‘Mungu anachukia talaka,’Alikiba azungumzia madai ya kutengana na mkewe

Uvumi umekuwa ukienea kwa muda sasa ya kwamba msanii wa bongo Alikiba wametengana na mkewe Amina Khalef huku hakikosa kuzungumzia suala hilo na kukimya hatimaye msanii huyo amezungumzia suala hilo huku akisema kuwa hajawahi tengana na mkewe.

Wako pamoja: Alikiba awanyamazisha waliodai wametengana na mkewe

amina-khalef-

 

Akiwa kwenye mahojiano na Cloud FM alisema kuwa alijaribu kusema kuwa wako sawa na kewe endapo swali hilo lingeulizwa kwenye mahojiano yeyote laki i hamna yeyote ambaye alimuamini.

“Alikuwepo siku zote, mbona mnafikiria hivyo ama kwa sababu mmeona picha. Tuko vile vile freshi siku zote nilikuwa nawaambia lakini mlikuwa hamuamini.” Alisema Kiba.

Awali akiwa kwenye mahojiana msanii huyo alidai kuwa walikuwa na matatizo fulani lakini hawajatengana, maneno yake msanii huyo yanajiri miezi chahce baada ya habari kutoka Tanazania kudai kuwa wawili hao hawayuko pamoja.

Sababu ya Alikiba kuahirisha tamasha yake nyumbani

Alikiba
Alikiba

Alikiba aliwaonya wanamitando dhidi ya kusherehekea matatizo ya wenzao, kwa maana mwishowe watayafanya mambo yawe mabaya zaidi.

“Ni kweli mimi na mke wangu tuna migogoro na ni jambo la kawaida kwenye ndoa, ila sijampa talaka hata moja”…“Watu wasipende kufurahia matatizo ya wenzao, au labda ni ukosefu wa kazi, hakuna jambo ambalo Mwenyezi amelihalalisha na analichukia kama talaka. Binadamu unapata wapi ujasiri wa kuchochea wenzako waachane kwenye ndoa, ni shetani tu ndio anapenda ujinga huo.”

Wako pamoja: Alikiba awanyamazisha waliodai wametengana na mkewe

Msanii wa bongo wa Tanzania Alikiba amethibitisha hawajatengana na mkewe, hii ni baada ya uvumi kuenea sana kwenye mitandao ya kijamii kuwa wawili hao wametengana.

Sababu ya Alikiba kuahirisha tamasha yake nyumbani

Amehakikisha kuwa wako pamoja na mkewe na mapenzii yao yanazidi kunoga na hata kuzidi kukuwa baada ya kuposti picha kwenye mitandao ya kijamii wakipamoja na mkewe Amina Khalef.

alikibawifeamina

Hivyo basi, picha hii inathibitisha kuwa penzi lingalipo na wawili hao wanafurahia maisha kwa pamoja.

Baada ya mashabiki wake kuona picha yake msanii Alikiba waliwasifia huku wengi wakiwatakia ndoa njema, hizi hapa baadhi ya jumbe za mashabiki;

Rais Magufuli awaleta pamoja Diamond, Alikiba na Harmonize

 

ngwanamasele: ❤️❤️wameanza kufanana
officialsajim: couple boraaaa
muuzagongo: sema mke wake ni 🔥🔥🔥
happinessmapessaNaipenda hii couple hatari mungu azdi kuiongoza siku zote
finagasperHizi bdo couple za kusimamia Sasa ..siyo unasimama kwenye couple unayumbishwa Kama mla unga👌😂🔥🔥🔥🔥❤️❤️❤️
 fettymobetto:🔥🔥🔥penzi limerudi upya

Sababu ya Alikiba kuahirisha tamasha yake nyumbani

Msanii wa Tanzani Ali Saleh Kiba almaarufu Alikiba amelazimika kuahirisha tamasha yake ya kurudi nyumbani Kigoma, ni tamasha ambayo ingefanyika mnamo tarehe 31, Julai mwaka huu hii ni baada ya kifo chake rais mstaafu Benjamin Mkapa.

