Acheni kuchukua mikopo ili kufanya harusi kubwa-Bien awashauri Wakenya

Msanii  wa kundi la Sauti Sol Bien Aime Baraza  amewashauri  wakenya kukoma kuchukua  mikopo ili kufanya harusi kubwa na baadaye kujiweka katika madeni makubwa .

Bien alifunga ndoa ijumaa iliyopita na mpenzi wake Chiki Onwukwe katika hafla ya waalikwa pekee ambayo imedaiwa kugharimu kiasia kisichozidi shilingi laki tatu .

 

‘Msiniliake katika harusi zenu’-Bien wa Sauti sol awaambia rafiki zake waliokosa  kualikwa

Bien

Wazazi wa pande zote mbili walipata fusa ya kujuana zaidi kama vile baba wa Bien na babake Chiki.

“Tulikuwa na wakati mwema kati ya familia hizi mbili,baba yangu alipata fursa ya kujuana na baba yake Chiki, kwa sasa wanajuana zaidi.” Bien Alisema.

Ushauri wake kwa wanaopanga harusi na ndoa, alisema wapamge kulingana na uwezo wa mfuko wao.

“Tafadhali usifanye harusi ili kuwapendeza wazazi wako, fanya harusi kulingana na kiwango cha mfuko wako, hurusi ni mwanzo wa maisha yako

Kwa hivyo usitumie pesa zote kupanga harusi, panga harusi ndogo na ambayo unaweza ni afadhali utumie pesa zako nyingi katika fungate yako lakini si kwenye harusi.” Alisema

 

Kutoka kwa Nameless hadi kwa Nyashinski,’Wasanii walioimba katika harusi ya Bien

Msanii wa kundi la Sauti sol Bien alioa mpenzi wa maisha yake Chiki  kwa harusi ambayo ilihudhuriwa na watu zaidi ya mia moja, wawili hao walifunga ndoa kwa njia ya siri.

Hii ni baada ya watu wengi kungoja kwa muda mrefu wawili hao waoane.

HONGERA!! Bien wa Sauti Sol afunga ndoa na mpenzi wake Chiki

Wawili hao walisherehekea ndoa yao kwa kutia saini mkataba wa harusi na kula viapo ijumaa.

 

bien.and.chiki.kuruka

“We will not have a white wedding because a white wedding was introduced by the white, and I am not going to follow that since its like colonisation. I will, therefore, have a traditional wedding.” Bien Alisema.

Baadhi ya wasanii walioimba ama kuwatumbuiza wageni wa Chiki na Bien ni msanii Nameless,Sauti sol,Nazii na pia Nyashinski ambaye aliimba wimbo wake wa Mungu pekee, harusi hiyo ilikuwa ya kuvutia.

Amepatikana! Bien aanikwa kwa ‘kummezea mate’ dadake Kansiime

Hamna mtu yeyote ambaye aliruhusiwa kubeba simu katika sherehe hiyo kwa maana walitaka akili zao ziwe kwenye sherehe na si kuchukua picha na video kupia kwa simu zao.

Bien alimchumbia Chiki mwaka jana katika sherehe ya siri pia,katika mkahawa wa wastegate Nairobi, alilipia mkahawa huo wote ili aweze kumchumbia kipenzi cha roho yake.

bienproposes1

Alihakikisha kuwa sherehe hiyo ilihudhuriwa na marafiki wake wachache.

Amepatikana! Bien aanikwa kwa ‘kummezea mate’ dadake Kansiime

Mwanamziki bomba Bien wa bendi ya Suti Sol amelazimishwa kujitetea baada ya kupatikana ‘akimnyemelea’ dadake mcheshi Kansime.

bien

Kansime ambaye ni msheshi anayejulikana na kutamba sana duniani aliweka picha yake na wazazi wake kwenye mtandao wa kijamii kwa mara ya kwanza na walipendeza sana si kidogo.

Jamaa ambaye aliyepita na shemeji yake alalamika kuchezwa pia 

Bien aliandika ujumbe kwenye picha ya Kansiime na kuuliza kama dadake Kansiime hana mpenzi.

Baada ya ujumbe huu, mashabiki walishikwa na mshangao sana na kumuuliza Bien kama anataka kupata mke mwingine pasi na kuwa na kidosho Chiki kama mpenzi wake aliyemchumbia.

Hizi ndizo orodha za mashabiki kwenye mtandao wa kijamii .

dope_kicks @bienaimesol you want a second wife bro🤔

 andeka.ivy @bienaimesol you better be asking for a friend 🤣🤣🤣

ninsiimababrah @chikikuruka come en see ur man😂😂😂

ishassam @bienaimesol why are you running! Ask with confidence, be bold

Itakuaje? Idah Odinga na Lwam Bekele wapewa wiki mbili kusuluhisha kesi

Mwanamziki huyu naye alijibu na kusema kuwa hakuwa anauliza swali lile ili ajifaidi yeye bali alikuwa anamuulizia rafiki.

@ANDEKA.IVY EXACTLY!!!! I’M ASKING FOR A FRIEND.

Bien’s fiancée Chiki shares deep love message after saying yes to the Sauti Sol singer

2019 has been nothing short of many love stories.

From weddings, to new relationships involving celebrities and now we have engagement news!

On Wednesday evening, Sauti Sol’s lead singer, Bien went down on one knee and proposed to the love of his life, Chiki Kuruka.

In previous interviews, Bien has always faced questions about when he will finally walk down the isle with the fitness guru.

He always answered cheekily saying, this year I will shock you guys. big things are coming.

Sauti sol wameona hii?: Read ‘Tujiangalie’ lyrics, Man United edition

Little did we know that the big day was Wednesday!

 

Clearly, this is step one to their big day.

Every woman dreams of a wow kind of proposal and Bien did no kill the dreams of Chiki Kuruka. He hired a whole cinema for the big moment and before their family and close friends, he went down on one knee dressed in black official attire.

From the picture doing rounds, you can tell Chiki was so surprised and the ambiance was just right for the big yes.

‘You are my porn star,’ Chiki pens heartwarming message to Sauti Sol’s Bien

A few hours later Chiki took to social media to let her followers sink in the successful end of her day. She said:

I was not expecting this at all! Hiring out a cinema, all my family and friends involved. Thank you, thank you, thank you. Easiest yes I’ve ever said. To my homie, my nigha, my best friend and shit my FIANCÉ, I love you.

Sauti Sol’s pro guitarist was the first one to announce the good news and Kenyans have clearly been waiting for this big moment.

And the week keeps getting better and better!!! ❤️❤️ congratulations to @bienaimesol and @chikikuruka!!!

Of course, we wish them nothing but the best in this new chapter of their life.

Congratulations Bien and Chiki.