Unajua hali ya jamaa uliyejaribu kumuua?’ soma jibu la Babu Owino kwa jamaa aliyempiga kijembe

Mbunge wa Embakasi mashariki Babu Owino  ni mtu ambye hakwepi sakata nan i mzushi kama kirusi .

Mbunge huyo alijipata mashakani kwa kumpiga risasi na kumjeruhi DJ Evolve  Miezi michache iliyopita  katika eneo la burudani la B Club  na hadi wakati huu DJ huyo yungali amepoozwa kuanzia shingoni kurudi chini . Kumekuwa na wasi wasi kuhusu bili yake ya hospitali ambayo imeendelea kuongezeka na awali Babu alikuwa ameahidi kugharamia matibbau ya DJ Evolve .

Brothel biz: Jirani yangu anaendelea na biashara yake ya ‘brothel’ licha ya agizo la quarantine

babu 2

Licha ya kuwa kwa sasa tunakabilianana janga la  virusi vya Corona ,kuna wakenya ambao hawajasahau alichofanya Babu na  kuja jamaa aliyejawa ujasiri na kuamua kumuuliza mbunge huyo swali hili – Mwanamme uliyejaribu kumuua yupo katika hali gani ?

‘Nililala na mamangu wa kambo kumuadhibu babangu’ Dunia ina mambo

babu 3

Wengi walimtaraji Babu kutoka kwa makucha na kumpa  pilipili jamaa huyo lakini mheshimiwa kwa upole alijibu  @ndungokimanthi He’s healed in Jesus name,”

Majibizano hayo yalijiri muda mfupi baada ya  Babu kutuma taarifa akisema anaunga mkono  mikakati ya serikali kupambana na  usambaaji wa virusi vya Corona .

‘Nililala na mamangu wa kambo kumuadhibu babangu’ Dunia ina mambo

babu 4

Mtu na mali yake! Tazama picha za kupendeza za Babu Owino na mke wake

Mbunge wa Embakasi mashariki Babu Owino ni mwanasiasa ambaye hakosi vituko lakini katika ujana wake, wakati mwingine anajiachilia kwa uzito na kutuonyesha maisha yake kama mume .

‘Nilichagua kujisamehe,” Babu Owino asema kuhusu kisa cha Dj Evolve

Ameziweka mtandaoni picha zake akiwa na mkewe Frida Muthoni. Wapenzi hao wawili  wapo katika mkwatuo wa kuvutia na katika mojawapo ya picha hizo Babu amembeba mkewe .Penzi tamu kweli …Tazama

babu 2

Babu  na mkewe Frida .

 

babu 3

Penzi moto: Babu akimbeba mkewe .

 

babu 4

Macho kwa Macho: Macho yangu yanakuona tu wewe ..

‘Nilichagua kujisamehe,” Babu Owino asema kuhusu kisa cha Dj Evolve

Kwa mara ya kwanza, mbunge wa Embakasi mashariki, Babu Owino amezungumzia baada ya kisa ambacho alimpiga DJ Evolve risasi shingoni, B club Januari 17.

Akizungumza katika mahojiano ya moja kwa moja na kituo cha Capital, mbunge huyo alihepa kuzungumzia swala hilo ila alichokisema ni kuwa jambo hilo ni kati yake na mungu.

Babu Owino, dhamana yake yapunguzwa kutoka milion 10 hadi 5

Alipoulizwa iwapo ana majuto alisema,

THAT MATTER AS YOU ALL KNOW, AS KENYANS KNOW IS A MATTER THAT IS SUBJUDICE. IT IS A MATTER THAT IS BEFORE A COURT OF LAW AND A MATTER BEFORE A COURT OF LAW SHOULD NOT BE DISCUSSED, AS MUCH AS I WOULD LOVE TO DISCUSS AND TALK ABOUT IT.

