Crime scene

Mwanamme mmoja apatikana ameaga kwenye kambi la polisi huko Busia

Mwanamme mmoja mwenye umri wa miaka 20 amepatikana ameaga dunia kwenye chumba kimoja katika kambi la polisi wa utawala ya Malambisia eneo bunge la Butula...
Simon Chelugui

Serikali yatenga shilingi millioni 650 kukabili changamoto ya maji katika kaunti 23

Serikali imetenga shilingi milioni mia sita hamsini kukabili changamoto ya maji katika kaunti ishirini na tatu ambazo zimeathirika pakubwa Waziri wa maji, Simon Chelugui amesema...
Crime scene

Mwanamume mmoja aua mkewe katika kijiji cha mahiakalo, Kakamega

Mwanamume mmoja amemuua mkewe katika kijiji cha mahiakalo kaunti ya kakamega na kisha kutorokea katika msitu wa Kakamega akitishia kijutia kitanzi Juhudi za jamaa yake...
Elephants

Wakulima kutoka Taita Taveta wazusha kuhusu uvamizi wa ndovu mashambani yao

Mamia ya wakulima kutoka Sagala kaunti ya Taita Taveta hatimaye wameandikisha taarifa katika kituo Cha polisi Cha Voi kuhusu hasara wanayopata kufuatia uvamizi wa ndovu....
oparanya

Magavana wa Kaunti za Ukanda wa magharibi wakubaliana ishu ya ushuru

Magavana watano kutoka kaunti za ukanda wa magharibi kwa kauli moja wamekubaliana kuwa na (a common inter counties taxation) kwa minajili ya kushirikiana na kuruhusu...
knife

Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 46 auwawa Kaunti ya Bungoma

Hali ya huzuni imetanda katika kijiji cha Makutano Eneo bunge la Kanduyi Kaunti ya Bungoma baada ya mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 46 kuuwawa...
Londiani-Muhoroni bus accident

Matumaini ya familia moja kumpata mwanao yameambulia patupu

Matumaini ya familia moja kumpata mwanao akiwa miongoni mwa manusura wa ajali iliyotokea hivi majuzi huko Kericho imeambulia patupu. Familia hiyo iliyoko kijijini Gidimo katika...
KUPPET Secretary General Akello Missori

Wahadhiri 85 katika chuo cha teknologia cha Pwani wapinga vikali za serikali

Zaidi ya wahadhiri 85 katika chuo cha teknologia cha Pwani mjini Voi wamepinga vikali hatua ya serikali  ya kupunguza mishahara yao bila kutoa notisi.  ...
the star

Mwendeshaji wa pikipiki alikufa baada ya ajali na trella huko Mwatate

Mwendeshaji mmoja wa pikipiki mwenye umri wa makamo huko Mwatate kaunti ya Taita Taveta ameaga dunia papo hapo usiku wa kuamkia leo baaada ya kugonga...
Geoffrey Odanga

Mbunge wa Matayos atishia kuishtaki serikali na inspecta mkuu wa polisi

Mbunge wa Matayos Kaunti ya Busia Geoffrey Odanga ametishia kuishtaki serikali na inspector mkuu wa polisi Joseph Boinet kutokana na visa vya maafisa wa polisi...
Ojaamong

Baadhi ya wananchi Busia wamtaka gavana Ojaamong kujiondoa afisini

Siku chache tu baada ya gavana wa kaunti ya busia sospeter ojaamong kufikishwa mahakamani kwa tuhuma za ufujaji wa fedha za umma, baadhi ya wananchi...
Murder

Mtoto auwawa na babake mdogo kwa jembe

Wananchi katika kijiji cha madende kaunti ndogo ya nambale kaunti ya busia wameachwa vinywa wazi baada ya mwanamme mmoja mwenye umri wa miaka 27 kukata...
Wetangula

Wetangula na Wamalwa wazika tofauti zao na kuapa kushirikiana

Wazee wa baraza la jamii ya wabukusu hii leo wamewafanikiwa kuwapatanisha seneta wa kaunti ya Bungoma ambye pia ni kinara wa chama cha Ford Kenya...
miguna miguna

Matatu bearing Miguna art set to rock the streets of Nairobi!

Miguna Miguna has been the most popular name on many peoples lips this past week. After his drama in JKIA that ended with his forced...
patanisho.kali

PATANISHO: Baby You Are Fighting With Jesus To Control My Heart

Ken Kuova kutoka Kayole aliomba apatanishwe na mkewe Rose Njeri ambaye alitoka nyumbani tarehe ishirini na nane mwezi wa nne, mwaka huu na kuelekea kwao,...
mesmerism

KIINIMACHO: Today’s Swahili Lesson By Yusuf Juma, 8th November 2016

Mesmerism-kiinimacho
hook

KIOPOO: Today’s Swahili Lesson By Yusuf Juma, 7th November 2016

Kiopoo – hook (clothes)
microorg

KIDUBINI: Today’s Swahili Lesson By Yusuf Juma

Kidubini – micro-organism 
Dog walkers wade through a flooded sports field after heavy rain caused flooding in parts of Hebden Bridge, West Yorkshire. PRESS ASSOCIATION Photo. Picture date: Wednesday November 18, 2009. See PA story WEATHER Storm. Photo credit should read: Dave Thompson/PA Wire

KOLEZA: Today’s Swahili Lesson By Yusuf Juma, 28th October 2016

koleza – saturate
nickname

LAKABU: Today’s Swahili Lesson By Yusuf Juma, 24th October 2016

LAKABU -nick name, jina la utani.
Yusuf Juma

Thought of the day 18th October, 2016 by Yusuf Juma

Busara Pekee ya kweli ni kufaham kwamba hujui chochote Socrates
sieve

SIEVE: Today’s Swahili Lesson By Yusuf Juma, 14th October 2016

chekecho, chekecheke – kichungio, sieve
sabot

MATAWALANDA: Today’s Swahili Lesson By Yusuf Juma, 13Th October 2016

MATAWALANDA, MAGONGO – SABOT
swahili

SIOWIANA: Today’s Swahili Lesson By Yusuf Juma

Irrational -bila mantiki,siowiana
nonchalant

TEPETEVU: Today’s Swahili Lesson By Yusuf Juma, 11th October 2016

Nonchalant – Tepetevu, Sioweza Kupenda
poke

DOKOA: Today’s Swahili Lesson By Yusuf Juma, 10th October 2016

Dokoa – nudge, poke, prod