tekno

Tekno matatani! kwa kucheza na wanawake wakiwa uchi hadharani

Mwanamziki wa Nigeria, Tekno, mwenye umri wa miaka 26 amekamatwa na maafisa wa polisi kwa kosa la kukata densi na wanawake waliokuwa nusu uchi ndani...
WAITITU

Masaibu bado yamzonga Waititu

Gavana wa Kiambu Ferdinand Waititu anakodolea macho tena mashtaka mengine ya ufisadi huku maafisa wa upelelezi wakikaribia kumaliza uchunguzi kuhusu mradi wake uliozingirwa na utata...
waiguru

Afueni kwa Waiguru! Mahakama ya juu yaidhinisha uchaguzi wake

Gavana wa Kirinyaga Anne Waiguru amepata afueni baada ya mahakama ya Upeo siku ya Jumanne kutupilia mbali kesi iliyowasilishwa na kinara ya Narc Kenya Martha...
Mwandishi Tony Mochama

Mwandishi Mochama kulipwa fidia ya milioni 9, kwa kuharibiwa jina

Mahakama imemtunuku mwandishi Tony Mochama shilingi milioni tisa kama fidia katika kesi ya kumharibia jina. Hakimu mkuu A.M Obura alisema kwamba hapakuwepo ushahidi wa kutosha...
crime

Saratani! Mama ajitoa uhai baada kungundua anaugua saratani

Mwanamke mwenye umri wa makano aliyekuwa ameigunduliwa kuungua saratani alijitia kitanzi katika mtaa wa Kasarani, mjini Naivasha. Wakaazi walioshtuliwa na kisa hicho walimpata mwanamke huyo...
IMRAN

7 wamezea mate kiti cha Marehemu Ken Okoth

Siku chache baada ya mwili wa aliyekuwa mbunge wa Kibra Ken Okoth kuchomwa harakati za kurithi kiti chake zimeanza. Wagombeaji saba tarayi wanaonekana kujibwaga uwanjani...
Granton Samboja

MCA’s waTaita Taveta sasa waomba maridhiano na Samboja

NA SOLOMON MUINGI Baada ya vuta ni kuvute baina ya Gavana wa Taita Taveta Granton Samboja na wawakilishi wadi hatimaye upande umeona umuhimu wa mashauriano....
Luo.elders

Mjane wa Ken Okoth kurithiwa na kakake mumewe – Wazee wa waluo wadai

Mjane wa marehemu mbunge wa Kibra Ken Okoth, Monica, anafaa kwanza kufanyiwa tambiko ili kumsafisha kabla ya kuthiwa na kaka mkubwa wa marehemu mumewe, wazee...
ken.son.1

Ken Okoth, mahakama yaruhusu kufanyika kwa mazishi yake

Mahakama ya Kilimani imeruhusu kufanyika kwa mazishi ya marehemu mbunge wa Kibra Ken Okoth siku ya Jumamosi. Mahakama hiyo imebatilisha agizo la awali lililokuwa limesitisha...
kenoh

Mama anayedai kuwa na mwana wa Ken Okoth yuko tayari kwa DNA

Anne Mumbi anayedai kuwa mpenzi wa kando wa marehemu mbunge wa Kibra Ken Okoth amesema yuko tayari mwanawe kufanyiwa vipimo vya mfumo jeni (DNA) kuthibitisha...
tullow.1

Rais Uhuru atangaza!Kenya yaanza kuuza mafuta yake

Siku ya Alhamisi Kenya ilijiunga na Jumuiya ya Mataifa yanayouza mafuta ya petroli ulimwenguni. Rais Uhuru Kenyatta alitangaza hatua hii muhimu katika historia ya taifa...
CABINET.2

Saratani! Uhuru aahidi kuimarisha sera za kukabili saratani.

Serikali ya Kenya itaimarisha mikakati inayolenga kukabili ongezeko la vifo vinavyotokana na maradhi ya saratani humu nchini.   Rais Uhuru Kenyatta siku ya Alhamisi aliambia...
ibada.4

(Picha) Ibada ya wafu ya marehemu gavana Joyce Laboso

Mamia ya waombolezaji siku ya Alhamisi waliungana katika kanisa la All Saints Cathedral mjini Nairobi kwa ibada ya wafu ya marehemu Gavana wa Bomet Joyce...
Masabiki wa Radio Jambo

Mashabiki wa Radio Jambo watuzwa na Sonko wa Masonko.

