Huenda utalipa zaidi kwa safari yako ya bodaboda

Huenda ukalazimika kulipa zaidi kwa safari yako ya boda-boda iwapo wabunge watayakubali mapendekezo ya waziri wa fedha Henry Rotich kwamba ni lazima wawe na bima ya wateja wao.

Nanyuki bodaboda operators take coffin of dead colleague to protest

Anasema hii ni muhimu katika kuthibiti ajali zinazosababishwa na vyombo vya usafiri. Mbunge wa Alego Usonga Sam Atandi hata hivyo ameapa kulipinga pendekezo hilo.

Kwingineko, maafisa wa serikali sasa hawatapokea marupurupu wakiwa katika shughuli za kikazi humu nchini na nje ya nchi. Waziri wa fedha Henry Rotich jana alisema kua kama mojawapo ya mikakati ya serikali ya kupunguza matumizi ya serikali, kutakua na mfumo wa kadi ya kielektroniki ili kupunguza ubadhurufi wa fedha za umma.

Bodaboda rider in Bomet found dead at a tea plantation

Bado katika maswala ya bajeti, serikali inapanga kutumia shilingi bilioni 326 kwa usalama wa taifa katika bajeti ya mwaka 2019/2020. Rotich anasema usalama wa taifa ni nguzo muhimu ya uthabiti wa kiuchumi na huchangia pakubwa kuvutia wawekezaji.

Wahudumu wa bodaboda watishia kuteketeza magari aina ya probox, Busia

PATANISHO: Mimi PA Wa Mheshimiwa nanyang’anywa aje mke na mtu wa bodaboda?

Bwana Dino alituma ujumbe akidai kuwa kuna jamaa wa bodaboda ambaye anamharibia ndoa yake ya miaka saba.

PATANISHO: Nilikuwa na mpango wa kando lakini tukasameheana na mke wangu

“My brother nimeishi na mke wangu kwa miaka saba na sijawahi mguza hata kofi. Kuna siku kulikuwa na mambo ya mazishi kwao na nikamruhusu aende. From there kuna jamaa wa bodaboda ambaye alikuwa anambeba wanaenda town kufanya maneno yao.” Alieleza Dino.

Sasa baada ya kutizama fainali ya Ufaransa nikampata huyo jamaa nikamweleza nataka tuzungumze maneno kadha wa kadha afisini mwangu.

PATANISHO: Una bibi na watoto mbona unanitafuta?

Sasa nikapata amemtumia mke wangu ujumbe akiuliza afanye nini atakapokutana nami, hapo mke wangu akamweleza aruke futi mia moja, kuuliza mke wangu alikubali alikuwa na uhusiano na huyo jamaa. ” Aliongeza huku akiwa na wingi wa hasira.

Kilichomkasirisha Dino ambaye pamoja na mkewe wamejaliwa watoto wawili, ni kuwa yeye kama mwalimu na msaidizi wa mheshimiwa ana pokonywa mke.

Pata uhondo kamili.

Bodaboda Operator Who Rode From Kerugoya To Naivasha To Visit Girlfriend Crashed To Death

A motorcycle operator who rode from Kerugoya to Naivasha to visit his girlfriend was on Sunday night crashed by a speeding trailer along the Naivasha-Mai Mahiu road.

The 30-year-old died on the spot while the trailer sped off from the scene as cases of fatal road accidents involving the operators continue to rise.

Three weeks ago, three operators were hit and killed by motorists along the Nairobi-Nakuru highway in three different cases.

In the latest incident, the operator had driven from Kerugoya over 200kms when the accident occurred near Maili Mbili center along the busy road.

A driver of a matatu Abel Mwaura said that the operator had been overtaking a fleet of vehicles before he was hit by the trailer.

“The driver of the trailer did not realize that he had hit the operator and sped off leaving the man to bleed to death,” he said.

