CsaB9IDWAAAyH8F

Swaleh Mdoe atokwa na povu, siasa za uanahabari zimemchosha

Mtangazaji wa runinga ya Citizen Swaleh Mdoe ametokwa na povu katika mtandao wa Twitter.

Mdoe anaonekana kukasirishwa na siasa zinazoendelea katika tasnia ya uanahabari.

Swaleh alishushwa cheo mapema mwakani baada ya ombi la kutafuta mnunuzi wa figo yake.

Soma hadithi nyingine:

Hatimaye Mkewe Ali Kiba afunguka mengi kuhusu talaka

Nyota huyu alipamia kuuza figo yake kwa kitita cha pesa Milioni 2.5.

Kulingana na Swaleh, nia ya kuuza figo ilisukumiwa na songombingo za hela zilizomkumba.

Kutokwa na povu kwa Swaleh kunaashiria kuwa kuna matatizo katika chumba cha habari anapofanya kazi.

“Wakenya wametawaliwa na majina makubwa kama Dkt, Prof, Eng na kadhalika…

“Kuna ukubwa gani wakati tunahariri na kusoma habari pamoja. Nauliza ustadh wakuu katika tansia. Labish”

Soma hadithi nyingine:

(+Picha) Jacque Maribe, Orodha ya watangazaji wanaokabiliwa na kesi za mauaji

Aidha, nyota huyu amechapisha kitabu kinacholenga kuwapatia wanahabari wachanga masomo mengi katika safari yao ya uanahabari.
“Kusoma habari sio kuongea mbele ya hadhira. Ina utaalamu. Soma habari ni kama unaongea na rafiki. Ivutie hadhira yako.” Anasimulia Swaleh.

Photo Credits: courtesy

Read More:

Comments

comments