Tamasha hiyo ilikuwa imepangwa kufanyika katika uwanja wa Lake Tanganyika Kigoma, imeharishwa hadi tarehe 14 Agosti mwaka huu, hii ni kuwapa watanzania fursa ya kumuomboleza rais mstaafu Mkapa.

“Habari ndugu zangu Watanzania, kama wengi mlivyosikia, taifa letu tumepata msiba wa Baba na Mlezi, Mzee Benjamin Mkapa aliekuwa rais wa awamu ya tatu, ni msiba ambao nimeupokea kwa masikitiko, imenifikia ghafla sana, lakini ni mapenzi ya Mungu. Naomba Mungu ampumzishe mahali pema

110215713_182382663262812_1972836742248737617_n

Kutokana na msiba huu mzito nimeahirisha show yetu ya KIGOMA iliyokuwa ifanyike tarehe 31 ili kushiriki katika msiba huu wa kitaifa mpaka tarehe 14 August 2020. Pia nimehairisha zoezi la upokeaji wa michango mbalimbali ambalo nilipanga kulifanya kesho katika ofisi za Clouds Media Mikocheni. Taarifa za siku ya kupokea michango kwa ajili ya kuweka kwenye #BehewaLaUkarimu – nitatangaza baada ya msiba kumalizika. Asanteni, natoa pole kwa watanzania na wapambanaji wote walioguswa na msiba huu #KingKiba.” Alikiba Aliandika.

Alikiba alikuwa ameandaa tamasha ya kurudi nyumbani baada ya miaka sita.

Alikiba
Alikiba

“Baada ya miaka 6, hatimaye tarehe 31 July 2020, Narejea Nyumbani KIGOMA!

Ndugu zangu wa KASULU, Buhigwe, Kakonko, Kibondo, Uvinza na maeneo yote ya KTown #MfalmeAnarejeaNyumbani – shughuli yetu tutufanyia pale LAKE TANGANYIKA STADIUM 🏟 #KingKibaHomeComingConcert

Rais Magufuli awaleta pamoja Diamond, Alikiba na Harmonize

Wikendi iliyopita, Rais wa Tanzania Pombe Magufuli, aliwaleta pamoja wasanii wa bongo, Diamond Platnumz, Alikiba na Harmonize Kode Boy wakiwa katika hafla ya kuzindua chama cha kisiasa cha Chama cha Mapinduzi(CCM).

Wakati wa uzinduzi huo, Magufuli alihakikisha kuwa watatu hao wameketi pamoja na kutumia meza moja licha ya kuwa na lebo tofauti za mziki.

107424733_153035646314661_8813702671262038906_n

Kupitia hotuba yake Magufuli, alisema kuwa ana furaha kuwaona watatu hao wako pamoja licha ya kuwa na utofauti wao katika usanii wao, na anaamini kuwa chama cha CCM kina umoja mkubwa kuliko utofauti wa kila mmoja wao.

8RKk9kpTURBXy85Y2VmYzQxYzE1YjA3ZjVmN2E5NWQ4OTY1MWI3YTUxNC5qcGeRkwXNAxTNAbyBoTAB

“Mimi nawashukuru sana wasanii. Unapomuana Alikiba amekaa pamoja na Diamond Platnumz unaiona nguvu ya chama cha Mapinduzi. Lakini unapomuana Harmonize aliyemkimbia Diamond Platnumz leo anamsifia hadharani huu ndio utanzania ninaoutaka.” Alizungumza Magufuli.

Msanii Harmonize alipopewa fursa ya kuzungumza alimsifia Diamond huku akishukukuru lebo ya WCB kwa kumlea.

107814489_176967347349256_5917141133031275684_n

“Mimi naitwa Harmonize lakini mwanzo nilikuwa naitwa Rajab Abdul Kahali, mimi ni msannii ambaye nimeweza kuhangaika siku nyingi lakini namshukuru sana kaka yangu Diamond Platnumz, akanishika mkono na kunionyesha njia, akaniambia mdogo wangu pita humu. Kweli naushukuru sana na uongozi wa WCB ni kama walezi wangu. Na mimi nikaona kabisa nitakapopata nasafi na mimi nitashika vijana wenzangu mkono. So kwa heshima naomba nimtambulishe ambaye nimeshika mkono, siisi watu wa familia za kimaskini tuweze kusaidiana wenye kwa wenye. Kijana Mpya kutoka Konde Muisc Worldwide, Ibraah Karibu.”