Meanwhile, a group of passengers heading to Nairobi from Nakuru were on Sunday subjected to a three hour horror ordeal after a group of thugs carjacked a Nissan matatu there were travelling in.

The thugs who were allegedly armed with a gun and other crude weapons robbed the passengers before dumping them in the suburbs of Naivasha town.

The four thugs who had boarded the matatu in Nakuru town later fled the scene before the shaken passengers reported the matter to Naivasha police station.

The incident came barely a fortnight after another group of thugs carjacked another matatu near Kinale forest on the same highway and robbed the passengers.

A passenger only identified as Ibrahim narrated how one of the thugs called on the driver to allow him to take a call of nature before turning against him.

He said that the driver was ordered out of his seat and the vehicle was driven off the highway where they were beaten and robbed during the 11pm incident.

“The thugs even had the guts to transfer all the cash in our Mpesa to their phones before escaping with all our personal effects and cash,” he said.

Naivasha OCPD Samuel Waweru confirmed the two incidents adding that in the carjacking cases no suspects had been arrested.

“We are following up the carjacking case while in the accident case the body was collected and taken to Naivasha sub-county hospital mortuary,” he said.

-Anthony Gitonga

Mshukiwa Wa Wizi Achomwa Bondo

Wingu la simanzi limetanda katika kijiji cha Aber eneo la Bondo baada ya wachukuzi wa boda boda kumuua mwanaume mmoja kwa jina Michael Juma.

Kulingana na baadhi ya wanafamilia, wachukuzi hao wa walivamia nyumba ya Juma majira ya saa tano usiku na kumdunga kisu tumboni kabla ya kumchoma.

Inadaiwa kuwa wachukuzi hao wa  waligadhabishwa na Juma baada ya kutajwa miongini mwa wale waliotekeleza mauji ya jirani yake baada ya kutoweka na mke wa mjombake.

Akithibitisha kisa hicho chifu wa eneo hilo Patrick Obilo alielezea kuwa marehemu alidungwa na kisu tumboni mara kadhaa kabla ya kuchomwa na mwili wake kutupwa katika mlango wa mamake ukichomeka.

-Lameck Baro

EMBU: Man Hospitalised After Boda boda Riders Crush His Genitals Over Rape Claim

A man had his genitals burned by irate Embu boda boda riders who accused him of being part of a gang that had attempted to rape a woman on Sunday night.

Dennis Mugambi, 22, was also beaten with all manner of crude weapons before police came to his rescue during the Monday incident.

Witnesses said the victim of the attack was reportedly spotted after the woman in question sounded an alarm over the attempted rape incident.

The group allegedly cornered the woman at a dark street behind Highway Court Hotel at around 8 pm and tried to gang rape her.

The witnesses said the gang escaped into the darkness after the woman screamed alerting scores of bodaboda operators.

The woman positively identified the attacker before the mob descended on him, undressed and tied him with a rope.

The riders told Mugambi that since the organs were the ones which he wanted to use to hurt the woman, they will maim them.

Police rescued took him to Embu Level Five teaching and referral hospital where he is nursing the injuries.

Embu West police boss Francis Sang warned boda boda riders against taking the law into their hands.

He warned that some of those who participated in assaulting the man might be arrested and prosecuted if positively identified.

“Suspects should be handed over to the police for prosecution,” Sang said.

The incident follows in the wake of that of Kisumu where some 28 iron sheet homes were razed in Kaloleni estate on Sunday.

This followed a fight between residents and boda boda operators.

-The Star

Gilgil Students Dropping Out To Join Boda boda Business

The provincial administration has expressed its concern over the high number of students who are dropping out of school in Gilgil to join the boda boda trade.

PATANISHO: Kazi Ya Bodaboda Hunipa Majaribu Ya Mipango Ya Kando

According to Gilgil assistant sub-county commissioner Patricia Kago, the most affected area was Twendane center, where the number of the operators was on the rise.

She noted that due to their age, majority of the youths did not have driving licenses thus exposing themselves and their passengers to great danger.

