‘Mawe yalinigonga kichwani nikaona giza,’ Vile mumewe Cate Actress alikuwa karibu kufa

Philip Karanja ni mumewe muigizaji Catherine Kamau, almaarufu Cate actress na wamebarikiwa na wawili wawili ni mwelekezi na hata mzalishaji wa vipindi kadhaa.

Akizungumzia chanzo cha kovu lake kwenye kichwa chake katika mitandao ya kijamii ya youtube ya rafiki yake Abel Mutua alikuwa na haya ya kusema.

“IN 2007 WHILE STUDYING AT KIMC KENYAN INSTITUTE OF MASS COMMUNICATION, KENYA POLY THEY STARTED THROWING STONES AT OUR HOSTELS AND THEN KIMC STUDENTS GOT ANGRY AND WENT TO THEIR SCHOOL AND IT BECAME A WAR.”

Philip alikuwa kiongozi wa vita hivyo kabla ya kugongwa na mawe kichwani mwake,

“WE WENT TO THEIR TERRITORY AND I WAS DAVID AND THEY WERE GOLIATH. I AM LEFT HANDED AND BEFORE I COULD THROW A STONE, I WAS HIT ON THE HEAD”

I JUST SAW BLACK. TO DATE, ONE SIDE OF MY FACE HAS NEVER BEEN THE SAME LIKE BEFORE.”

I WAS TAKEN TO THE SCHOOL NURSE FOR FIRST AID BEFORE I GOT TO THE HOSPITAL BUT I CAN’T REMEMBER EVERYTHING.” Philip Alieleza

Selina-696x499

Abel Mutua na Philip ni marafiki wa kutoka chuo kikuu hadi sasa hivi ni marafiki, alisema iwapo ana kovu hilo wakati huo alikuwa na utoto na ujinga mwingi.

Wawili hao kwa sasa wana kipindi cha ‘Anda kava’ Maisha magic.

‘Miaka 13 baadae mungu amenipa malkia mwingine!’ Kate atangaza

Kwa mda sasa, wakenya kwenye mtandao wa kijamii wamekuwa wakidokeza kuwa muigizaji Kate almaarufu, Kate Actress ni mja mzito.

Hata hivyo Kate alijittetea kila mara akisema kuwa tumbo lake lilikuwa limefura, na wengi wakamuamini huku wakidhani ni umbea tu.

Hata hivyo, miezi kadhaa baadaye aliamua kutangaza habari njema huku akifichua kuwa anatarajia mwana mwingine.

Soma kuhusu kisa cha mtoto aliyemuua babake ‘akidhani ni nguruwe’

Miaka 13 baadaye, mrembo huyu aliamua kujaribu uzazi tena. Kate alijaliwa mwana wake wa kwanza akiwa msichana mdogo kimiaka na anafichua kuwa hakujua jinsi jambo hilo lingemuadhiri. Hata hivyo, ana furaha zaidi kuwa mumewe Phil alivumilia naye ikijulikana kuwa mashabiki wao walikuwa wanawaskuma zaidi kupata mtoto pamoja.

Aliandika,

@phil_director Thank you for your patience, I had no idea how much being a teenage mum affected me. You gave me assurance that you would never leave us, you have held my hand all through, spoilt me silly, I am indeed blessed. We thank God, This is such an honor 🙏🏿❤️

PATANISHO: Sijaamka na huyu mwanaume ananiharibia moods

Kate hata hivyo, hakufichua jinsia ya mwanao kwani alimuita tu ‘K’.

The cat or rather the baby is out of the bag 😊! We are over the moon, We really wanted to keep this to ourselves but then again I remembered the many women on my timeline, hopeful moms to be, rainbow mums, career women trying to decide between family and your goals. I feel you, this is for you, Gods time is the best! @phil_director hey daddy ❤️
#BabyK

Muigizaji huyu ana unyenyekevu mkuu kuwa mama kwa mara nyingine tena na amebarikiwa kuwa na mume ambaye humshika mkono kila mara.

I have always been the Helicopter Mom, 13 years later, God has given me another opportunity to raise another angel, I am humbled. I feel blessed, I don’t know how this experience is going to be, but am willing to let go, am no longer the paranoid mom. We are protected 😘🙏🏿❤️

PICHA: Baada ya kutesa Mombasa Massawe asafiri hadi Dubai


Catherine Kamau/ Instagram

Kutoka kila mmoja hapa Radio Jambo, tunawapa wapendwa hawa wawili hongera huku tukiwatakia mema, maishani mwao.

Zifuatazo ni picha walizopiga huku wakikaribia kumkaribisha mwanao:

Huwa nasikia vibaya watu wakiandika mabaya kuhusu bwanangu na mimi

Catherine Kamau almaarufu Kate Actress alisema kuwa ombi la mtoto wake kuja kuishi na yeye katika nyumba yake ndogo ndio ilimfanya atie bidii katika kazi yake.

Hamstahili kupata hewa ya huru jaji wawaambia wauwaji sita

Katika mahojiano mama wa mtindo mpya alisema kuwa mama yake mzazi aliweza kumsaidia sana kwa kumlea mvulana wake, baada ya kutoka kuishi na mama yake.

Catherine Kamau
Catherine Kamau(Cate Actress)

Licha ya kumfukuza nyumbani walipojua kuwa ana ujauzito.

“Mtoto wangu angenipigia simu akiniuliza ama nimehamia nyumba kubwa ili aje kuishi na mimi,

“Nilianza kuishi katika nyumba ndogo (bedsitter), ningehakikisha kuwa nimeenda kumtembelea mtoto wangu nyumbani mwa mamangu, na mwisho mwa wiki na mchukua nakaa na yeye nyumbani kwangu,” Alieleza Kate.

