ENGLAND - APRIL 08: Chelsea's Ngolo Kante and West Ham United's Angelo Ogbonna during the Premier League match between Chelsea FC and West Ham United at Stamford Bridge on April 8, 2019 in London, United Kingdom. (Photo by Rob Newell - CameraSport via Getty Images)

Lampard akana kuwa na mipango ya kumuuza Kante

  Mkufunzi wa Chelsea Frank Lampard amekana kwamba klabu ya Chelsea itafadhili uhamisho wa mshambuliaji wa Bayer Leverkusen Kai Havertz, 21, na beki wa kushoto...
Italy_Soccer_Serie_A_73357

Picha ya ‘Black Lives matter’ iliyokasorisha ulimwengu mzima

Klabu ya Torino kwa sasa imejipata taabani baada ya kuchapisha picha ya kuhamasisha watu kuhusu mpango wa ‘Black Lives matter’ Timu hiyo ya Italia, iliyo...
_113003348_gettyimages-1221138955

Nne Bora : Juhudi za Arsenal zapata pigo kubwa baada ya kunyukwa 2-1 na Brighton

Juhudi za Arsenal za kumaliza katika nafasi ya nne bora kwenye ligi ya primia zilipata pigo kubwa baada ya kunyukwa mabao  2-1 na Brighton. Neil Moupey...
arteta

Huenda luiz alicheza mechi yake ya mwisho- Arteta

Mkufunzi wa klabu ya Arsenal Mikel Arteta amefichua kuwa huenda mlinzi David Luiz alikuwa anaichezea klabu hiyo mechi ya mwisho. Luizi aliingia dakika ya 20...
SONKO 2

Ukarimu wa Sonko! Ajitokeza na kumsaidia kocha wa zamani wa Harambee Stars

Gavana wa Nairobi Mike Sonko amejitokeza kumsaidia aliyekuwa kocha wa zamani wa Harambee Stars Marshall Mulwa. Licha ya kuiletea Kenya sifa sufufu katika rubaa za...
download-1 (1)

Komesha Ubaguzi! Wacheza wapiga magoti kukomesha ubaguzi wa rangi

Wachezaji wa timu za Aston Villa na  Sheffield United pamoja na muamuzi Micheal Oliver walipiga magoti chini kabla ya kuanza kwa mchezo kama njia ya kukomesha...
Eavl9llWsAI37tq.jfif

Arsenal Yakung’utwa magoli 3 na Man City

Matumaini ya Arsenal ya kumaliza miongoni mwa vilabu nne bora ilipata pigo kufuatia ushindwa wa 3-0 kwa Man City ugani Etihad. Mechi hiyo ya Jumatano,...
_112433402_bayerncelebrate2019bundesligatitle

Bayern washinda taji la 8 mfululizo

Ushindi telezi wa Bayern Munich wa 1-0 dhidi ya Werder Bremen Jumanne, Juni 16 usiku, umewapelekea kutwaa taji lao la nane Bundesliga. Bao la dakika...
Kakamega-High-Dagoretti-High-School-Rugby-15s

Michezo ya shule za upili kufanyika mwakani

Michezo ya shule za upili ukanda wa Afrika Mashariki na iliyokuwa inaratibiwa kufanyika mwaka huu sasa itafanyika mwaka ujao 2021 kutokana na virusi vya corona...
EZ16-77WkAEoUCj.jfif

Chelsea yapania kuwapiga mnada wachezaji 11

Chelsea wanaripotiwa kuwa tayari kuwaondoa wachezaji wao 11 msimu huu ambapo itakuwa historia katika klabu hiyo ya Uingereza. Chelsea wanapania kuimarisha kikosi chao msimu ujao...
_112748811_d428c70a-32d5-44bf-9120-6f2900de8a0d

Leroy Sane atasaini mkataba wa miaka 5 na Bayern Munich

  Winga wa Manchester City Leroy Sane atasaini mkataba wa miaka mitano na Bayern Munich. Lakini mchezaji huyo wa kimataifa wa Ujerumani, 24, hatakuwa mchezaji...
diNBNTMt.jfif

Kisa cha kwanza cha corona charipotiwa katika Kambi ya klabu ya Tottenham

Tottenham Hotspur imethibitisha kuwa mtu mmoja katika klabu hiyo amepatikana na virusi vya corona baada ya kufanyiwa vipimo kama njia ya kujiandaa kwa ligi inayotazamiwa...
Nyayo-Stadium-spots-a-new-magnificent-look

Mwanga mpya! Uwanja wa Nyayo wavutia baada ya kukarabatiwa

Kamati ya michezo katika bunge la kitaifa imeelezea furaha yao kuhusiana na sura mpya ya uwanjwa wa michezo nchini wa Nyayo. Uwanjwa huo ambao ndio...
skysports-russia-olympics-athletics_4946081

Hatima ya Russia kushiriki katika mashindano ya olimpiki kubainika Novemba

Hatima ya taifa la Urusi ama Russia ya kushiriki katika michezo ya Oilimpik itabainika kati ya Novema 2-5 mwaka huu. Urusi ilikuwa imewasilisha kupinga hatua...
3yV_Rw72.jfif

Odion Ighalo kusalia Old Trafford hadi Januari 2021- Sky Sports

Klabu ya Manchester United imeafikiana na Shanghai Shenua ili kuongezea mkataba wa  mshambulizi Odion Ighalo hadi Januari 2021, shirika la Sky sports limeripoti. Ighalo alijiunga...
sanchez

‘ Inter Milan yatangaza nia ya kuendelea kumshikilia Sanchez kwa mkopo

Bayern Munich wanataka kumsajili winga wa Manchester City, raia wa Ujerumani Leroy Sane , 24 na Kai Havertz, 20,  kutoka Bayer Leverkusen kama sehemu ya...
Moses-Wetangula

Moses Wetangula apoteza kiti chake kwenye chama cha Ford Kenya

Chama cha Forum for the Restoration of Democracy Kenya (FORD Kenya), kimempiga makasi Seneta wa Bungoma Moses Wetang’ula kutoka kwa wadhifa wa kiongozi wa chama...
03fb6da73b317c42f84a390897f275d79b9ea214

Ufaransa yataka ufafanuzi zaidi wa kumalizika kwa ligi mapema

Mzozo umeanza kuibuka baina ya serikali na usimamizi wa ligi kuu ya Ufaransa French League 1 baada ya wakuu wa ligi hiyo kutangaza kumalizika kwa...
Doping

Mikel Kiprotich Mutai apigwa marufuku ya miaka 4 kwa kutumia dawa za kutitimua misuli

Jaribio la Kenya kutaka kuzuiya matumizi ya dawa za kutitimua ama kusisimua misuli na wanariadha nchini limepata pigo baada ya shirika la Athletics Integrity Unit...