We are deeply concerned by the high number of students who are dropping from school to work as boda boda operators and this is illegal,” she said.

Speaking in Gilgil town, Kago gave an example of Twendane primary school where only four boys had registered to seat for KCPE exams this year with others dropping from school.

Wanabodaboda Kupewa Wito Wa Kutowabeba Abiria Wasio Na Kura

We have also noticed an increased in cases of under-age marriages and there is urgent need to address this by counseling the students,” she said.

-The Star|Anthony Gitonga

 

PATANISHO: Kazi Ya Bodaboda Hunipa Majaribu Ya Mipango Ya Kando

Philemon kutoka Webuye alituma ujumbe akiomba apatanishwe na mkewe Irene.

Kulingana na Philemon mkewe aliondoka tarehe 15/7/2016 baada yake kumpa pesa za kuhudhuria matanga na aliporudi kutoka kazini, mkewe hakuwa. Isitoshe alipompigia simu alisikia yuko Nakuru na tangia siku hiyo hajawahi rudi.

“Kila siku nikifuatilia husema atarudi lakini hadi wa leo hajawahi rudi. Watu walimueleza kuwa nina mipango ya kando. Ni ukweli nina mipango ya kando lakini huwa nazungumza na watu wengi katika biashara yangu ya bodaboda lakini sasa hivi nimewacha.” Alieleza Philemon ambaye pamoja na mkewe wamekuwa pamoja kwa mda wa miaka minne, huku wakijaliwa watoto wawili.
“Mwaka uliopita mwezi wa kumi na moja nilimtumia fedha za usafiri lakini hakuja na hapo akasema kuwa nisimtumie fedha kwani atajileta mwenyewe akipata nauli na tangia siku hiyo hajawahi kuja.” Aliongeza huku akifichua mbinu zenye wana bodaboda hutumia kupata wanadada pia na majaribu wanayokumbana nayo.

Pata uhondo kamili.

 

WOLOLO! Boda Boda Rider’s Ear Bitten Off By Client Over Sh250 Fare

A boda boda operator’s ear was bitten off by a client who refused to pay Sh100 fare in Lumama village, Lugari.

Kamalila Achwanya on Monday said the client hired him on Sunday to take him to Lumakanda to visit his lover. They agreed on Sh250 fare.

“When we came back, he refused to honour the agreement, instead giving Sh150. We started arguing. He grabbed me. In the struggle he bit off my left ear before taking off,” Achwanya said.

Mhudumu Wa Bodaboda Amrejesha Mke Wa Mwenzake Aliyemnunua Shilingi 500

He was rushed to Lumakanda Hospital and transferred to Webuye Hospital. Achwanya said the man may have swallowed his ear or gone away with it as it was not found at the scene.

The attacker, only identified as Andrew, was later seized by villagers and beaten senseless. He is in critical condition at the MTRH, Eldoret. Residents said he has a habit of biting people’s ears and disappearing from the village.

PATANISHO: Jamaa Ana Wanawake Wengi Hutumia Logarithms Kuwahesabu

Bodaboda Operations Banned In Eldoret Town After 11pm Due To Insecurity

Boda boda operators will not be allowed to operate in Eldoret town after 11 pm due to increased insecurity in the region.

Uasin Gishu County Commissioner Abdi Hassan says security teams have been deployed to intensify patrols over the Christmas season and bodaboda operators defying the ban will be arrested.

Hassan said gambling has also been banned in the town and police have been ordered to seize all gambling machines in the region.

Boda boda operators demo in Eldoret over bad roads, security

Boda boda operators blocked sections of roads in Eldoret for the second day Friday afternoon to protest over the poor state of the roads and insecurity in parts of the town.

The operators blocked the Old Nairobi road among others in Elgon View area which they said were impassable especially during the ongoing heavy rains.

Chairman of residents of the area led by Dr Boniface Ganda said the bad roads were causing insecurity with frequent thuggery in the area.