Pesa Otas!Tazama picha za nyumba ya Akothee.Utamwaga ute

Aiyeee! Wahenga walisema pesa ni maua!aidha,pesa zikiwa zitumike.

Madam Boss ni miongoni mwa wanamuziki tajiri zaidi nchini na ni bayana hata kupitia kwa vile ambavyo anaishi maisha yake kuwa binti huyu hujifunga kibwebwe na kufanya kazi yake vyema kwani binti huyu ametajirika si kidogo.

Jacque Maribe amjia juu shabiki kisa ombi la dhamana kwa Jowie Irungu

Amini usiamini,Akothee alionyesha picha za nyumba yake juzi na sadiki usisadiki nyumba hii ni ya kifalme.

Zaidi ya hayo,mwanamuziki Akothee alitetea mali yake na kusema kuwa,anaweza safiri kuenda ulaya na hata pia kula vyakula vya aina mbalimbali kwani  hana cha kujutia kwani wazazi wake wanaishi maisha mazuri pia.

“I can courageously walk into my parents compound and park my big car infront of their house without any guilt, I can slay and travel business class knowing my parents are sleeping in a cool place, I might seem mad to you, but just know this idiot is too sharp and focused in life, loosers will say am proving a point, cowards will say am a ritualists, unlucky ladies will say money from sponsors, never mistake knowledge for wisdom, am too wise to live a fake life, this is me, take me or live me.” Akothe aliandika.

Hatima ya Allan Omondi aliyetwangwa na polisi maandamano ya JKUAT

“You are allowed to be proud of your accomplishments and admire your efforts, if you feel am bragging then just wait, I haven’t offended you yet, there is nothing to brag about here. I haven’t arrived in my comfort zone , when I will land there! Then you will know😂😂 that I have surely arrived, the rate at which I will brag😂😂😂😂 even God knows! Thats why its taking too long to reach there 😂😂😂😂, Even Amerka will know that maskini amepata 😂😂😂😂 nitawasumbua mpaka panadol ziishe kwa duka 😂😂😂😂.”

Hebu tazama picha!

Akothee

Akothee8

Akothee1

Akothee2

Akothee5

Akothee7

Akothee9

Akothee4

Akothee6

Akothee3

Maskini Akothe!Mwanamziki aomba mashabiki wake msamaha wa dhati

Jambo linaloudhi sana wapenzi wa miziki ya moja kwa moja au ukipenda ‘Live Music’ ni kufika ukumbini na upate  msanii hajafika na usha lipa langoni.

Mwanamziki stadi Akothe alikasirika sana hivi majuzi alipoenda kuwatumbuiza mashabiki wake na kucheleweshwa na maneja.

akothee-1-696x870

Ni wazi kuwa staa huyu alikerwa sana na kuwasili kwakhe akiwa amechelewa huku mashabiki wake wakionekana kutofurahishwa na hali ilivyokuwa.

Masaibu ya Onyango: “Rudishia bibi yako poster yake!”

Kulingana na Akothe, alikuwa tayari kuwatumbuiza mashabiki wake saa 12:00 lakini kwa sababu ya maneja wake akachelewa sana na kufika takriban saa tatu baadaye.

Hisia zilipanda baada ya shabiki mmoja wa Akothe kuandika kwenye mtandao wa kijamii kuwa bado mwanamziki Akothe hajapanda jukwani na kuwa wanamsubiri.

Akothee.akothee

Hivyo basi,kupitia mitandao ya kijamii, Akothe aliona ni vyema awaombe radhi  mashabiki wake  na kuwaambia kuwa yeye hayuko kama wanamziki wengine ambao huchelewa kuwatumbuiza mashabiki kwa sababu ya pombe au anasa.

 

Madam Boss aliandika,

It hurts, really hurts, what fans ought to know is that , an Artist is at the mercy’s of a promoter and the management, whenever there is a show 🤷‍♂️ I personally don’t drink or smoke, nor carry women to the room or men to keep me busy🙏🏾 that’s why I insist on a bathtub or jacuzzi if possible, that’s where I have my fun, to keep me awake ! The alcohol on my rider is for my team. I don’t drink before I step on stage so there is totally nothing to keep me in the room awake until 2.33 am. I always wish to perform by 12.00 am that’s when all human beings are awake, the rest is autopiloting, we are all human for that matter 🙆‍♂️🙆‍♂️ but most promoters always have a problem with either balance, or wanting people to drink more before an artist come on stage ” if an artist comes now ,watu hawata nunua pombe” so let her wait till around 1.00 am, fans also come late, with the notion of ooooh, the show will start around 1.00 am, we are all suffering in this platform Artiste/fans .

akothee

Wikendi imefika watu waserereke! Orodha ya nyimbo za kuskizwa wikendi hii

Vilevile,alizidi kusema,

It did hurt me seeing elderly women in the crowd who waited until 3.00 am 🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️, I was so ashamed and decided to compensate by having a photo session, which was not in my program 🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️, just to learn later that there was an extra charge for personal photo for VIP, sorry I didn’t know this!

