''Stress hizi'' Diamond ajibu ujumbe wa Ali Kiba baada ya Kiba kumuanika

Kiba-na-Diamond-Platnumz-696x504
Kiba-na-Diamond-Platnumz-696x504

Je ni nini kinachoendelea kati ya King Kiba na Diamond Platnumz? 

Zaidi ya hayo, Ali Kiba alisema,

''MWANAUME HUWA ANAONGEAGA MARA MOJA TU SASA UKITAKA NIKUWEKE UCHI WATU WAJUE UNAYONIFANYIA HATA KWENYE HILO TAMASHA HATOKUJA MTU SASA TUISHIE HAPO NAKUTAKIA TAMASHA NJEMA @DIAMONDPLATNUMZ''

Baada ya ujumbe huo wa King Kiba, Diamond alijibu ujumbe wake na kusema kuwa King Kiba ana mawazo mengi na ndio maana anazungumza akiwa na machungu sana.

''MMESIKIA ANAELILIA PENSELI? STRESS HIZI'' Diamond alisema.

Haijulikani kama wanamziki hawa wanarushiana maneno makali kwa sababu hawasikizani ama ni matani tu kwani urafiki wao huwa haueleweki vyema.