‘Walikuwa wa kushangaza,’ Size 8 awasifu Bien na Bensoul kwa kufanya haya

Msanii wa nyimbo za injili Size 8 alitoa albamu yake mpya ili kusherehekea miaka saba ya wokovu. Akiwa kwenye mahojiano alisema kibao chake cha kwanza katika albamu hiyo cha ‘yahweh’ ni cha kushukuru.

Kibao hicho kilikuwa kimeandikwa na wsanii wa bendi ya sauti sol, Bien na Bensoul.

“Albamu yangu ya neema ina vibao saba vya kusherehekea miaka saba tangu niokoke, hii ni kumshukuru Mungu kwa yote ambayo amenitendea katika safari yangu ya wokovu.”Alieleza Size 8.

SIZE8

Msanii huyo alisea kuwa Bien na Bensoul walikuwa wa kushangaza walipokuwa wakiandika kibao hicho;

“AS A RESULT OF ALL GOD HAS DONE FOR ME THIS FAR. OUT OF GRATITUDE TOWARDS HIS DOING IN MY LIFE, WE WENT OUT TOGETHER [AND] DID AN ALBUM TITLED NEEMA TU

THE MAIN MESSAGE IS TO APPRECIATE GOD FOR THE JOURNEY SINCE I WAS YOUNG. THE SONG WAS WRITTEN BY BIEN AND BENSOUL AND THEY WERE JUST TOO AMAZING.” Alizungumza.

Size 8 alisema kuwa kibao hicho kiko karibu na moyo wake na huwa anakiskiza kila wakati.

“I CRY EVERY TIME I LISTEN TO IT. GOD HAS BROUGHT ME FROM FAR. THERE ARE SO MANY THINGS HE HAS DONE YET I’M NOT THE BEST

MY BABIES ARE BOTH MIRACLES. ENDORSEMENTS JUST KEEP FOLLOWING ME. I LOVE MY GOD SO MUCH

the star
the star

I WAS SICK TO THE EXTENT I COULD NOT COME OUT OF BED BUT GOD STILL SAVED ME.”

Kibao Yahweh kimepokelewa vyema na mashabiki na kinaenea sana kwenye mitandao ya kijamii ya youtube.

‘Sitaki ufala, comments za kijinga,’Bien azungumzia ni kwa nini hajawahi kuposti picha za harusi

Msanii wa bendi ya Sauti sol Bien alieleza kwa nini hakuweza kuposti picha za harusi yake na Chikki kwenye mitandao ya kijamii kwa sababu hakutaka hisia au maoni yasiyostahili.

Wawili hao walifunga harusi yao ya kibinafsi na kuhudhuriwa na baadhi ya marafiki zake na wala si wote.

Akiwa kwenye mahojiano na radio jambo alikuwa na haya ya kusema;

BIEN-AND-CHIKI-1-e1500366017295-696x430

         “HARUSI YANGU HAIKUA HARUSI YA KAWAIDA, NILIENDA KWA AG NA NIKA-INVITE MARAFIKI WANGU WA KARIBU. HIO VIBE ILIKUA HAPO HIYO SIKU ILIKUWA THE HAPPIEST DAY OF MY LIFE. SIJAPATA KUFEEL HIVYO SIKU NYINGINE MAHALI POPOTE PENGINE NA NIKIPIGA PICHA NIEKE MTANDAONI MTU ANAYEANGALIA HIYO PICHA HAELEWI MBONA WATU WAMEVAA VILE WAMEVAA

HAELEWI MBONA BIEN HAJAVAA SUTI. NA SITAKI KUPATIA WATU WAJINGA NAFASI YA KUPEANA MAONI YAO KUHUSU HARUSI YANGU. NITAJIWEKEA, NDIO MSINIHARIBIE HIYO SIKU NA COMMENTS ZA KIJINGA. SITAKI UFALA, VITU ZANGU NI VITU ZANGU.”Alizungumza Bien.

Bien alisema kuwa ana hasira za karibu na hakutaka kuwajibisha wakosoaji wake;

“MIMI NI MTU NACATCH FEELINGS HARAKA SANA, NITAJIPATA NATUKANA WATU MARA MTU AMETUKANA MIGUU YA BIBI YANGU MARA AMETUKANA ILE SUTI NILIKUA NIMEVAA.”

