Mimi sijakataa kufika mbele ya kamati, Gavana Mutua ajitetea

Gavana wa Machakos Alfred Mutua ameishutumu kamati ya hesabu ya umma ya seneti na uwekezaji kwa kuandaa mikutano ya kisiri kwa malengo ya kumharibia jina.

Mutua ambaye aliandika katika mtandao wa Twitter siku ya jumanne alisema kwamba alijulisha kamati hiyo kuwa yuko mbali kidogo, lakini kamati hiyo bado lilimtaka afike mbele yao.

Kamati ya bunge ilimuelekeza Inspekta wa polisi Hillary Mutyambai kumkamata Mutua na kumfikisha mbele ya kamati hiyo ili ajibu maswali ya ukaguzi.

Kaunti ya Nakuru yatupa nje mswada wa Punguza mzigo

Kamati ya hesabu ya uhasibu na uwekezaji ya seneti ilitupilia mbali barua ya Gavana ikitoa sababu za kisisasa na kutoa sababu za kusafiri nje ya nchi.

Kamati hiyo iliomba nguvu zilizopewa na katiba na sheria ya nguvu ya bunge kutumia uwezo huo ili kumlazimisha mkuu wa kata afike mbele ya kamati hiyo.

Mutua alipuuza wito uliotolewa wiki chache zilizopita. Aidha alikuwa amepuuza mwaliko wa kamati ya kujitokeza mbele yake mnamo Septemba 18 kujibu hoja za ukaguzi wa miaka ya kifedha ya 2015-2016, 2016-2017, 2017-2018.

 

‘Nia yangu ilikuwa kuwanyamazisha mahasidi!’ Asema bingwa Kipruto

Afisa wa polisi kushtakiwa kwa kuvunja bavu ya makanga

Afisa wa polisi ambaye alimvamia na kuvunja bavu ya makanga katika kituo cha basi ya Kwavonza kaunti ya Kitui anatarajiwa kufikishwa mahakamani na kufunguliwa mashtaka.

Inadaiwa afisa huyo alikuwa amelewa kupindukia jambo ambalo ilichangia yeye kufanya tendo hilo.

makanga two

Alfred Mutua ambaye ni muathirika wa tukio hilo anataka haki ifanyike manake afisa huyu alimpiga na kumjeruhi bila uchochezi wowote na hivyo basi hawezi fanya kazi kwani hana budi kutulia kwa nyumba hadi majeraha yake yapone.

Mutua ambaye alisema alipigwa hadi akapoteza fahamu alisaidiwa na dereva wa teksi ambaye alimpeleka hospitalini kupata matibabu ya dharura.

 

Jinsi punda wanavyo watajirisha wachuuzi wa maji mtaani Rongai, Kajiado

Diplomats involved in Machakos accident airlifted to Nairobi

Two diplomats who were rushed to the Machakos level five hospital for treatment after being involved in a road accident yesterday, have been airlifted to Nairobi for specialized treatment.

 The diplomats, Zambian Ambassador to Kenya Brenda Mudenda and her Botswana counterpart Duke Lephoko were involved in a road crash at Lukenya in Athi River, Machakos County on Tuesday evening.

They were admitted at the facility alongside their drivers.

But Mchakos Governor Alfred Mutua on Wednesday took to his twitter account to announce that the two diplomat have been airlifted to the city for further treatment.

“We wish Zambian Ambassador to Kenya, H.E. Brenda Mudenda & diplomat Kama Wasa good recovery. They have been airlifted from Machakos for specialist training in Nairobi. We will be praying for you. I thank all my Machakos staff for the great & efficient response to this disaster,” read the tweet.

They were airlifted using a military aircraft.

Reports on the ground indicated that the Zambian’s envoy’s car collided with an oncoming lorry, with Lephoko’s car hitting his Zambian counterparts car because it was following closely.

They were on their way to Nairobi from a meeting at Maanzoni Lodge in Athi River.

Athi River traffic commander Moses Kimeli confirmed the accident.

Kalonzo hafai urais wala hana nyenzo za urais – Alfred Mutua

Aliyekuwa naibu wa rais Kalonzo Musyoka hana nyenzo za urais kwa sababu hana msimamo mmoja alisema gavana wa Machakos Alfred Mutua.

Mutua alisema kuwa kamanda mkuu wa majeshi ya ulinzi wa Kenya anapaswa kuwa kiongozi ambaye ana msimamo imara.

“Huwezi ambia vikosi vya ulinzi waweze kupiga risasi, kisha uende kwa utawala wako uwaambie wasipige risasi wakati risasi enyewe ishaapigwa,” Mutua alisema Jumapili.

Alfred-Mutua
 Gavana Alfred-Mutua

Aliongea maneneo hayo akiwa anahotubia vyombo vya habari. Inasemekana kuwa Kalonzo ameunga mkono wito wa kura za maoni ili kuongeza kikomo kirefu cha rais Uhuru.