107104751_375087500136336_3656680561424596737_n

Wasanii waliohudhuria hafla hiyo ni pamoja na: Mbosso, Zuchu, Nandy,Lava Lava, Rayvanny, Shetta, Mwana FA,Babu tale miongoni mwa wengine.

‘Namuombea Mola ampe mwanamke wa kuoa aache kurukaruka,’Diamond ashauriwa na baba yake huku akimsifu Alikiba

Mzee Abdul Juma ambaye ni baba yake staa wa bongo Diamond Platnumz amemshauri mwanawe aache kurukaruka na kuwachezea wanawake bali anapaswa kutulia na mwanamke mmoja.

Huku akiwa kwenye mahojiano na SNS alimshauri mwanawe afuate mienendo ya msanii mwenzake Alikiba.

Uganda? Diamond afichua siri ya kushangaza ya baba yake mzazi

“Anapaswa kutulia na awache kurukaruka hapa na pale, namuombea Mola ampe mwanamke ambaye anaweza kuoa ana uwezo wa kuoa sasa kwa maana ni mti mzima sasa.” Alizungumza Juma.

Diamond-Platnumz-shirtless

Aidha Mzee Juma aliendelea na kumsifu msanii Alikiba,

“Kama vile Alikiba ameoa tayari na ametulia Diamond anapaswa kutulia chini na kuacha mambo ya kidunia yaendelee kwa hakika sijui shida yake iko wapi naomba tu Mola amuwezeshe atulie.”

Hata hivyo Mzee Juma ana furaha tele baada ya Diamond na Zari kutupilia ugomvi wao mbali na kuanza kusaidiana kulea watoto wao.

diamond-na-babake

Haja yake kubwa ni kuwaona wajukuu wake Princess Tiffah na Prince Nillan,

Kama hatuna mahusiano ya kimapenzi usiseme tuna mahusiano,’ Diamond awaonya wanadada wanaosema wana mahusiano naye

“Sipendi kabisa watu wanapobishana, mahusiano yana mambo mengi sana na jambo moja mmoja anapaswa kuwa  mnyenyekevu, nina furaha sana kwa maana wametupilia ugomvi wao mbali

Ni jambo nzuri sana kuwa katika mahusiano mema mkiwa wawili ili mzazi mmoja asiweze kuwaambia wanawe jambo mbaya kuhusu mzazi huyo mwingine.” Mzee Juma aliongea.

Msanii Diamond atatulia licha yake kuwa na baby mama zaidi ya wawili?

Joho ni rafiki! Asema Alikiba

Ali Kiba amesifia urafiki baina yake na kiongozi wa kaunti ya Mombasa Ali Hassan Joho akisema ni mengi wamefunzana kwa muda huo wote.

Mara nyingi msanii huyo kutokea Tanzania amekuwa akionekana na gavana Joho wakiwa katika mitaa tofauti ya Mombasa.

Tumkimbilie Mwenyezi! Willis Raburu awarai wakenya

Akizungumza na mwanahabari Willis Raburu, Kiba alisema kuwa Joho amemfaidi pakubwa katika maisha yake jambo ambalo analishukuru kila mara.

“We are good and we talk, he is one of my favourite friends that encourage me in life. he is very wise and teaches me about business. Joho likes people to be successful ,” alisema Alikiba

Wakati wa harusi yake mwaka 2018, Joho alikuwa miongoni mwa watu mashuhuri waliokuwa wanahudhuria harusi hiyo.

Katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2017, Alikiba na Joho walionekana wakiwa pamoja wakielekea kutathmini shughuli ya upigaji kura katika vituo tofauti vya eneo hilo.