Mtoto wake alidindia kumsisitizia na kumuuliza kwanini nyumba yake ni ndogo, jambo ambalo ilimfanya apate kutia bidii katika kazi yake.

Paul Pogba to miss second leg of Manchester United’s Champions League

“Kwanini siishi na wewe? angeniuliza, ningelia kila siku na ningeambia Mungu aachejambo hilo liwe motisha yangu,” Kate alizungumza.

Cate actress
Cate mume wake Phil na mtoto wao

Cate kwa sasa ameolewa na Phil Karanja ambao walianza kuigiza pamoja katika kipindi cha Mother-in-law kilichokuwa katika runinga ya Citizen.

“Alikuwa mwelekezi wangu katika kipindi hicho na aliweza nisaidia kukuza kazi yangu, nampenda kwa maana ni mtu mwenye uwezo mwingi,” Aliongea Kate.

Emiliano Sala’s body to be flown to Argentina before a wake on Saturday

Alisema kuwa majibu ambayo anapata mabaya ni akiweka picha yake na mume wake Phil, huku akisema kuwa maisha yake yamekuwa safari na mambo amepitia kisha watu kuandika mambo mabaya kumuhusu.

“Huwa nasikia vibaya watu wakiandika mambo mabaya kuhusu mume wangu na mimi, nikijua maisha yangu yamekuwa ni safari isiyo rahisi,

“Na mambo mengine pia ambayo yanahusiana na mtoto wangu huwa nasikia vibaya sana wakiandika mambo ambayo yanahusu familia yangu,” Catherine alizungumza

 

Kate Actress afichua sababu ya kutoka katika kipindi cha Mother-in-law

Catherine Kamau Karanja almaarufu, Kate actress, Celina na Sue aliweza kujulikana katika usanii kwa sababu ya kipindi cha Mother-in-law ambacho uwa kinaonyeshwa katika runinga ya Citizen.

Aliigiza katika kipindi hicho kwa muda wa miaka nane, kisha akatoka.

Alilelewa katika kijiji cha Nyambururu, alipoenda chuo kikuu nchini Uganda alibeba mimba na kisha kufukuzwa na wazazi wake kwa sababu ya mimba hiyo.

Mauaji City Park: Sikuwa na uhusiano wa kimapenzi na shangazi yangu

Baadaye waliweza kumkubali na kisha kumsaidia katika kumlea mtoto wake.

“Niliporudi kutoka Uganda nilikuwa na mimba wazazi wangu walipojua walinifukuza kisha baada ya muda ama baada ya kumaliza kukasirika,

“Walinisaidia katika kumlea mtoto wangu ambaye kwa sasa ako darasa la nane, kwanza mamangu amekuwa akinisaidia kumlea mtoto wangu sana.

“Nilieza kumuacha mtoto wangu nyumbani nikakuja Nairobi kutafuta kazi,wazazi wangu walinikataa kwa sababu waliona ni kama nimewakosea heshima katika jamii,”alieleza Kate.

Waliweza kupatana na mume wake akiwa katika kipindi cha Mother-in-law, ambaye alikuwa mwelekezi katika kipindi hicho.

Ameolewa na Phill Karanja, ambaye alimsifu kwa sana.

Celina
            Muigizaji Kate, mume wake Phill Karanja na mtoto wao

“Mara ya kwanza tulikuwa na marafiki wa karibu aliweza kunielekeza cha kufanya,kisha tukakua na uhusiano wa kimapenzi na tukaoana,ndio maana namuamini na ndoto zangu za maisha,

“Mume wangu tulipoanza uhusiano huo aliniambia nisibadilike kwa maana alinipata nikifanya vituko na uwa ana kubaliana na mimi kwa kila jambo,”Kate alizungumza.

Muigizaji huyo alisema kuwa anapenda kusaidia watu mahali anaweza kwa maana na moyo safi, Kate aliweza kubeba mimba yake akiwa na miaka 19.

2022 polls: Here are two indicators of how a Kabogo presidency would look like

Pia alieleza kuwa alitoka katika kipindi cha Moter-in-law kwa sababu alikuwa anataka kujikuza kwa mabo mengi.

“Niliacha kipindi cha Mother-in-law kwa sababu nilikuwa nataka kukuwa licha ya kukuwa nilikuwa nataka kufanya mambo mengi ambayo yangenisaidia maishani,” Kate alisema.

Aliweza kusema uwa wanaongea na waigizaji wa kipindi hicho kwa sababu hakutoka kwa ubaya wowote.

“Uwa tunaongea na waigizaji wa Mother-in-law kwanza chali ni rafiki yangu sana,”alizungumza Kate.

Amefanya vipindi viwili Mother-in-law na Sue na Johnie. Ni mwenye kipindi cha Sue na Johnie baadaye kupatana na Abel Mutua akaandika kipindi hicho.

“Niliweza kuja na kipindi hicho cha lugha ya mtaani, yaani ‘sheng’, ili watu na vijana wengi wawe huru kufanya vipindi hivyo. Kwa sababu vipindi vingi vimefanywa na kiingereza na kiswahili sanifu na wengi wamelelewa katika mjini,”aliongeza Kate.

Catherine akiwa katika kipindi cha ilikuaje na Massawe Japanni alisema kuwa ameokoka na anampenda mungu licha ya uigizaji wake.

Katika picha ambayo aliweka katika mtandao wa kijamii kuhusu DK Kwenye Beat hakuwasaidia baada ya kusikia sauti ambazo zilitamba za DK wakiomba msamaha.

‘Hakuna vile unaweza omba msamaha na kisha ikue ilikuwa mzaa ulikuwa unafanya ‘I can’t support that nonsense,’ siwezi kuunga mkono tabia kama hiyo,”aliongezea Kate.