Kiongozi huyo wa chama cha Wiper alikataa madai hayo na kusema kuwa hakueleweka.

“Nikisema kitu huwa na maanisha, niliposema kuwa nime msamehe ndugu yangu Uhuru nilikuwa nmemsamehe na wala sikusema kuwa Uhuru ana paswa kupewa muhula wa tatu,” Alieleza Kalonzo.

Wanasiasa walisema kuwa kura ya maoni ina mizizi katika kiti cha urais kwa maana inataka kuleta tena nafasi ya waziri wakuu na manaibu wake (prime ministers and deputies).

Kenyans impressed by this mzungu rastafarian minister for culture in Sweden

Wengine hawataki rais kustaafu kwa maana muhula wake unaisha mwaka wa 2022. Badala yake wanataka katiba kubadilishwa ili kutoa muhula wa urais.

Hata hivyo Mutua alisema kuwa yeye ni miongoni mwa waliounga mkono katiba kubadilishwa na kuanzisha tena kuwa kwa waziri mkuu na manaibu wake, lakini hajaunga mkono kutolewa kwa kikomo cha muhula wa rais na magavana.

“Hatutaki tena kurudi kwa maisha ya udikteta,” Alisema Mutua.

Alibainisha kuwa wananchi wamelipa bei ya mwisho ili kutoa udikteta kupitia chama ambacho kimekuwa katika nafasi wakati wa serikali ya Kanu.

Alisema kuwa ‘ugonjwa’ wa viongozi wa Afrika kushikilia mamlaka umefanya kuwa maskini katika bara na Kenya haipaswi kupitia katika njia hiyo.

What happened? Mystery as Kenyan musician strangely dies in Holland

“Inawanyima vijana nafasi ya kuongoza nchi,” Alizungumza Mutua.

Gavana huyo alisema kuwa kwa maana Kalonzo ameonyesha hana haja na kiti cha urais 2022, badala yake anapaswa kumuunga mkono kuwania kiti hicho.

“Sasa mimi ndiye kiongozi pekee wa kutoka kanda ya mashariki ambaye ametangaza nia ya kiti cha urais, mkoa unapaswa kuniunga mkono,” Mutua alieleza.

Gavana huyo wa Machakos amewaunga mkono gavana wa kitui Charity Ngilu na gavana wa Makueni Kivutha Kibwana kumpiga vita Kalonzo.

Walisema kuwa hawana lolote la kuficha na hawana shida na kila mmoja wao. Jumapili Mutua alisema “Hatuna shida na Kalonzo ilhali tuna shida na siasa za umaskini,” Alizungumza Mutua.

Magavana hao watatu walimlaumu Kalonzo kwa umaskini wa mgoa wa Ukambani kwa faida yake menyewe.

“Ni rahisi sana kuongoza maskini kuliko tajiri, nahakikisha kuwa wananchi wa Ukambani ni tajiri,”Alisema Mutua Jumapili.

Katika vita hivyo vya magavana hao na Kalonzo kweli zitaweza kuwasaidia wananchi wa ukambani ama zitawatawanya wananchi hao?

 

HILARIOUS! Machakos Governor, Alfred Mutua Falls Into Kisii River ‘While Taking Selfies’

The bridge at River Gucha collapsed on Friday morning as Machakos Governor Alfred Mutua and Kisii DG Joash Maangi stood on it.

Some reports indicated that it caved in as they took selfies while others said the Governor had bent to check the depth when the incident took place.

They were with several people who accompanied them to a inspection of road projects in Ogembo town.

Mutua and Maangi were pulled out and rushed to Ogembo Hospital in Kisii County in an ambulance.

The Governor dismissed the report about selfies.

“I have been baptised by River Gucha and now I must build a house in Gucha,” he said, as reported by Radio Citizen.

When called by the Star, he said he was safe and that he was having lunch at Maangi’s home.

“The bridge caved in after a crowd of those who accompanied us joined us,” he said.

Kisii Communication director Maseme Machuka said the bridge was weak.  The Ogembo post office-Nyakorokoro footbridge was constructed by the Ministry of Public Works as part of the Economic Stimulus Project under the Constituency Development Fund (CDF).

“The Governor and DG were unhurt in the incident and they went on to address residents before going for lunch,” he said.

He added that two journalists were taken to Kisii Teaching and Referral Hospital with minor injuries.

-Patrick Vidija

My Machakos Victory Sets Pace For 2022 Presidential Race, Says Mutua

Machakos Governor Alfred Mutua has termed his win against Wavinya Ndeti as a relief from Wiper leader Kalonzo Musyoka’s yoke.

He said the result is worth celebrating since it has liberated Ukambani residents from the chains of the bad leadership that has stagnated the region’s development.

“Machakos residents have demonstrated that they are tired with politics of sycophancy, ethnicity, and propaganda.”