Christina Shusho asimulia ni kwa nini alitoka kwa ndoa yake

Ali-Kiba-and-Sultan

Miongoni mwa wasanii wengine kutokea Tanzania ambao wana uhusiano mwema na Joho ni kama Ommy Dimpoz, Nandy,

 

 

Ni mdau wa muziki wa bongo,’Hisia za Alikiba baada ya Rayvanny kusema anapenda kibao chake cha ‘dodo’

Msanii wa bongo Alikiba amezungumza na kumjibu msanii mwenzake Raymond Shaban almaarufu Rayvanny baada ya kusema kuwa anapenda sana kibao chake cha ‘dodo’ ni kibao alichokitoa hivi majuzi na kuwavutia wengi.

Akizungumza kwenye mahojiano na Bongo5 alisema kuwa matamsho ya Vanny boy yanaonyesha kuwa ni shabiki wa muziki wa Bongo flavour.

Ali Kiba alimshukuru Rayvanny na kusema pia naye husikiza baadhi ya nyimbo za Rayvanny na kuimba wimbo wake wa ‘kwetu na ‘natafuta kiki’ alizosema kuwa ni nyimbo ambazo anapenda sana za Vanny Boy.

Alikiba
Alikiba

“Ningependa kumshukuru ameonesha pia yeye ni madau wa mziki wa Bongo fleva kw asababu kitendo cha kupenda mziki wa mwenzako inaonesha kwamba wewe ni shabiki wa mziki. Sina la kusema Zaidi ila kumshukuru na kumpongeza kwa kazi zake nzuri. Napenda mziki wake.” Alikiba Alisema.

Usem wake unakucha siku chache baadae baada ya Rayvanny kuimba wimbo wake Alikiba wa ‘Dodo’ akiwa kwenye mahojiano na runinga ya Wasafi jumapili iliopita.

Rayvanny alipoagizwa kuupa wimbo huo asilimia 10 kwa 10 alisema kuwa anaupa wimbo huo alama kumi na kusema kuwa anaupenda wimbo huo.

rayvanny
rayvanny

“Huyu alikiba Dodo right. Kwenye kumi ntampa kumi. Btw this is my favorite song kwa Alikiba, napenda Dodo.” Rayvanny Alisema.

Kibao cha ‘Dodo cha Alikiba kimesambaa sana kwenye mitandao ya kijamii huku mashabiki wengi wakikipenda na kusema kuwa Alikiba aliweza na kibao hicho.

‘Ulinzi bora wa mwanamke nikuwa na ujasiri,’Mkewe Alikiba asema

Hivi karibuni mkewe msanii wa nyimbo za bongo Alikima Amina Khalef amekuwa akiwatia moyo mashabiki wake kwenye mitandao ya kijamii.

Kupitia mitandao yake ya kijamii alipost picha akiwa amevalia rinda nyeusi, na kuwaambia wanawake wajioe moyo licha ya yale yote wanapitia.

‘Sitalala na mwanamume mwaka huu.’ Asema aliyekuwa mpenzi wa Alikiba

“The best protection any woman can have is courage😊.”Aliandika Amina.

Akisherehekea sikuku ya Eid alipost picha yake na mwanawe Keyaan Ali, huku akiwatakia watu wote uvumilivu na hata kuwa na utu wakati huo.

Ali-Kiba-with-Amina-Khalef-in-a-file-photo

“May you be blessed with kindness, patience and love. Eid Mubarak to all❤️.”

Jesso!!Mkewe Alikiba awashangaza wengi baada ya kuposti video ya wabeba jeneza

Kabla ya hayo Amina amekuwa akiposti jumbe za kushangaza, hii ni baada ya mwanahabari wa Tanzania Diva The Bause kusema kuwa alikuwa mchumba wa Alikiba akiwa bado katika ndoa na Amina.

amina-khalef-

Kupitia mitandao  ya kijamii Amina alipost wanaume ambao wamekuwa wametanda sana wakiwa wamebeba jeneza huku wakisakata nyimbo tofauti baada ya hapo jicho pevu limekuwa likiwamulika Alikiba na mkewe baada ya kuachana.