NA ABRAHAM KIVUVA   Kituo chako mahabubu cha Redio Jambo kimeratibisha mchakato na mpango mzima wa kuwatunuku wasikilizaji na mashabiki sugu kwa zawadi kemkem mwezi...
ekuru aukot

Aukot amkosoa Raila kuhusu “punguza mzigo”

Kiongozi wa Third Way Alliance Ekuru aukot amewakashifu wanasiasa wanaopinga mswada wake wa punguza mzigo na kuwataja kama walionufaika na ufisadi. Aukot alisema viongozi kama...
OKOTH

Ken Okoth – Vuta ni kuvute yazuka kuhusu kuuchoma au kuuzika mwili wake

Mvutano umeibuka kuhusu vile marehemu mbunge wa Kibra Ken Okoth atazikwa huku upande mmoja wa familia ukitaka mwili wake kuchoma na mwingine ukipinga hilo na...
DCI George Kinoti

Kinoti, aonya wahalifu waliotorokea nchi za kigeni

Mkurugenzi wa upelelezi nchini (DCI) George amesema kwamba mataifa ya Afrika Mashariki yanafaa kuwashughulikia wahalifu wanaoendesha uhalifu katika kanda hii. “Tunahitaiji kuwa wakatili dhidi ya...
SARATANI

Saratani ya Korodani na ile ya koo zaongoza katika kuangamiza wanaume – Kenya

NA LUKE AWICH   Taasisi ya kitaifa ya Saratani imechapisha ripoti inayoeleza viwango vya maradhi ya saratani katika kila kaunti, hatua ambayo taasisi hiyo inasema...
AFPCopyright: AFP Gen Mohamed Othman al-Hussein announced the arrests

Jaribio la mapinduzi: Maafisa wakuu wa kijeshi wakamatwa Sudan

Jeshi nchini Sudan limetangaza kwamba baada ya kutibuka kwa jaribio la kupindua serikali maafisa kadhaa wa vyeo vya juu na wanachama wa kilichokuwa chama tawala...
JIMMIE KIAMBA

Ufisadi! Jamaa aagizwa kulipa serikali zaidi ya shilingi milioni 300

Vita dhidi ya ufisadi vimepigwa jeki kufuatia agizo la mahakama siku ya Jumatano kumtaka mshukiwa wa ufisadi kulipa serikali zaidi ya shilingi milioni 300. Jaji...
ukur

Uhuru amteua Ukur Yatani kaimu waziri wa fedha

Rais Uhuru Kenyatta amemteua waziri wa Leba Ukur Yatani kuwa kaimu waziri wa Fedha kuchukuwa nafasi ya Henry Rotich anayekabiliwa na tuhuma za ufisadi. Katika...
ombeta

Cliff Ombeta akosa tena kufika mahakamani katika kesi ya mauaji ya Willie Kimani

NA ABDI RIZACK Wakili Cliff Ombeta alikosa tena kuhudhuria kikao cha kusikiza kesi ya mauaji ya marehemu wakili Willie Kimani iliyokuwa imepangiwa kusikizwa na jaji...
KOIMETT

Huenda Esther Koimett akateuliwa waziri wa fedha

Esther Koimet, katibu wa kudumu katika wizara ya uchukuzi, amekuwa akipigiwa upatu kutwaa wadhifa wa waziri wa fedha kujaza nafasi ya Waziri Henry Rotich ambaye...
gov

Maraga awataka magavana na wabune kuafikiana kuhusu mgao wa kaunti

Jaji mkuu David Maraga kwa mara nyingine tena amewashauri magavana na wabunge kufanya mazungumzo ili kuafikiana kuhusu utata unaozingira mgao wa pesa za kaunti. Jaji...
sonko

Sonko aagiza kuboreshwa barabara tatu zaidi jijini Nairobi

Barabara tatu zaidi katikati mwa jiji la Nairobi zinatarajiwa kuimarishwa kama njia moja wapo kupunguza msongamano jijini. Hii ni baada ya gavana Mike Sonko kuagiza...
ROTICH.NA.THUGGE

Waziri wa fedha Henry Rotich afikishwa mahakamani

Waziri wa fedha Henry Rotich na makatibu wa kudumu Kamau Thuge wa fedha na Susan Jemutai wa Jumia ya Afrika Mashariki wanafikishwa mahakamni hivi leo...