SECONDLY, IT IS A MATTER THAT IS BETWEEN ME AND GOD AND I CHOSE TO FORGIVE MYSELF AND I WANT TO TELL YOU, WE CANNOT CHANGE THE PAST BUT WE CAN CHANGE THE FUTURE. LET US FOCUS ON WHAT IS COMING IN THE FORESEEABLE FUTURE, LET US NOT DWELL SO MUCH IN OUR PAST BECAUSE WE CAN’T CHANGE IT NO MATTER HOW MUCH WE’D WISH TO CHANGE IT.

‘Msijali kuhusu Bill’ ,Babu Owino aiambia familia ya DJ Evolve  

Hili lawadia baada ya Babu Owino kushtumiwa kutolipa bili ya DJ Evolve ya hospitali ambayo kwa sasa imepanda hadi milioni saba na alipoulizwa alisema,

AGAIN I WOULD NOT WISH TO DWELL ON THAT, MATTERS BILLS, I WILL PAY AND I’LL LEAVE IT AT THAT,’

Your money means nothing to DJ Evolve,’KOT wamwambia Babu

Mwezi uliopita mbunge wa Embakasi Mashariki Babu Owino alimpiga risasi DJ Evolve baada ya mvutano kati ya hao wawili, Dj Evolve Alilazwa hospitali na kuwa katika hali mahututi.

Babu Owino, dhamana yake yapunguzwa kutoka milion 10 hadi 5

Mbunge huyo ambaye anakabiliwa na kesi ya kujaribu kumuua DJ Evolve aliachiliwa na mahakama kwa dhamana ya shilingi milioni 10, pesa ambazo alitakiwa kulipa kwa awamu.

Kupitia kwa mtandao wa kijamii Babu  alipost video ambayo alisema amechagua kujisamehe .

“IT’S A MATTER BETWEEN ME AND GOD AND I CHOSE TO FORGIVE MYSELF.” Babu Alisema.

https://www.instagram.com/p/B9VtxkWncF6/

Usemi wa Babu unajiri siku chache tu baada ya hakimu wa mahakama Luka Kimaru kusema kuwa Babu kumlipia DJ Evolve bill ya hospitali ni wajibu wake.

“Mshtakiwa ataendelea kugharamia mtibabu ya DJ Evolve kama wajibu wake wa kila siku.

Akiamua kuwa hatalipa bill hiyo ni juu yake na Mungu wake.” Kamaru Aliongea.

Ni video ambayo iliinua hisia mbalimbali na hizi hapa hisia zao;

Babu Owino: Hakimu Francis Andayi ajiondoka kutoka kesi ya kujaribu kuua

saidmchachoz_ringo🤨🤨🤨🤨 Damn u forgave ur self🤨🤨🤨 shit what about the innocent boy u destroyed his life u think he will forgive u huh🤨🤨🤨 ur money 💴 means nothing to him he just wanted to support his family
aguk_idris: There’s nothing more to be asked about this. Let’s pray for the DJ to recover quickly…
nickwesala: Hon Babu Owino breaks his silence on the tragedy that befell our team on 17th January.

God has a reason for everything. He surely will judge based on his own parameters and not people’s vendetta.

chumba_rodgers: The pain the guy, the young hustling boy went through will not go unpunished. Maybe not now but it will definitely.

abade_254: Bro si ukubali tu yaishe mbona chenga mingi…
Je maoni yako kuhusiana na babu  ni yapi?

Babu Owino, dhamana yake yapunguzwa kutoka milion 10 hadi 5

Ni afueni kwa mbunge wa Embakasi Mashariki Babu Owino baada ya mahakama kupunguza dhamana yake kutoka shilingi milioni 10 hadi shilingi milioni tano.

Mbunge huyo ambaye anakabiliwa na kesi ya kujaribu kumuua DJ Evolve aliachiliwa na mahakama kwa dhamana ya shilingi milioni 10, pesa ambazo alitakiwa kulipa kwa awamu.

DJ Evolve bado amelazwa akiendelea kupokea matibabu.

 

Msijali kuhusu Bill’ ,Babu Owino aiambia familia ya DJ Evolve  

Kufikia sasa Babu amelipa shilingi milioni4.4 kama dhamana na kufuatia uamuzi mpya wa mahakama sasa atahitajika kuongeza shilingi laki sita kukamilisha dhamana  yake huku kesi dhidi yake ikiendelea.

DJ-babu-owino

Kesi hiyo itarejelewa Machi, 20, mbali na kulipa dhamana yake Babu anahitajika kumplipia DJ Evolve gharama Za hospitali kama wajibu wake kutoka na uamuzi wa hakimu Luka Kimaru.

Babu Owino: Hakimu Francis Andayi ajiondoka kutoka kesi ya kujaribu kuua

“Mshtakiwa ataendelea kugharamia mtibabu ya DJ Evolve kama wajibu wake wa kila siku.

Akiamua kuwa hatalipa bill hiyo ni juu yake na Mungu wake.” Kimaru Alinena.

 

‘Msijali kuhusu Bill’ ,Babu Owino aiambia familia ya DJ Evolve  

 

Mbunge wa  Embakasi mashariki Babu Owino  amezungumza kuhusu  gharama ya inayoongezeka ya kumtibu  Felix Orinda au DJ Evolve  ambayo sasa imefikia shilingi milioni 7 katika Nairobi Hospital .

Sauti za  Ninga: Malkia wa Redio nchini Kenya .

Mbunge huyo ndiye aliyempiga risasi DJ Evolve  katika eneo la burudani la B Club mwezi januari  na aliahidi kwamba atagharamia matibabu yake . Babu amesema familia ya  DJ  huyo haifai kuwa na wasi wasi kuhusu bili

Uchawi?‘Niliambiwa nitayarishe uji wageni wanakuja,Kumbe ni Nyoka aliyefaa kunywa uji!’

Pia amekanusha ripoti kwamba  alikwepa kulipa gharama zaidi za matibabu baada ya kutoa malipo ya mwanzo ya shilingi laki sita  akiongeza kwamba kufikia sasa amelipa shilingi milioni tano .

 

FRENEMIES: Jaguar Atoa ‘Godoro’ kwa Babu Owino Gerezani .

 

Mbunge wa Starehe  Charles Njagua al maarufu Jaguar amempiga vijembe mwenzake wa  Embakasi mashariki Babu Owino  ambaye azmeuiliwa katika gereza la Viwandani . Jaguar alipokuwa akitoa magodoro kwa wafungwa wa gereza hilo amesema  Magodoro hayo pia yatamnufaisha mwenzake Babu ,ambaye yuko katika  gereza hilo hadi jumatatu wiki ijayo.

HELL:Wakili wa Miguna Miguna asema mteja wake anapitia mateso Ulaya

” Leo nimetoa  magodoro 2000 kwa wfaungwa wa  gereza la  Industrial Area .Naamini wafungwa  wanastahili kuwa katika mazingira mazuri wakingoja uamuzi wa kesi zao.Mwenzangu Babu Owino pia ni miongoni mwa watakaonufaoika na magodoro haya ya ubora wa juu’ aliandika katika ukurasa wake wa facebook.

Kenya Ina Mambo! Video ya Jamaa mmoja akipiga punyeto hadharani yawashangaza wanamitandao

Babu ,siku ya jumatu alishtakiwa kwa jaribio la mauaji ya DJ mmoja  Felix Odhambo kwa jina maarufu DJ Evolve katika eneo la burudani la B cLub . Picha ya CCTV katika eneo hilo la burudani inamwonyesha Babu akiitoa bastola yake na kasha kumfyatulia DJ Evolve . Babu amekanusha mashtaka dhidi yake  na amewataka wakenya kungoja kusikia kisa chake kuhusu kilichotokea siku hiyo .” Nawahimiza wakenya kuwa watulivu na kungoja kusikiza upande wangu wa kisa hicho  nikapotoka katika makao yangu ya sasa ya gereza la viwandani’ aliandika katika twitter .