Katika mitandao hiyo hiyo, alipost picha inayosoma kuwa baada ya mtu kupitia shida na hata magumu ya maisha mwisho atapata ushindi.

amina

 

‘We are just friends.’ Ali Kiba akataa madai ya kuwa uhusiano wa kimapenzi na Hamisa Mobetto

Uvumi umekuwa ukienea sana katika mitandao ya kijamii kuwa msanii wa bongo Ali Kiba na video vixen Hamisa Mobetto wamo katika uhusiano wa kimapenzi.

Hamisa adokeza Diamond alidanganya kuhusu Alikiba kwenye mahojiano

Madai hayo yaliibuka siku chache baada ya Ali Kiba kutoa wimbo wake wa ‘dodo’. Msanii huyo alikataa madai hayo na kusema kuwa ni marafiki tu hamna cha kuongeza wala kupunguza.

Hamisa mobetto
Hamisa mobetto

Alitoka kwa lebo ya Alikiba, akaingia kwa lebo ya Harmonize. Ibraah atisha na ngoma mpya TZ

Alifichua kuwa walikuwa wanazungumza na Hamisa baada ya wimbo huo kutoka na kuongea mambo na biashara zingine na hata kumpongeza kwa kuwa mtu mzuri na wa maana.

“We do chat with Hamisa, it could about the song we did together. She is a nice person who makes everyone feel comfortable and made me feel comfortable too but its nothing like a love relationship and we have been friends. I would not want people to criticise us wrongly.” Alisema Alikiba.

‘Nilimpa baraka zangu.’ Diamond asema Hamisa alimuomba ruhusa kabla ya kuwa video vixen katika wimbo wa Alikiba

93239867_525706595034712_3508823457556992546_n-1

 

Wawili hao walionekana wakiwa wanaucheza wimbo huo kama wapenzi. Baada ya hao kuonekana hadharani uvumi ulianza huku wengi wakitaka majibu kama wawili hao ni wapenzi.

Wimbo huo alioutoa, Ali alikuwa amevalia kama mfalme na Hamisa kama malkia.

‘Nilimpa baraka zangu.’ Diamond asema Hamisa alimuomba ruhusa kabla ya kuwa video vixen katika wimbo wa Alikiba

Baada ya Alikiba kutoa wimbo wake wa ‘dodo’ na baby mama wa Diamond Hamisa Mobetto, wengi walibaki midomo wazi huku wakidai kuwa Hamisa alimcheza Diamond.

Alikiba amchokoza Diamond kwa kufichua anavyompenda ‘baby mama’ wake Hamisa katika video mpya

Wimbo huo ulitolewa tarehe 8, Aprili mwaka huu, baada ya muda Diamond akiwa katika mahojiano alisema kuwa Hamisa alimuomba ruhusa ili ashiriki katika wimbo huo.

92193039_645996155977830_2982848683528027224_n

Aliongeza na kusema kuwa alimpa baraka zake na kumpa ruhusa na kusema kuwa Alikiba ana haki ya kutoa wimbo na mwanamke atakayependa.

Cha mno alizungumza na kusema pia Baby mamas wake pia nao wana uwezo na fursa ya kuwa katika nyimbo za wasanii.

Hamisa kama unataka mimba ya Diamond tena Tuambie !timechoka na mehe mehe

“Ali has every right to use anyone he pleases in his music videos, my fellow parent also has the right to appear in any video she likes,” Diamond said. “Even before shooting the video, she told me Ali Kiba wanted her to appear and was telling me so that I don’t watch it later and think otherwise as it came out.” Alizungumza Diamond.

93239867_525706595034712_3508823457556992546_n

Katika wimbo huo, Hamisa alikuwa amevalia mavazi ya malkia na msanii Alikiba alikuwa amevalia mavazi ya mfalme, ni wimbo ambao  uliwaacha wengi wakizungumza wengi.

Baada ya kibao hicho, wawili hao walionekana wakiwa pamoja wakisakata wimbo kama wapenzi wawili.