Let me take the opportunity to apologize for all my fans who never knew things are different on the ground! I am not a signed artist, this is purely my investment solely, I would not tamper with it at any given moment! That’s why I stay awake, sober and direct! I have spent over 650,000 USD to build this brand! I will do anything to protect it! Including running away from myself. I have no record label doing things for me! I am nobodies investment but me, I value and respect my fans, any time any day, but that doesn’t give some of them an account to disrespect me, or utter rubbish to me, I am human with blood and flesh too! I give it to you just like you served it , it’s my nature. Lying is not in my dictionary, that’s why most people can’t keep up with me! Don’t share your family struggles with me! My own is messed up with so many baby daddies, how can I help you🤷‍♂

Akothee gizani huku bintiye Rue akifaulu katika shindano la Miss Universe Kenya

Rue binti yake Akothee ana matumaini ya kuwa mshindi kwenye mashindano ya Miss Universe Kenya.

Rue alisema kuwa, kujikaza kisabuni, kutunza wakati na unyenyekevu ndivyo vitu ambavyo vimemfanya aweze kufika aliko sasa.

Hata hivyo, amini usiamini binti huyu hajampa mama yake habari hizo na hata hakuwa amemwambia mama yake alipojiandikisha kwenye mashindano hayo ya Miss Universe Kenya.

Akizungumza na vyombo vya habari, Rue Baby alisema kuwa, bado hajampa mama yake uhondo na mama yake ata hakuwa anajua kinachoendelea kwani hakujua kama anaweza fika alipofika sasa.

Vilevile, Rue alisema kuwa anasubiri siku nzuri tu ambapo ataketi chini na mama yake na kumpa habari nzuri.

“Actually my mother doesn’t know about this. I didn’t tell her because I didn’t know I was going to make it this far. I am waiting for a good day, when I’ll sit her down and tell her that I’ve made it to this point.”

Licha ya hayo, Rue aliwaambia mashabiki wanaomwonea kwenye mitandoa ya kijamii kuwa, wasidhani kufika kule alipo kumekuwa rahisi sana kwani ilimbidi achume juani kwa muda mrefu ili aweze kufika alipo sasa.

Vilevile, alisema kuwa hata mama yake mzazi hakujua kama ako kwenye mashindano hayo na kwa hivyo, mama yake hakuchangia hata kidogo kumsaidia kufika alipofika sasa.

“I have seen many negative comments, saying that it’s my mother that got me into the competition. I have worked myself so hard and I’m also very competitive to get the crown. It is my hard work that has gotten me there. You see now my mother doesn’t even know about this,” Rue alisema.

“Mjinga alitoka nyumbani” Akothee amuanika binti yake

Rue alizidi kusema kuwa alikuwa amekumbwa na matatizo mengi sana na kama mama yake angekuwa anamsaidia basi hangekuwa amekumbana na majanga yaliyompata

“If I had it easy, then I don’t think I’d have conquered the challenges. I don’t have it easy. It’s very hard on my side. I have to go all out and be outstanding.”

Hata hivyo, Rue alisema kuwa, mama yake amekuwa akimsaidia sana akiwa kwenye kiwanda chake cha urembo na ana uhakika kuwa, mama yake atafurahi sana pindi tu atampa habari hizo.

“She will be very happy when I tell her the news.”Rue alisema.

Daah! Akothee azua balaa bungeni kwa kuvaa nguo fupi

Mwanamziki stadi Akothee, alizua vurugu siku ya Jumatano baada ya kuenda bungeni na nguo iliyokuwa fupi kupitia kiasi.
Akothee alikuwa amenda bungeni kumsalimia mbunge David Sankok na ndipo walinda lango pamoja na wengi waliokuwa bungeni wakabaki wameduwaa na kumzuia asiingie hoteli iliyo bungeni.
Baada ya vurugu kidogo na wanasheria wa bungeni, Akothee alikubaliwa apite na kuingia bungeni bila walinzi wake.
Zaidi ya hayo, wanasheria wa bungeni walijaribu kumpa kikoi ajifunge lakini mipango yao ikaambulia patupu. Akothee alikuwa amevalia mini sketi ya rangi ya kijani ambayo haikuwa karibu hata kufika magotini.
akothee
Baada ya dakika chache za kubishana na wanasheria wa bungeni, Akothe alipewa ruhusa na kuambiwa atumie mlango wa nyuma kuingia kwenye hoteli hiyo ya bungeni.