Mbunge wa Embakasi mashariki Babu Owino kufikishwa mahakani kesho

Mbunge wa Embakasi Mashariki Babu Owino atafikishwa mahakamani kesho kukabiliwa na mashtaka ya jaribio la mauaji na kutumia vibaya silaha.
Wakati huo huo DJ Evolve anayedaiwa kupigwa risasi na mbunge huyo amefanyiwa upasuaji wa kuondoa risasi iliyokua shingoni mwake.
Mkusanyiko wa habari,
Ajuza wa miaka 86 amepatikana akiwa amebakwa na kuuawa nyumbani kwake huko Embu. Chifu wa Mbeti Kaskazini Jacob Kamongo anasema mwanamke huyo alikua akiishi peke yake na mwili wake ulipatikana na majirani walioanza kumtafuta baada ya kutomwona kwa wiki moja.
Kutoza ushuru mkate, unga wa ngano na mahindi katika juhudi za kukabiliana na upungufu wa bajeti na mikopo ya serikali, sio suluhu na litawaumiza wateja. Mwanauchumi Charles Karisa anasema ingawaje IMF imekua ikisukuma hilo, hii itasababisha mfumko wa bei na haitasuluhisha suala la mikopo.
Polisi huko Mlolongo waliwakamata wanawake watatu wanaodaiwa kuhusika na ulanguzi wa watoto, ijumaa usiku. Naibu kamishna wa eneo hilo Dennis Ongaga anasema wamekua wakiwafuatilia wanawake hao kwa siku kadha. Washukiwa hao watafikishwa mahakamani kesho.
Viongozi wanaomuunga mkono naibu wa rais William Ruto walivurugana na polisi jana walipojaribu kuandaa mkutano katika uwanja wa Nabongo huko Mumias. Patashika lilizuka wakati viongozi hao walipojaribu kuingia kwa nguvu uwanjani humo.
Watu wawili walifariki jana katika ajali kwenye barabara ya Kangundo-Kathiani. Ajali hio ilitokea wakati lori moja lilipogongana ana kwa ana na pikipiki na kuwauwa dereva na abiria wake.

Ukanda unaomuonyesha Babu akimpiga DJ Evolve risasi waweza kutumika mahakamani

Ukanda wa CCTV unaomuonyesha mbunge Babu Owino akimpiga risasi mcheza mziki au DJ katika klabu moja huko Kilimani unaweza kutumika kama ushahidi wa kielektroniki, mahakamani.

Wakili Boniface Oduor hata hivyo anasema ni lazima klabu hio ipate cheti cha ushahidi wa kielektroniki ili ukanda huo uweze kukubalika.

Owino alilala kizuizini katika kituo cha polisi cha Kilimani kuhusiana na kisa hicho cha hapo jana. Mkuu wa polisi wa Kilimani Lucas Ogara anasema bunduki iliyotumiwa imenaswa huku uchunguzi ukiendelea.

Hayo yakijiri, wasanii sasa wataweza kufuatilia iwapo kazi zao zimepeperushwa kwenye runinga au redioni, kwa minajili ya kuhakikisha wanalipwa pesa zifaazo. Mwenyekiti wa shirika la kutetea haki zao Ephantus Kamau anasema wanaweka mfumo wa kiteknolojia wa kuweza kufuatilia hilo.

Kwinginkeo, mashambulizi ya mara kwa mara na majangili huko Kapedo yameilazimu serikali kutumia kima cha shilingi milioni 24 kujenga kuta katika shule mbali mbali zinazoathirika kutokana na mashambulizi hayo ili kuwapa mazingira  yaliyo salama ya kuendeleza masomo. Eneo hilo la Kapedo linakabiliwa na wizi wa mifugo na migogoro baina ya jamii za Pokot na turkana.

Katika taarifa za tanzia, Jaji mstaafu Daniel Aganyanya amefariki dunia. Inaarifiwa kuwa alifariki jana jioni katika hospitali mjini Kisumu ambapo alikua amepelekwa baada ya kupatwa na matatizo ya kupumua, akiwa nyumbani kwake huko Hamisi, kaunti ya Busia.

Aganyanya ni mumewe jaji Roselyn Nambuye.