Bien alisema kuwa hakuna mtu yeyote atakayeona picha hizo;

“WASAHAU, HAKUNA PICHA WATAONA.”

Vitu ambavyo dada yako anafanya ni za ushetani,’ Nduguye Size 8 akumbuka wakati dada yake alikuwa anaimba nyimbo za kidunia

Mkewe DJ Mo Linet Munyali almaarufu Size 8huwafurahusha wengi kwa safari yake ya usanii tangu alipokuwa anaimba nyimbo za kidunia hadi alipobadili mwenendo wake na kuanza nyimbo za injili.

Size 8 alijuwa anakipaji cha kuimba alipokuwa na miaka,9. Msanii huyo aliinyimba nyimbo kadhaa akiwashirikisha wasanii wa humu nchini, huku kibao chake cha ‘vidonge.’ kikifanya afahamike kwa sana.

Nilisikitika sana wakati Size 8 aliniambia anaokoka-Bien Azungumza

Msanii Bien akiwa kwenye mahojiano alisema walijuana na Size 8 wakiwa shule ya upili.

“SAA ZILE SHOW IMEFIKA CLIMAX LINET ALIKUWA ANAINGIANGA STAGE AMEVAA STYLE FULANI HIVI… ANATURN ANATWERK WASEE WANAMUANGALIA TUU.” Alizungumza.

Size-8-before-and-after-saved-696x418

Dada yake akizungumzia safari ya Size 8 ya nyimbo za dunia alikuwa na haya ya kusema,

“Sikujihisi vyema nilipokuwa nimuangalia kwenye runinga akiwa amevalia mavazi ya nusu uchi kwa maana familia yetu tumeokoka na tunapaswa kuishi kulingana na neno la Mungu

Nilikuwa nafurahi sana alipokuwa anatoka nyumbani na kisha kurudi sikujali chochote watu walichokuwa wananzungumza.” Alieleza.

Siezi mind third born,’Size 8 afichua anahitaji mtoto mwingine licha ya DJ Mo kumuonya

Kulinganana ndugu yake msanii huyo kukua akimjua dada yake ni jambo moja nzuri sana;

size 8
size 8

“GROWING UP WITH SIZE 8 WAS VERY INTERESTING.”

Hakukimya bali aliendelea kuzunguma;

“Sijawahi muona dada yangu akiimba, kwangu mimi ni mtu wa church siku moja jamaa mmoja aliniambia kuwa mambo ambayo dada yangu anafanya ni kishetani.” Alieleza.

Sasa msanii huyo ana mume mmoja na watoto wawili, alisema kuwa alikuwa anafanya kile awezalo kuwafurahisha mashabiki wake;

“NILIKUWA NAONA SISHAKE VIZURI I NEED TO SHAKE MORE. I USED TO KEEP TABS ON BEYONCE JUST TO BE LIKE HER.” Alizungumza Size 8.

 

Acheni kuchukua mikopo ili kufanya harusi kubwa-Bien awashauri Wakenya

Msanii  wa kundi la Sauti Sol Bien Aime Baraza  amewashauri  wakenya kukoma kuchukua  mikopo ili kufanya harusi kubwa na baadaye kujiweka katika madeni makubwa .

Bien alifunga ndoa ijumaa iliyopita na mpenzi wake Chiki Onwukwe katika hafla ya waalikwa pekee ambayo imedaiwa kugharimu kiasia kisichozidi shilingi laki tatu .

 

‘Msiniliake katika harusi zenu’-Bien wa Sauti sol awaambia rafiki zake waliokosa  kualikwa

Bien

Wazazi wa pande zote mbili walipata fusa ya kujuana zaidi kama vile baba wa Bien na babake Chiki.

“Tulikuwa na wakati mwema kati ya familia hizi mbili,baba yangu alipata fursa ya kujuana na baba yake Chiki, kwa sasa wanajuana zaidi.” Bien Alisema.

Ushauri wake kwa wanaopanga harusi na ndoa, alisema wapamge kulingana na uwezo wa mfuko wao.

“Tafadhali usifanye harusi ili kuwapendeza wazazi wako, fanya harusi kulingana na kiwango cha mfuko wako, hurusi ni mwanzo wa maisha yako

Kwa hivyo usitumie pesa zote kupanga harusi, panga harusi ndogo na ambayo unaweza ni afadhali utumie pesa zako nyingi katika fungate yako lakini si kwenye harusi.” Alisema

 

Kutoka kwa Nameless hadi kwa Nyashinski,’Wasanii walioimba katika harusi ya Bien

Msanii wa kundi la Sauti sol Bien alioa mpenzi wa maisha yake Chiki  kwa harusi ambayo ilihudhuriwa na watu zaidi ya mia moja, wawili hao walifunga ndoa kwa njia ya siri.

Hii ni baada ya watu wengi kungoja kwa muda mrefu wawili hao waoane.

HONGERA!! Bien wa Sauti Sol afunga ndoa na mpenzi wake Chiki

Wawili hao walisherehekea ndoa yao kwa kutia saini mkataba wa harusi na kula viapo ijumaa.

 

bien.and.chiki.kuruka

“We will not have a white wedding because a white wedding was introduced by the white, and I am not going to follow that since its like colonisation. I will, therefore, have a traditional wedding.” Bien Alisema.

Baadhi ya wasanii walioimba ama kuwatumbuiza wageni wa Chiki na Bien ni msanii Nameless,Sauti sol,Nazii na pia Nyashinski ambaye aliimba wimbo wake wa Mungu pekee, harusi hiyo ilikuwa ya kuvutia.

Amepatikana! Bien aanikwa kwa ‘kummezea mate’ dadake Kansiime

Hamna mtu yeyote ambaye aliruhusiwa kubeba simu katika sherehe hiyo kwa maana walitaka akili zao ziwe kwenye sherehe na si kuchukua picha na video kupia kwa simu zao.

Bien alimchumbia Chiki mwaka jana katika sherehe ya siri pia,katika mkahawa wa wastegate Nairobi, alilipia mkahawa huo wote ili aweze kumchumbia kipenzi cha roho yake.

bienproposes1

Alihakikisha kuwa sherehe hiyo ilihudhuriwa na marafiki wake wachache.

Amepatikana! Bien aanikwa kwa ‘kummezea mate’ dadake Kansiime

Mwanamziki bomba Bien wa bendi ya Suti Sol amelazimishwa kujitetea baada ya kupatikana ‘akimnyemelea’ dadake mcheshi Kansime.

bien

Kansime ambaye ni msheshi anayejulikana na kutamba sana duniani aliweka picha yake na wazazi wake kwenye mtandao wa kijamii kwa mara ya kwanza na walipendeza sana si kidogo.

Jamaa ambaye aliyepita na shemeji yake alalamika kuchezwa pia 

Bien aliandika ujumbe kwenye picha ya Kansiime na kuuliza kama dadake Kansiime hana mpenzi.

Baada ya ujumbe huu, mashabiki walishikwa na mshangao sana na kumuuliza Bien kama anataka kupata mke mwingine pasi na kuwa na kidosho Chiki kama mpenzi wake aliyemchumbia.

Hizi ndizo orodha za mashabiki kwenye mtandao wa kijamii .

dope_kicks @bienaimesol you want a second wife bro🤔

 andeka.ivy @bienaimesol you better be asking for a friend 🤣🤣🤣

ninsiimababrah @chikikuruka come en see ur man😂😂😂

ishassam @bienaimesol why are you running! Ask with confidence, be bold

Itakuaje? Idah Odinga na Lwam Bekele wapewa wiki mbili kusuluhisha kesi

Mwanamziki huyu naye alijibu na kusema kuwa hakuwa anauliza swali lile ili ajifaidi yeye bali alikuwa anamuulizia rafiki.

@ANDEKA.IVY EXACTLY!!!! I’M ASKING FOR A FRIEND.

Shinikizo la kuoa linatokana na wazazi wangu, asema Bien

“Wazazi wangu wamekuwa wakinishinikiza sana kufunga ndoa,” Bien alisema.
Anasema wazazi wake wamekuwa wakiunga mkono kazi yake ya muziki.
Sisi ni 10 katika familia yetu na kila mtu amechagua njia tofauti, mandugu zangu wana kazi tofauti na wanafurahia kazi zao.

Bien alisema kuwa muziki umemlipia ada yake ya shule na hata kuwahamasisha wazazi wake.

Wiki tatu zilizopita, Bein aliweka picha yake na baba yake kwenye mtandao wa Instagram na kusema kuwa baba yake hakuwa na chaguo ila tu kumuunga mkono.
Bien aliendelea na kusema kuwa baba yake amekwisha kubali kuwa sitapata kazi halisi.