“Mjinga alitoka nyumbani” Akothee amuanika binti yake

Methali Damu ni nzito kuliko maji ni methali ambayo, Akothee mwenyewe haielewi kwani, bali na kuwa na maneno makali kwa watu ambao si jamaa zake, Akothee hutoa maneno yayo hayo kwa watoto wake pia.

PATANISHO: Hata kura walirudia Gidi, tafadhali mjaribu mke wangu tena

Kupitia mitandao ya kijamii, Akothee alimuanika binti yake mmoja kwa kuchelewa sana usiku. Mwanamziki huyu aliyejulikana kwa wimbo wake ”Sweet Love” aliandika kwenye mtandao wa kijamii,

rue baby 2

”I AM STILL WAITING ON THE COUCH 🤔🤔🤔 MAYBE SHE THOUGHT I STEPPED,OUT 😲😲 ATIMRA GI NYATHINANI NADE JOWADU ?”

Baada ya saa chache, Binti yake Rue Baby aliweka picha kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram na kujieleza kuwa alikuwa ameenda kwa kinyozi kutengeneza nywele yake.

rue baby

Hata hivyo, mama yake hakutaka kuelewa alichosema.

Willy Paul ateta masaibu yake na Rayvanny. Afunguka uovu wote

”THIS RUBBISH CANT TAKE THE WHOLE DAY MY FRIEND ! I AM MUCH OLDER THAN YOU ! JUST SLEEP AT THE BARBER DONT COME CLOSE TO ME COZ I WILL SHAVE IT FOR SURE.”Akothe alisema.

Mashabiki wa akothe nao, waliandika ujumbe ufuatao :

feisalsalim254
It’s Saturday, the queues are long at the barber shop😂😂

gal_baibe
😀😀😀😀😀haaaaaayyaaaaa Rue baby leo kitaeleweka

hotcoffee_tmz
@rue.baby leo ukae tu huko ikiwezekana uolewe na usirudi tena 😆

shanhavenhair_ke
😂😂😂 I hope si @rue.baby…kama ni wewe ukirudi home upitie ya nyuma ukikanyanga ndogo ndogo na ukuwe umesongwa sangita packet sita kwa kichwa 😂😂…otherwise @akotheekenya 😀😀

shiku_kym
She said sin now apologize later…..She went to get some relax madam boss…

evanyakoa
@rue.baby am not saying anything but rudi nyumbani Mami

its_lilw
“Chukua suitcase zako huko mololin e nimekutumia…na usirudi kwangu tena”….that was my mother years ago 🤣😂🤣😂🤣 ….being in your 20s is the worst part of adulthood

faith_deche_noble_lady
🔫🔫🔫🔫@rue.baby please call police before u step in that empire coz the lioness @akotheekenya is waiting for u 🔥🔥🔥🔥🤣🤣🤣

Salaale! Tazama picha za sherehe ya Akothee iliyogharimu 1.8M

Je ulijua inasemekana kuwa mwanamziki Akothee ndiye mwanamziki tajiri zaidi nchini?

MADAM BOSS

Mwanamziki stadi sana Akothee, alikuwa na sherehe ya kukata na shoka kwenye hoteli ya kifahari ya Kilili Baharini. Sherehe hii ilipangwa ili iwe njia ya kuchanga hela za kuwasaidia wasiojiweza katika kaunti ya Turkana.

akothe.1akothe.3

Amini usiamini, jamaa tajiri sana kutoka nchi ya Italy, Bwana Massimo, aligharamia sherehe hiyo ya Akothee na kulipa shilingi milioni 1.8 kugharamia sherehe hiyo, iliyofanyika kwa muda wa masaa mawili.

akothe.2akothe.6 (1)

Zaidi ya hayo, Bwana Massimo alikuwa anasherehekea miaka sitini (60) tangu kuzaliwa kwake. Waliohudhuria sherehe hiyo ni mabwenyenye wa kotoka nchi ya Italy.

Gwiji wa Rhumba Samba Mapangala ampa Gidi zawadi ya kufana

 

akothe.4akothe.5

Mwanamziki mufti wa nyimbo za kitamaduni, bwana Tony Nyadundo, alikuwepo pia, na kuimba nyimbo zake chache za Ohangla kisha akampa nafasi bwana Massimo kuwalisha jamaa na marafiki zake keki ya kuzaliwa kwake. Aisee, sherehe si sherehe bila keki.

akothe.7

Mashabiki washambulia nyumba ya nahodha wa Sierra Leone kwa kukosa mkwaju wa penalti