He said: “The victory today is just the beginning. We have started the journey to State House in 2022.”

“The presidency will come to Machakos immediately Uhuru Kenyatta is done with his second term,” Mutua said.

The governor, who defended his seat through the Maendeleo Chap Chap party, accused Kalonzo of staging arsenals to remove him from office.

He told journalists, during his victory address at the county headquarters, that the campaign was based on the fruits of his administration’s labor.

“I did not give even a shilling to electorates during my campaigns. Everybody in the county know that I did not bribe for votes,” said Mutua.

He said politicians should not bribe to rise to power.

“Machakos residents have demonstrated they cannot vote anti-development leaders,” he added.

“This has been the best managed election in Kenya since independence. It mirrors what happens in Europe.”

Mutua said Kenyans should learn conceding defeat once beaten in polls.

“We need to create a culture of conceding defeat once beaten in elections. This nation is greater than all leaders,” Mutua said on Wednesday.

But Ndeti, citing massive malpractices, said she will explore all possible avenues to challenge the results.

“We are not accepting the results because we know what happened on the ground. The exercise was marred by serious election malpractices.”

“This is not a banana republic. It is not over as far as we are concerned,” Ndeti said insisting that she won the race.

By press time, Mutua was leading with 239,668 votes while Ndeti had garnered 207,000 votes in 1280 out of 1332 polling stations.

-The Star|GEORGE OWITI

Machakos governor Mutua condemns ‘undemocratic’ Wiper party

Photo: file

Machakos governor Alfred Mutua has castigated the move by Wiper party, led by former vice president Kalonzo Musyoka to eject MPs Regina Ndambuki (Kilome), Joe Mutambu (Kitui Central) and John Munuve (Mwingi North) from Parliamentary Committees.

Mutua has described the move as a sign of intolerance and lack of democracy, reminiscent of the KANU era when freedom of expression or association was curtailed.

“They are supporters of Maendeleo Chap Chap movement that seeks to transform what has been empty talk and political promises into real change and development,” Mutua said.

 

Mutua has noted that Wiper’s message “is that anyone who attempts to change things so as to bring development will be punished so that our mothers, fathers and youth continue to languish in poverty forever.”

EACC, DPP given green light to prosecute Alfred Mutua over Bribery allegations

Photo: monitor.co.ke

The DPP and the EACC can now go ahead and prosecute Machakos Governor Alfred Mutua over the alleged illegal procurement of motor vehicles for his county after an order barring the probe was lifted.

The court has ruled that Mutua’s petition lacks merit. Mutua had moved to court seeking orders to bar EACC from investigating him over the said allegations. The matter will be heard on April 14.

Meanwhile, the Office of the Auditor General says it lacks capacity to audit all 47 counties effectively. Auditor general Edward Ouko says his office is understaffed which leads to poor auditing.

 

AUDIO: “Gavana wa Machakos Alfred Mutua anatoka kwa jamii ya waluo”, diwani Oriaro asisitiza

Ilikuwa ni kicheko asubuhi ya leo, wakati Gidi aliposimulia jinsi mwakilishi wa wadi ya Alego Leonard Oriaro alitoa madai kuwa gavana wa Machakos Alfred Mutua ni wa jamii ya waluo.

Kulingana na bwana Oriaro, jina kamili la babake Alfred Mutua ni Habil Otieno Lut, kutoka kijiji cha Kalenjuok ambacho kiko katika wadi yake. Iisitoshe, Oriaro aliongeza kuwa mjombake Mutua ni mzee wa kijiji chake.

Oriaro pia alidai kuwa jina kamili la Mutua ni Alfred Otieno Odango wala sio Alfred Mutua.

Madai haya ya Oriaro yaliwashangaza watangazaji Gidi na Ghost ambao walichambua madai haya kwa kina.

Skiza kanda hii:

 

AUDIO: Vyama vya kisiasa ni kama hoteli! – Odhiambo

Kwa mda wa wiki kadhaa sasa, magavana humu nchini wamejitosa katika chemichemi za siasa za mwaka wa 2017 mwaka wa uchaguzi mkuu nchini, kwa kuunda vyama vipya vya kisiasa.

Akizungumzia swala hili, Gidi alishangazwa na mwenendo huu, baada ya gavana wa Machakos Alfred Mutua ambaye aliunda chama cha maendeleo chap chap, Gavana wa Bomet Isaac Rutto naye akaunda cha “Mashinani development party’ huku ikidaiwa kuwa gavana wa Meru Peter Munya, pia ako katika harakati za kuunda chama chake kipya.

Huku wakenya wakitoa hisia zao tofauti kulingana na vyama hivi, Odhiambo ambaye ni msikilizaji kutoka Karatina alifananisha vyama hivi na hoteli akidai kuwa wanasiasa huingia wakitoka jinsi wanavyo hisi.

Skiza kanda hii ya bwana Odhiambo: