Mayoo! Yaani Burale uliamua kutalakiana na huyu mrembo?Tazama jinsi mke wa zamani wa Burale alivyobarikiwa urembo

Mchungaji na kwa wakati mmoja mtoaji nasaha kwa jina Robert Burale wakati mmoja alijipata pabaya baada ya mkewe wa kitambo Rozinah Mwakideu kufichuwa yale yote yanayomhusu.

Katika mahojiano na kituo kimoja cha humu nchini ,Rozinaha afichukuwa kuwa wakati mmoja angepata simu kutoka kwa maafisa wa polisi wakisema mumewe [wakati huo] Burale yupo na madeni ambayo hakuwa hajalipa na kutokuwa mwaminifu kwa ndoa yao.

Tuyaweke hayo kando,Rozinah Mwakideu amebarikiwa sura ya dhahabu ,sura ya dola ,sura ya pesa ,sura ya kutoa nyoka pangoni na mengine mengi msomaji.Hapa ni baadhi ya picha zinazodhihirisha urembo wa msanii huyo.

Rozinah MwakideuRozinah MwakideuRozinah MwakideuRozinah MwakideuRozinah Mwakideu

91421497_311269203178392_1250260655035040064_n

91847035_688897921654370_7647289206833941373_n

Kwa sasa Rozinah aliingilia sanaa ya muziki wa injili baada ya kutalakiana na Burale

Kuwa na sponser ni sawa na kuwa kahaba-Asema Burale

Katika dunia ya leo vijana wengi hasa wakike wana tabia ya kutafuta matajiri wenye umri wa juu kuwaliko maarufu kama ‘sponsers’ sababu kuu ikiwa kupata hela za kugharamia maisha yao bila kutoa jasho.

 

Mshauri wa masuala ya kijamii Robert Burale anasema kwamba kuwa na uhusiano wa kimapenzi na sponsor ili akupe fedha za kufadhili mahitaji yako kimaisha ni sawa na kuwa kahaba.

 

Sana sana wao hupatana kwa mitandao ya kijamii, huku wanawake wakiwinda wanaume rika za baba na wakati mwingine babu zao kwa lengo la kupata fedha huku wao nao wakinadi ngono.

 

81275383_797425937419972_223477929415517819_n
Burale

Sababu ni nini? Wanawachumbia tu ili wawe na pesa na waishi maisha ya kupendeza.

Kupitia kipindi cha runinga ya Switch wanawake wengi walifichua na kukiri sababu za kuwachumbia wanaume ambao wana umri kama wa baba zao huku wanaume hao wakifahamika kama sponsors.

Mmoja wa wanawake alikiri kuwa alipatana na ‘mr right’ katika mtandao wa kijamii wa instagram na anampenda kwa maana anamsaidia kuishi maisha ya kifahari.

Ina maana wanawake hawa hawaogopi ugonjwa au laana?

Haya hapa maelezo yake.

“FOR US YOUNG PEOPLE WE ARE NOT LOOKING FOR A HAPPILY EVER AFTER. MOST OF US ARE LOOKING FOR STABILITY.  I PREFER DATING OLDER MEN THAN ME. I FIND GUYS MY AGE VERY CHILDISH.

I MET HIM ON INSTAGRAM AND WE HAVE BEEN TOGETHER FOR SIX MONTHS AND SO FAR SO GOOD.” Alisema.

Wengi wanaishi maisha ya leo ni kama hamna maisha ya kesho, mwingine alifunguka na kusema anaweza patana na mwanaume ambaye ana umri zaidi na kumtumia tu kwa ajili ya kupata pesa na si upendo.

Alijitetea na kusema,

“TO GET MY HAIR AND NAILS DONE, YOU CANNOT TELL YOUR PARENTS THAT YOU WANT TO CHANGE YOUR HAIRSTYLE EVERYDAY. ITS ALL ABOUT BUILDING A BRAND AND WHAT BETTER WAY TO ACHIEVE THIS THAN TO LOOK FOR A SPONSOR?” Aliongea.

Burale hakukimya mbali alikuwa na haya ya kusema.

83186676_109467037299540_8720015667420929792_n
Burale

“WHAT IS THE NEED OF HAVING A LONG TERM PLAN WHILE PUTTING YOUR HEALTH AT RISK THAT YOU MAY NOT BE ALIVE LONG ENOUGH TO ACTUALIZE YOUR PLAN?

FOR THE LADY WHO SAID YOU ARE JUST USING THE MEN,WOULD YOU GO TO KOINANGE AND SELL YOUR BODY?” Burale Aliuliza.

Aliendelea na kuwaambia kuwa kuchumbia mwanaume ambaye ana umri zaidi ili kuboresha maisha yake ni ukahaba huo.

“THAT IS EXACTLY WHAT YOU ARE DOING IN AN EDUCATED MANNER. THE LADIES WHO ARE IN KOINANGE ALSO USE MEN TO GET MONEY FOR THE SAME THINGS AS YOU ARE DOING.” Aliongea.

Nilikuwa naenda klabu kuskiza mziki tu; Asema mchungaji Burale

Mhubiri Robert Burale amejitokeza hadharani na kusema kuwa licha ya kuwa alipenda sana kwenda kujivinjari kwenye vilabu vya usiku, hakuwahi kunywa pombe maishani mwake kama inavyodhaniwa.

Burale anasema kuwa yeye ni mpenzi wa muziki aina ya Lingala na kila wakati aliskia hapo ngoma yoyote yeye angejirusha ugani kusakata densi.”Niliacha kwenda vilabu mwaka wa 2008 na hata kabla ya hapo sikuwa nimewahi kulewa mbeleni. Nilikuwa naenda kusikiliza muziki kabla ya Mungu kuniokoa.”

Wachezaji waliopatikana na hatia ya ubakaji kuzuiliwa kwa wiki moja zaidi

Burale anasema kuwa angetembelea vilabu mara kwa mara kwa ajili ya kufurahisha macho yake hasa kwenye vilabu vya wanawake (strippers).
Hata hivyo, Burale ameamua kuwapa wanaume wengine ushauri mdogo huku akiwaambia wafanye mambo ya maana badala ya kwenda vilabu kama hivyo.

“Fikiria ukisakata mziki na mtu wa rika ya babako ukienda kushoto, kitambi chake kinakufuata. Kama wewe ni mwanaume wa aina hio basi badilisha tabia zako na ufanye jambo la maana.

Waweza hata kufanya jambo la maana kama kwenda kutembelea wagonjwa hospitalini.”

SOMA MENGI HAPA