Watu mashuhuri kama vile Nameless walijibu kwa kusema anaonekana kushindwa juu ya utambuzi huo.

Bien’s fiancée Chiki shares deep love message after saying yes to the Sauti Sol singer

2019 has been nothing short of many love stories.

From weddings, to new relationships involving celebrities and now we have engagement news!

On Wednesday evening, Sauti Sol’s lead singer, Bien went down on one knee and proposed to the love of his life, Chiki Kuruka.

In previous interviews, Bien has always faced questions about when he will finally walk down the isle with the fitness guru.

He always answered cheekily saying, this year I will shock you guys. big things are coming.

Sauti sol wameona hii?: Read ‘Tujiangalie’ lyrics, Man United edition

Little did we know that the big day was Wednesday!

 

Clearly, this is step one to their big day.

Every woman dreams of a wow kind of proposal and Bien did no kill the dreams of Chiki Kuruka. He hired a whole cinema for the big moment and before their family and close friends, he went down on one knee dressed in black official attire.

From the picture doing rounds, you can tell Chiki was so surprised and the ambiance was just right for the big yes.

‘You are my porn star,’ Chiki pens heartwarming message to Sauti Sol’s Bien

A few hours later Chiki took to social media to let her followers sink in the successful end of her day. She said:

I was not expecting this at all! Hiring out a cinema, all my family and friends involved. Thank you, thank you, thank you. Easiest yes I’ve ever said. To my homie, my nigha, my best friend and shit my FIANCÉ, I love you.

Sauti Sol’s pro guitarist was the first one to announce the good news and Kenyans have clearly been waiting for this big moment.

And the week keeps getting better and better!!! ❤️❤️ congratulations to @bienaimesol and @chikikuruka!!!

Of course, we wish them nothing but the best in this new chapter of their life.

Congratulations Bien and Chiki.

 

 

Look no more: Here are the most eligible bachelors in Africa in 2018

They have either joined the world as single men, or are yet to hook up. Girls, check out this list and tell us who you would consider to date or even marry.

1. Larry Madowo

BBC reporter Larry Madowo has broken many hearts for his silence on the issue of marriage. He has managed to keep his relationships and love life  private thus it is not clear if he is dating.

So ladies the next time you go to pray, just ask God to touch Larry so that he might consider you to be his happily ever after.

Alikiba praises Kenya’s county 001 in new hit ‘Kadogo’ and a Mombasa babe

larry madowo suit 1

Former NTV anchor Laban Cliff ties the knot

2. Bien

Just recently Polycarp who is a member of Sauti Sol tied the knot with his long time girlfriend and women have shifted their focus to the tall, dark and handsome Bien.

Bien has the body to die for, a voice that can toa nyoka pangoni and the financial stability to endure that he entertains his woman.

Despite being in a relationship, women are still hopeful that he might change his might and they might hit the jackpot with him

IMG_3043(1)

3. Chibu Dangote

I know what you are thinking, that ooh but I thought he is married, mara ooh si he has kids; so what?

Having kids with different baby mama’s does not eliminate him from the eligible bachelors list.

Despite the fact that he recently got engaged bado hawajaoana so to team mafisilets bado kuna chance.

33039999_216668875800825_1889868034957377536_n

4.  Sean Andrew

Grandson to former President Mwai Kibaki, Sean is among the most eligible bachelors not only in Africa but also in Kenya.

31236156_333477553842802_3584886984381825024_n

5. Juma Jux

With his melodious tunes, a body worth being on the cover of magazines, who wouldn’t want such a man for a husband.

Its better to get a handsome man and get beautiful babies whom you will happily look at than marry an ‘ugly” guy and end up with the double tragedy of being a single mother to not so appealing kids, after all even ugly guys cheat.

Juma Jux

This is sad: Yemeni mother banned from visiting dying son in United States

6. Harmonize

The ‘Kwangaru’ hit maker is a potential bachelor. To top it all he is still young with a body to die for and with his busy life on the stage, he is yet to walk down the aisle.

35999706_2070744036577375_5065926677389901824_n

7. Savara

He may be in the limelight locally and internationally, but Savara who is a member of Sauti Sol band, has not found the right woman to convince him put a ring on it.

So ladies go ahead and try your luck.

18644803_1075877629178688_5457294658726002688_n

Read more